mama mkwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mchumba wake ni Mngoni, lakini Mama Mkwe mtarajiwa ni Mchaga wa damu. Je, aingie mzima mzima au apige gia ya nyuma?

    Wakuu wa jukwaa hili, natumai mko salama. Kuna jambo zito la kiutamaduni na kifamilia limenileta mezani leo kutoka kwa rafiki myangu wa karibu sana wa kiume. Kijana yuko hatua za mwisho za kwenda kutoa mahari na kuoa, lakini amegundua mchanganyiko fulani kwenye familia ya binti unaomnyima...
  2. JamiiForums Tanzania Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  3. JamiiForums Tanzania Binti; Sio lazima mama mkwe akupende

    BINTI; SIO LAZIMA MAMA MKWE AKUPENDE. anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati nampeleka Mchumba wangu nyumbani kwa mara ya kwanza. Tukiwa Dodoma nilimwona akiwa katika hali ya hofu na wasiwasi. Alikuwa ni binti mdogo, ndio kwanza chuo mwaka wa pili, hukuwahi kupelekwa ukweni. Nimdodosa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mama Mkwe kuingilia malezi ya watoto wangu?

    Mama mkwe wangu namheshimu sana kama mama yangu ila kitu napishana naye ni pale anapotaka kuingia kuwa mzazi wa watoto wangu. Ananiingilia sana kwenye malezi, kila nikifanya maamuzi kwa watoto wangu yeye anapingana nayo anataka mtoto alelewe vile yeye anaona inafaa mpaka nashindwa kuelewa huyu...
  5. JamiiForums Tanzania Mama mkwe apora Mali za marehemu, mgane alia kwa uchungu mahakamani!

    Kijana , umri miaka 30 , alifiwa na mke wake ambaye walikuwa na mtoto mmoja tu wa kike umri wa miaka 2. Mwana-uume huyo alikuwa akiishi nyumba moja na mama mkwe wake pamoja wamashemeji zake kwakuwa walikuwa hawana pa kukaa na nyumba ilikuwa na hati jina ni la huyo mwanaume. Mke alifariki...
  6. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: EX-Wife auza kiwanja cha mama mkwe baada ya aliyekuwa mumewe kushindwa kuhudumia Watoto

    Bibi mwenye umri wa miaka 66 anayefahamika kwa jina Julia Albin mkazi wa Tarafa ya Useri wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya eneo lake lenye makazi yakudumu kuuzwa kwa amri ya mahakama, kutokana na mwanae kushindwa kutoa matumizi kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tukubaliane watanzania/watanganyika, tukiwasema watawala hukumu ni KUTEKWA NA KUPOTEZWA, MWISHO WATABAKI NA Baba na Mama MKWE zao?

    Juzi nilienda kwa Ba MKWE BAHATI MBAYA ushuzi uliniponyoka Pyuuuuuu! Niliumia Kuona Baba na Mama MKWE wananyanyuka sebuleni na kwenda nje kujikagua HARUFU ya ushuzi itatokea kwenye nguo za nani? Wao walijiisi yakuwa wao ndio walio Jamba mbele yangu hakika waliona aibu. Baada ya dakika mbili...
  8. JamiiForums Tanzania Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife

    Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife Wakuu JF nacheka kama Mazuri vile. Wife wangu ni Mtumishi wa Serikali, ana ka kipato sio Kabaya, Mimi ni Misheni town, ila kwenye Mishe Mishe zangu sijawahi ku fail, yaani kiufupi Nategemeza home kwangu Mwanzo mwenga, kaunzia ma Bill ya Umeme...
  9. JamiiForums Tanzania Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  10. JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwa mimi mama mkwe ni halali na huwa wanakuwa watamu sana

