Wairaq na wambulu wote ni ndugu!
Dada yako anaumwa huko mkoani wanakuomba mchango hutumi unabaki tu nitawatumia,lakini kila weekend uko Kitambaa cheupe na Malaya huku mezani ukiwaongezea pombe watu usiowajua Ili uonekane una Hela!
Mama yako aliyekulea na kukusomesha baada ya baba yako...
Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa .
Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema
Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli.
Utapeli Kwa jina la sadaka na zaka ndio maneno ya kuvuta pesa yako, pale hakuna la maana.
Sadaka na zaka ni mambo yaleyale yaani jina linabadilika kidogo.
Hizo zaka na sadaka wanaenda kula hao wanaokusanya over,
Amini unachokiona, usichokiona hicho hauna sababu ya kukiamini.
Ni vita ambayo wao hudhani hatujui ipo lakini huwa tunajifanya washamba mambo yaende, kwa wanaume wengine huwa hawajui haya mambo wanaishia kuharibu.
Wanaume wengi wanavuta jiko pale mambo yanapoanza kukaa sawa panapokuwa na chanzo cha kipato, nguvu ya pesa inakuwepo unaanza kusaidia nyumbani...
Kuna msemo kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua ndugu wote tumezaliwa hatukuchagua baba wala mama ikitokea bahati nzuri ukazaliwa kwa wazazi wanaojiweza unashukuru ikitokea ukazaliwa kwa wazazi pangu pakavu unakubaliana na hali sababu huna uwezo wa kuchagua.
Ukweli mchungu...
Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi.
Sababu ni hizi
𝗪𝗶𝘃𝘂
Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza vyema mkeo,
dada yako mama yako pengine aidha hana ndoa kabisa ama aliolewa akaachika ama yupo...
Kwa wale ambao mmepata neema ya kuwa na mama Mpaka sasa Hivi ni mambo gani haupo comfortable kabisa kuzungumza na mzazi wako labda itokee yeye aanzishe. Mimi binafsi yako mengi ila.:-
1.Siwezi kupiga picha na mama ya pamoja labda itokee bahati mbaya tumepiga ile ya familia pamoja ila sisi mimi...
Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama husherehekewa kila mwaka tarehe 21 Februari. Ni siku iliyotambuliwa na Umoja wa Mataifa kukuza utofauti wa lugha na tamaduni na kuhamasisha ufahamu wa urithi wa lugha na tamaduni ulimwenguni kote.
Siku hiyo inakumbuka Maandamano ya Lugha ya Kibengali ya mwaka...
Ni ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa.
Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula mbususu Zao na hela Zao hadi akili ziwakae Sawa.
Dunia imekua katili sana dhidi ya Mwanaume Ina bid...
Shaloom,
Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa.
Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
bandari
baraka
biblia
bora
cheap
janga
kabla
kibao
kijana
kuliko
kuoa
kuoa single mother
kusaidia
kuzaa
laana
mamayako
mimba
mungu
nyingi
sahihi
sana
sex
shida
single
single mother
single mothers
singo
swali
tanzania
wajane
wamama
wamefanya
watoto
wenye
wote
yako
Habari za weekend wana Jamiiforums i hope wote wazima kabisa..
Najua watu wengi mpo closed na wazazi wenu ilo ni vizuri sana ni baraka tosha sana kuwa karibu na mzazi unamwambia vitu vyako vingi na ni mshauri kwako hasa hawa wazazi wetu wakina mama.
Ila kijana ni marufuku tena ni marufuku...
nataka tujuzane wakristo kwamba ndoa zetu hizi za kikristo zimekaa kinadharia sana kuliko kiuhalisia, sheria hazijajitosheleza na ndio maana watu hukimbilia mahakamani maana wanaona kabisa sheria za kikristo bado haziwezi kutatua hali zao.
Ukristo unaweza kutatua tatizo hili bila kutegemea...
Ugomvi wa baba na mama umekuwa ukiongezeka siku hadi siku. Nipo kijijini kwa mapumziko ya likizo ya siku 28. Hali hii imekuwa ikinikera sana hivyo nikaona kwasababu mimi ni mtu mzima nikae chini na Mzee Wangu tuyaongee, kwani shida ni nini?
Basi, kwa kuwa Mzee Wangu ni mtu wa kupenda maji...
Amri inayosema mheshimu baba yako na mama yako,inapatikana mara nyingi katika biblia.
(Kutoka 20:12, Kumbukumbu la Torati 5:16, Mathayo 15:4, Waefeso 6:2,3)
[ KUTII AMRI HIYO KUNAHUSISHA KUFANYA MAMBO YAFUATAYO:-]
1>-WATHAMINI:-Unawaheshimu baba
Na mama yako unaposhukuru kwa ajili ya mambo...
Baba ni baba tu ata kama alimkimbia mama yako. Sasa huu ujinga wakumthamini mmoja na kumtupa mwingine umeanza lini? Hakuna vya sperm donor au sperm maji always baba ni baba tu.
Tambua bila huyu unaye muita sperm donor wewe usingelikuja duniani, Yeye ndo kakufanya uwe duniani. Sasa mafanikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.