malisa

Malisa Zini (March 5, 1921 – February 26, 1985) was an Argentine actress. She starred in the 1950 film Arroz con leche, among others such as Cumbres de hidalguía, under director Carlos Schlieper. s

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi : Awamu hii Mahakama yenyewe imekubali Shauri la Mch Dkt Malisa dhizi ya CCM, hili tu la kukubali kusikiliza Kesi, Haliwatii Aibu?

    Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!! Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??. NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
  2. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Dr Malisa Vs CCM isikilizwe kwa njia ya mtandao pia

    Nashauri kesi hii kubwa nayo isikilizwe kwa njia ya mtandao. Pia ikibidi CCM isitishiwe ruzuku na izuiwe kufanya shughuli zake hadi kesi ya msingi iishe ili Mgombea anayelalamikiwa asije akavuruga ushahidi
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kazi anayoifanya Malisa Gj ya kurudisha tabasamu kwa jamii , ni kazi kubwa sana ambayo hakuna waziri wala Mbunge ambaye ameweza kuifanya.!.

    Vijana Kama hawa ni hazina kwa TAIFA , kwakuwa ukihesabu watu waliosaidiwa kupitia kwa Malisa GJ hawahesabiki. Huyu ni zaidi ya Mbunge na waziri
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kwa madai ya Malisa: Mwili wa Dkt. Hashim Titto aliyepotea tangu 22 April, 2025 umepatikana katika hospitali ya Polisi Kilwa road

    Tarehe 26 May kupitia ukurasa huu, nilitoa taarifa ya kupotea kwa Dr.Hashim Titto, daktari wa hospitali ya rufaa ya kanda Mtwara, na Mwanafunzi wa udaktari bingwa wa upasuaji (Resident MMED Surgery) katika chuo kikuu cha afya na sayansi Shirikishi Muhimbili, ambaye alipotea tangu tarehe 22 April...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Jamhuri waomba kuwaficha mashahidi wao kesi ya kina Boni Yai na Malisa

    Kesi ya Jinai nambari 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa imeendelea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya kilichotokea mahakamani leo. ____ JAMHURI: Mheshimiwa, ikupendeze, naitwa Wakili wa Serikali Mwandamizi, Clemence Kato, nikishirikiana...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mabishano kati ya Wakili Kibatala na shahidi, kesi ya Boniface Jacob na Malisa

    Kesi ya jinai nambari 11805 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa ilisikilizwa juzi, Jumanne, Aprili 12, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya cross examination kati ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Shahidi wa Jamhuri. KIBATALA: Shahidi, ikumbushe...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai

    Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai. Jamhuri iliwakilishwa na Mawakili Clemence Kato na Cathbert Mbilinyi. Upande wa utetezi uliwakilishwa na Mawakili Peter Kibatala, Hakima Mwasipu, Dickson Matata, Michael Lugina, Josephat Msanga na...
  8. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Audio: Case of Incitement – Republic v. Boniface Jacob (Boniyai) and Godlisten Malisa

    Case of Incitement – Republic v. Boniface Jacob (Boniyai) and Godlisten Malisa Lead Section The case of incitement involving former Ubungo Mayor Boniface Jacob (Boniyai) and human rights advocate Godlisten Malisa represents a high-profile legal proceeding in Tanzania. The defendants face...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makalla: Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM, bado hajaelewa misingi ya CCM

    Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM kwaiyo bado hajaelewa misingi ya CCM kwaiyo huko aliko akajifunze misingi ya chama cha mapinduzi – Makalla. Chanzo: Wasafi FM
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania One on one Interview: Mch. Godfrey Malisa (anayesemekana kufukuzwa CCM) akifungukuka. Asema wamevunja katiba, hawafai kuwa viongozi tena..!!

    https://youtu.be/-NdDsArLVlU?si=eH35yrxDVCmdL3QM ➡️Huyu mzee anayesemekana kuwa amefukuzwa uanachama CCM, ni wazi kuwa yuko so determined kuhakikisha kuwa mchakato wa kumpitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea urais huko CCM unarudiwa kwa kufuata taratibu na katiba...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumfukuza Malisa, CCM imepuliza ili Iwake, Hoja hujibiwa kwa Hoja , watu Sasa watazidi kuhoji kulikoni?