    Mwaka flani nlienda Tanga kikazi. Nikakaa mwezi na nusu Hotel. Nilifanikiwa kupata mtoto mmoja mkali wa Kidigo. Sura nzuri kifua kimevimba hakuwa sana na Tako lakini si haba alikuwa akijua mahaba. Akanipeleka kwa mama yake nifahamkane naye ili akiwa anakuja lala nami isiwe nongwa. Mama yake...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Siku Mzee wa Minyama (Maulid Kitenge) alipokutana na Minyama yenyewe ya mama mkwe wa Marioo (Bibi yake Amara)

    Alikuwa anajiita Mzee wa Minyama, sasa juzi alikutana na Minyama yenyewe ya mama mkwe wake Marioo na Bibi yake Amara.
  12. JamiiForums Tanzania Amuua mama mkwe ndotoni

    Kenneth Parks, mkazi wa Ontario, Kanada, alimuua mama mkwe wake akiwa amelala. Kenneth alikuwa na historia ya kufanya vitendo akiwa amelala (sleepwalking). Siku ya tukio, aliamka kitandani akiwa amelala, akawasha gari lake na kuendesha kilomita 22 hadi nyumbani kwa mama mkwe wake. Kisha...
  13. JamiiForums Tanzania Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

    Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa.. Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka. Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja... Naomba ushauri niende au nikaushe
  14. JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta mwaka 2008 nilipopanda basi moja na mama mkwe wangu niliyekuwa namuheshimu

    Mwaka 2008 nilipanda basi moja na mama mkwe wangu ambaye nilikuwa ninamuheshimu kuliko hata mama yangu kutokana na umri wake wa makamo (alikuwa mwalimu wa shule ya msingi aliyekaribia kustaafu na mtu wa dini sana). Kwenye basi nilikaa naye pamoja na safari ilikuwa ya masaa sita (6) na kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mama mkwe mtarajiwa alifurahi baada ya kusikia mimi ni playboy

    Maajabu hayaishi Juzi kati nimeenda nyumbani kwa binti mmoja mbichi kabisa mara mama yake akatokea Mtu mzima mwenzangu hapohaponikamwambia nimempenda binti yako nataka kumuoa Mama mkwe akaniuliza maswali kadhaa kumbe alitaka kunichunguza Wananzengo wakadema huyo baba hana shida ana roho...
  16. JamiiForums Tanzania Hii nchi aisee!! Yaani Mkuu wa Machinery ya kusimamia uchaguzi ni mama mkwe wa Rais

    Ila Bongo inasikitisha sana kwenye suala la haki. Ndiyo maana ukizungumzia haki inakuwa kama umetangaza duka la bangi. Inajiuliza sisi tupo dunia ya ngapi. Tofauti ya chaguzi za enzi za mkoloni na leo ni majina tu, lakini michakato ni ile ile. PO-RALG ndio inasimamia uchaguzi kupitia...
  17. JamiiForums Tanzania Unamjua mama mkwe wa kisasa Kajala?? Huu ndio mtoko wake wa Eid

    Hongera sana my young brother Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. Mama mkwe mwenye jina lake mjini. Mama mkwe hana baya na mtu. Mama mkwe akifa haozi. Dear Kajala, There's a very very bright future "behind your back"
  18. U

    JamiiForums Tanzania Picha ya pamoja ya mchezaji Aziz Ki akiwa na Mama mkwe wake, mama mzazi wa mrembo Hamisa Mobetto

    Picha ya pamoja ya mchezaji Aziz Ki akiwa na Mama mkwe wake, mama mzazi wa mrembo Hamisamobetto.
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni nini kifanyike ili kuweka uhusiano mzuri baina ya wazazi na wake zetu

    Salaam jamiiforum hope my wazima. Jamani maisha ndiyo haya haya,utake usitake bado utaishi kwenye mfumo wa maisha ya watu wengi. Ukijipata kidogo kimaisha ukawa na uwezo fulani basi umetengeneza vita na uhasama Leo niongelee hii kadhia ya wazazi kuhisi wana haki Kula matunda ya kijana wao...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Methali ya ajabu niliyopewa na mama mkwe wakati anakazia hoja yake, "aliyejamba hayaachi kunuka".

    Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake, "ee baba, anayejamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…