mambo ya kuzingatia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuoa ?

    Habari ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 24 naelekea 25 Nina kipato changu kizuri naitaji kuoa Huku Jamii Forum Kuna wasomi na watu makini Je, ni vitu gani vya kuzingatia kwa mwanamke wakatiwa kuoa nisije kukusoea Ndoa yangu Inshallah Mwezi wa 5
  2. Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Leseni ya Biashara ya Duka la Dawa

    Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo: 1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY Kama...
  3. Unamiliki Saloon ya Kike au Kiume? Haya Ndio Mambo ya Kuzingatia Ili Kupata Leseni ya Biashara

    Mambo ya Kuzingatia Ili Kupata Leseni ya Biashara ya saloon Ikiwa unatoa huduma za saloon ya kike au ya kiume, kupata leseni ya biashara ni wajibu kisheria. Leseni hii ndiyo kibali rasmi kinachokuwezesha kutoa huduma zako kwa uaminifu, bila usumbufu wa kufungiwa au kulipa faini. Hapa chini...
  4. Msaada, Mambo ya kuzingatia kwenye zoom meeting interview

    Nimepata fursa ya kufanya interview kwenye kampuni ya utalii kutoka Egypt Kupitia zoom meeting Sasa jamaa wamenitumia email kuwa saa kumi na moja kamili niwe onair Nizingatie mambo Gani? Wakiniuliza experience mana KAZI ni mambo ya utalii wakati Mimi ni mtalaamu wa sayansi ya jamii...
  5. V

    Mambo ya kuzingatia kabla hujachimba kisima cha maji cha kisasa

    Je unahitaji kuchimba kisima cha maji safi na salama cha kutoboa mwamba mambo yafuatayo ni ya kuzingatia kabla hujachimba ✅jambo la kwanza fanya geophysical survey survey kubaini eneo lako lina maji na yako umbali gani kutoka uso wa dunia sababu gharama ya kuchimba kisima ni kwa mita moja kila...
  6. Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  7. Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

    1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume. Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex. Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
  8. "Ushauri Bora wa Kodi kwa Biashara Yako, mambo ya kuzingatia ili Kuepuka Adhabu mbalimbali

    Je, unahitaji huduma ya kitaalamu kuhusu mambo ya kodi? Tunaelewa changamoto zinazoweza kutokea zinazohusu aina mbalimbali za kodi na jinsi inavyoweza kuathiri biashara yako. Tunatoa huduma za ushauri kuhusu: 1.Ufanisi katika Kulipa Kodi: Kupata njia bora za kulipa kodi kwa kufuata sheria na...
  9. Mambo ya kuzingatia unapokunywa pombe na Malaya mwaka 2025

    Endapo Umeamua kwenda kulewa pombe pamoja na Malaya uliemchagua , jitahidi Sana:- 1. Usiende kulewa na Malaya maeneo ambayo Ni jirani na kwako au sehemu unakofahamika Sana. 2. Hakikisha umekula umeshiba na unywe maziwa fresh ya kutosha kabla ujaenda kulewa na malaya. Inasaidia kupunguza Kasi...
  10. Mambo Ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Ujenzi

    Karibu tuelimishane mambo kadhaa muhimu kabla ya kufanya ujenzi MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UJENZI NOTE: Kufuata taratibu za kitaalamu katika UJENZI kunaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi mpaka 15% pamoja na kukuepushia hasara inayoweza kutokea mbeleni, sambamba na kukupatia kitu...
  11. Mambo ya kuzingatia kwa wanaoenda kusalimia ndugu mikoani nyakati hizi za Sikukuu

    Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kama ilivyokuwa desturi ya Watanzania wengi kwenda kusalimia ndugu na jamaa mikoani. Inawapasa kufahamu mambo gani ya kuzingatia zaidi katika safari zako za kwenda kusalimia. 1. Tengeneza bajeti ya safari ikijumuisha gharama za usafiri, chakula, zawadi...
  12. LGE2024 Mambo ya kuzingatia unapoenda kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, leo Novemba 27, 2024

  13. Mambo ya kuzingatia ukiwa unatumia simu au kompyuta

    Unapotumia simu au kompyuta, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia ili kuhakikisha usalama, afya, na ufanisi: 1. Usalama wa Mtandaoni: - Tumia nywila (password) ngumu na salama. - Epuka kubonyeza viungo vya kutatanisha au kutoka kwa vyanzo visivyoaminika. - Hakikisha kompyuta au simu ina...
  14. Mambo ya kuzingatia unaponunua kompyuta

    Unaponunua kompyuta, kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha unapata kifaa kinachokidhi mahitaji yako. Hapa ni mambo machache ya msingi: 1. Matumizi yako: Fahamu unataka kutumia kompyuta kwa nini (mfano: kazi za kawaida, michezo, kubuni, au uhariri wa video). Hii itaamua sifa gani ni...
  15. N

    Mambo ya kuzingatia wakati wa kununua kiwanja

    Wakuu humu kuna watu wa aina mbalimbali ambao wana ujuzi wa mambo tofauti tofauti. Una yapi ya kumwambia kijana ambae anataka kununua kiwanja? Mambo gani azingatie ili asije akajuta huko mbeleni?
  16. MAMBO YA KUZINGATIA UNAPONUNUA ENEO LA URITHI/MALI YOYOTE YA URITHI

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  17. Kwa viwanja vizuri Goba, Madale, Salasala, Mbezi beach, Makongo hakikisha unawasiliana nasi

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  18. Mambo ya kukumbushana kabla hujatuma application ya kazi

    Habari zenu ndugu zangu. Katika harakati za kujipambania kutafuta ajira na kulingana na kasi ya teknolojia ya dunia inavoenda, kuna mambo muhimu sana ya kuzingatia kabla ya kusubmit application yako ya kazi 1. ATS-CV Huu ni mfumo wa uchakataji wagombea (Applicant Tracking System) ambao...
  19. Mambo ya kuzingatia kwa Afisa MADENI ili kumu"WIN" anayekudai.

    Afisa mikopo anashughulika na kuwapa watu mikopo,hivyo na sisi tunaopokea mikopo hiyo tunayo haki ya kujiita AFISA MADENI. madeni ni katika sababu ya maendeleo kwani moja ya sababu ni kuwa WANAOKUDAI HUKUOMBEA UTOBOE ILI UWALIPE MADENI YAO,na Mungu mara nyingi hujibu dua hizo. usikope kwa...
  20. Mambo ya Kuzingatia kabla haujafungua kesi

    Kitu nilichojifunza kwenye kufungua kesi. No.1 Hakikisha wewe mwenyewe una ushaidi ulioshiba bila kutegemea watu. No.2 Usiokote mawakili wa barabarani, tafuta mawakili kupitia watu wako wa karibu na pia usimtumie mwanasheria ambaye ana njaa ni rahisi kununulika akakufelisha. No.3 Ni ngumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…