    Kuna vitu maamuzi yake huhitaji Hoja, yaan anasimama MTU makini anaelezea Kwa hoja !. Sasa kumfukuza MTU namna hii, maana yake ni kuifanya habari iwe kuuuuuubwa , embu fikiria vyombo habari vireport " CCM yamfukuza aliyepinga kuvunjwa Kwa Katiba wakati wa zoezi za kuchagua Mgombea Urais'...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania UHAI wa Mchungaji Malisa (Moja ya wanaopinga kilichotokea DODOMA) Ulindwe , bado tuko kwenye Majonzi ya Mzee Kibao !!.

    Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?. Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Hakimu chasogeza mbele kesi ya Boni Yai, Malisa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Januari 15, 2025 kuanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai. Mshtakiwa mwingine ni katika kesi hiyo ya jinai namba...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Uchapakazi na uteuzi wa Samia kwa Gerson Msigwa wawakuna Yericko Nyerere na Malisa, wamwaga pongezi

    Samia ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga. Vijana hawa ambao usoni ni wapinzani lakini kwa macho ya rohoni ni CCM lialia wamemwaga pongezi kedekede zilizojaa mazezele (mafuta mafuta).
  15. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mwamposa and Clear Malissa; The next giant ambassadors of Heaven in Africa after T.B Joshua.

    Amani ya Bwana iwe nanyi, Amini Mungu yupo na kuna kitu ananena leo kupitia mikesha yao miwili, Mwamposa kawe, Clear Malissa Ubungo Riverside. Nawasilisha.
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Boni Yai, Malisa yapigwa kalenda, kusikilizwa Desemba 19

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Desemba 19, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (42) maarufu Boni Yai. Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili katika kesi...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Malisa na yeye akamatwe kwa kuwa huwa anakusanya michango bila kibali

    Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna
  18. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Abdoulquarim Malisa: Sijui nilitaka Kusema Nini (Kama Umesoma Cuba)

    Nakumbuka; Nikiwa mdogo mdogo hivi kuna "BIBI" mmoja alifariki pale kijijini, yule bibi alikuwa anasadikika ni mshirikina "mchawi". Wakati ulipowadia wa kukaribia kufariki, yaani anakaribia kukata roho, alikuwa akiweweseka sana, wale ndugu zake waliokuwa wakimuuguza walimsikia akiongea maneno...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mahakama kusema Polisi hawajawashikilia akina Soka Malisa aandika haya

    Jana Mahakama Kuu ya Tanzania, imesema kwamba Polisi haijawashikilia Deus Soka na wenzie wawili (Frank Mbise na Jacob Mlay) wanaodaiwa kutekwa maeneo ya Yombo Buza, na watu wenye silaha kwa kutumia gari aina ya Toyota Noah. Hukumu hiyo ilitolewa na Jaji Wilson Dyansobera ambaye alisema Mahakama...
  20. Movic Evara

    JamiiForums Tanzania The sentence in sentence case is: Anaandika Malisa GJ kuhusu kuahirisha utekelezaji wa mtaala ulioboreshwa wa kidato cha tano

    Wakati mnaanzisha combination zenu zisizoeleweka, tuliwauliza mmejiandaa? Mlipounda tahsusi kama vile Arabic, Music & Sports (ArMS) tuliwauliza serikali imeandaa walimu wa Arabic, walimu wa Music na walimu wa michezo wa kutosha? Tuliuliza kwa sababu tunajua vyuo vyetu haviandai walimu wa masomo...
Back
Top Bottom