mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu 2 ya kuzingatia katika ulimwengu huu wa watu kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu

    Kwanini nimeandika Uzi huu? Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea. Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa kwenye game akataka kujua kikwazo nini. Nilimweleza jambo la kawaida tu ila jamaa akawa serious...
  2. JamiiForums Tanzania CCM mnatuambia mambo tunayoyajua

    Kama mtu una shida na shida hiyo ikatafutiwa ufumbuzi, kuna haja gani kwa mtu mwingine kuja kukuambia kuwa shida yako imepatiwa ufumbuzi? Kama Kijiji hakina maji maji yakipatikana wanakijiji watajua hakuna sababu za kuambiwa kuwa shida ya maji kijijini imekwisha. Watanzania wanazijua shida...
  3. JamiiForums Tanzania Jakaya mimi ni timu yako ila kwa Sasa mambo yetu so mazuri

    Niko Nawe kitambo ila kwa Sasa mambo siyo Kaka Nitaandika soon
  4. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  5. P

    JamiiForums Tanzania VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

    HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu kwa mwanamke unapoolewa

    1 . Mpe nafasi ya kucheat .as long atatumia protection n arudi kwa nyumba. Kwa maana ukishindana n mwanaume utachoka 2.Mheshimu. 3.mpe yote kitandani 4.usimufokee 5.usiwe mropokaji 6.mpikie chakula kitamu 7. Uwe msafi 8. Usiwahi shika simu yake. 9.heshimu wazazi wake. 10. Be a...
  7. JamiiForums Tanzania Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini nai-block

    Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini naiblock. Muda wote siasa, Wataalamu kama Wa afya, biashara ujenzi, teknolojia wanapotea kila. Unadhani akingia tundu Lissu atakuletea ugali mezani fanya Kaz, ulevi tu
  8. JamiiForums Tanzania Tumsikilize Polepole, lakini tusisahau mambo haya

    TUMSIKILIZE POLEPOLE, LAKINI TUSISAHAU. Enzi zile za Magufuli, Watu kama Jakaya walionekana ni Watu wazuri sana. Kwa sababu Jakaya alikuwa nie ya Mfumo ambao 'ulichukiwa na wengi na kupendwa na wengi (walionyimwa fikra). 👉 "Bora enzi za Jakaya", Ni Kauli ambazo ungezisikia huku na kule. Naam...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Serikali inabidi kuruhusu uchunguzi huru hapa Tanzania

    1. Ugonjwa wa ghafla uliompata "Edward Lowassa" kuelekea 2015 2. Kifo Cha Chacha Wangwe. 3. Kifo cha Sokoine 4. Kifo cha Membe 5. Kifo Cha Dr Mengi 6. Kifo cha Mch Christopher Mtikila 7. Kifo Cha Magufuli 8. Kupigwa risasi kwa Lissu 9. Kupotea kwa Bilali Mwisho , humanity, humanity ndo...
  10. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mambo ya hisa(VIS - ETF)

    Habari za muda huu wanaJF naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza kuwekeza kwa kuanzia kununua vipande 100 kila kipande ni 200 na ukiwa na hivyo vipande kutoka kwa hao...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANROADS Engineering Consulting Unit (TECU) mambo shaghala baghala

    TECU ni moja lakini kila Meneja wa Mkoa anafanya anavyojua na Chief Eng. Mwandambo hajui hata kinachoendelea. Napenda kuuliza kwanini wafanyakazi wa TECU kwenye miradi mikoa mingine wanalipwa kila mwezi na mikoa mingine wanadai hadi miezi 9? Mikoa mingine hawakatwi kwenye responsibility/site...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

    Hi people, Happy weekend!! Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi? Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back) Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar...
  13. JamiiForums Tanzania Polepole ameanza kuongea mambo ya maana ya maslahi ya nchi, sasa anaweza kutiliwa maanani

    Japo hajatubu kwa kushiriki kufinyanga demokrasia wakati wa jiwe lakini mengi anayoongea sasa yana maslahi ya taifa zaidi na sio maslahi ya chama kama ilivyokuwa mwanzo. Kwa sasa Polepole ameanza kuitanguliza nchi mbele badala ya chama, huenda huu ukawa pia ni muelekeo wa kukitelekeza kabisa...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya Kuzingatia Ukiamua Kuanzisha Ghetto Lako 🏠🔥

    Kuanzisha ghetto si tu suala la kupata chumba cha kupanga, bali ni hatua ya kuanza maisha mapya kwa heshima na mpangilio. Ili kuepuka kuishi hovyo na kukosa misingi ya starehe na usafi, zingatia haya mambo muhimu: 1. Tathmini Kipato Chako Kabla ya kuchukua chumba, jiulize kipato chako...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapoamka Asubuhi ili Kulinda Afya Yako

    Kila siku mpya ni kama nafasi ya pili ya kuandika maisha yako upya. Lakini swali ni, unapoamka asubuhi, je, unaanza siku yako kwa namna inayoilinda afya yako au unaiacha ianze kwa mazoea ya bahati nasibu? Ukweli ni kwamba jinsi unavyotumia dakika zako za kwanza baada ya kuamka, huamua kasi na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

    Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana. Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm. Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani...
  17. JamiiForums Tanzania Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    1: Mavazi. Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha. 2: Chakula. Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi. 3: Ngono au Tendo la ndoa. Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha...
  18. JamiiForums Tanzania Je, mfumbua mambo ndiye yeye mwenye kuisoma karatasi nyeupe ya siri 2025?

    Tulipata fununu huko JamiiForums na kuambiwa kama mambo yakiharibika kabisa basi pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili na ndani ya kikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo kachero wa siri ambaye amewahi kuwa katika vyumba vya siri...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wa buku 2000 hawawezi jua hizi mambo😂

    Nasikia bado zipo usukumani😂
  20. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k)

    Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k) nicheki 0756704145
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…