malipo

  1. M

    JamiiForums Tanzania India: Kijana ajitupa ghorofa refu kwa stress za kushindwa kumudu malipo makubwa ya talaka huku akiwa na madeni ya matibabu ya mtoto.

    Sambhav Jain alikuwa na miaka 28 tu. Aliwahi kuwa mume, baba, na mwana ambaye alijaribu kubeba majukumu yake yote kwa nguvu zake zote.. Alisoma kwa bidi, Alijituma, Alijenga ujuzi wake hadi akawa Software Engineer, Kazi kama hiyo haiji tu na kukaa ukisubiri. Alioa mwaka 2023, na baadaye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL wamepokea malipo yangu ya Faiba kisha wanasema huduma haijafika Goba - Mageti

    Mimi ni mkazi wa Mbezi, barabara ya Goba (Mageti), nimelipia Huduma ya Faiba mlangoni kupitia Mtandao wa TTCL, wakati nafanya maombi kwenye mfumo wao nilionekana huduma imeshafika nilipo. Baada ya kulipia kila nikipiga simu naambiwa huduma haijafika bado huku nilipo, sasa kama haijafika kwanini...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakusanya Ushuru Manispaa ya Iringa tunacheleweshewa sana malipo yetu ya mshahara

    Mimi ni kibarua wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa nakusanya ushuru, kumekuwa na utaratibu wa kucheleweshewa mshahara wetu ambao kikawaida ilitakiwa tuwe tunalipwa tarehe 01 ya kila mwezi ila tunacheleweshewa sana hadi muda mwingine tunalipwa tarehe 22. Hali hiyo inaathiri sana familia zetu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA SGR iweke utaratibu wa kurekebisha jina kwenye tiketi baada ya mteja kukamilisha malipo

    Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo. Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi kufanyiwa update ya jina akasafiria mtu mwingine, hivyo ticket inaenda bure bila kutumika...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kitatoa lini fedha za ‘refund’ tumesubiri tangu Mwaka 2024

    Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) wa Mwaka 2024. Kutokana na kuchelewa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwa malipo haya lazima nipokee maagizo na kupigiwa simu

    300,000 Tsh per day x 30 days = 9,000,000 per month. 9,000,000 x 18 months as of today.....162,000,000 Tsh. Na bado kesi kuisha na kwa malipo hayo, lazima wapokee maagizo.......................all untaxable
  7. JamiiForums Tanzania Wimbi la vijana kutaka malipo kabla ya kazi na wengi wao wakiwa hawana maarifa/ujuzi wowote limekuwa kubwa..

    Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss wake inabidi umfundishe kazi na ujuzi tofauti uku ukimlipa hali hii sio siri inafanya waajiri weng hasa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Chamwino hatulipwi stahiki zetu inavyostahili

    Watumishi wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Chamwino, Dodoma, hatulipwi stahiki zetu kwa mujibu wa mwongozo wa Serikali. Sambamba na hilo, idadi ya siku za malipo hupunguzwa na baadhi ya stahiki hazilipwi kabisa, ikiwemo On-Call Allowance na Extra Duty Allowance, ambazo mara ya mwisho zililipwa...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Glovo Riders Wagoma Wakidai Mfumo wa Malipo Unawakamua

    Baadhi ya Glovo riders nchini Kenya wanasema wameingia kwenye mgomo wakilalamikia malipo duni, mabadiliko katika cash orders na kile wanachodai kuwa ukosefu wa njia ya kusikilizwa wanapowasilisha malalamiko. Miongoni mwa madai mazito zaidi ni tofauti kati ya kile mteja analipa na kile rider...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vibarua wa Jiji la Tanga hatujalipwa malipo yetu ya mwezi Julai na Agosti

    Tunaomba wahusika wanaosimamia malipo ya vibarua katika Jiji la Tanga watulipe fedha za kazi tulizofanya katika kipindi cha Julai na Agosti. Tunaishi kwa ugumu kutokana na gharama kubwa za maisha, huku madeni yakizidi kutuelemea. Haya ndiyo malipo tunayoyategemea kwa ajili ya kuendesha maisha...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo yaliyokwama kwa Yas kwa zaidi ya saa 24 yananiongezea gharama zisizo za lazima

    Nimelipia huduma za Serikali kupitia Lipa Namba kwa miamala miwili ili kumtoa mgonjwa wangu hospitalini. Nimeelezwa kuwa malipo hayo hushughulikiwa ndani ya saa 24, lakini hadi sasa zaidi ya saa 24 zimepita na bado sijafanikiwa kumtoa mgonjwa kwa sababu malipo hayajaonekana. Sina fedha...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Posho kwa Interns Serikalini: TTB & TANAPA

    Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks Authority (TANAPA). Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa ngazi za chini wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi tunateseka sana

    Mimi ni mtumishi wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi, nikiwa katika ngazi ya chini kabisa ya kuanza utumishi. Nimeamua kueleza changamoto zinazotukabili baadhi ya watumishi katika eneo letu la kazi. Kuna hali ambayo inaonekana kuwepo ya kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mwajiriwa ambaye Mhasibu amekosea malipo, mjibu boss wako kwa sentensi moja 😂😂😂

  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini TANAPA halipi madeni kwa wakati kwa watoa huduma wake?

    Taasisi za Serikali, hasa TANAPA, zinapaswa kuboresha uwajibikaji katika malipo ya watu wanaowafanyia kazi. Inasikitisha kuona mtu anafanya kazi na TANAPA kwa miaka 4–5, lakini anastaafu bila kulipwa deni lake hadi sasa. Kinachoumiza zaidi ni kuona TANAPA ikiendelea kutumia fedha nyingi katika...
  16. JamiiForums Tanzania Madai ya Mkandarasi Mwalyambi kutolipwa, TANROADS yasema 'Serikali haiwezi kufanya malipo kwa msingi wa madai bila kazi husika kuthibitishwa'

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA NDG. ODWEN MWALYAMBI WA M/S RUHAMA TRIPPLE THREE JUNIOR ENGINEERING KUHUSU BARABARA YA KAWAJENSE -UGALLA-MNYAMASI Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imefuatilia taarifa na malalamiko yaliyotolewa na Ndg. Odwen Mwalyambi wa M/s Ruhama Tripple...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Hanang' hajiwalipa Wakulima na Wafugaji walioshiriki nane nane stahiki zao

    Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ haijalipa fedha za stahiki kwa wakulima na wafugaji walioshiriki katika Maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika katika Viwanja vya Themi-Njiro, Arusha, kuanzia tarehe 28 Julai hadi 9 Agosti. Tunapowasiliana na Afisa Kilimo wa Wilaya kuhusu malipo hayo, majibu...
  18. JamiiForums Tanzania Nauza FACEBOOK PAGE inayopekea malipo (Monetized)

    Nauza FACEBOOK PAGE Ina followers 46k na Inapokea malipo (monetization). Njoo 0717743549 njoo tuongee bei.
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo Interns BMH Yamekwama. Tunahitaji Msaada!

    Wanafunzi wa Interns KADA zote (MD's, Nurses, Radiographers, etc) Wa BENJAMIN MKAPA HOSPITAL 🏥 hatulipwi pesa zetu za Kila mwezi kwa wakati. Kama wenzetu wa hospital nyingine nchini. Maisha ya DODOMA magumu watukumbuke jamani na sisi ni watu sio wanyama tunashida wajali uwepo wetu pale
  20. JamiiForums Tanzania Changamoto ya malipo ya Udahili kutosomeka Chuo Kikuu UDOM

    Habari Tangu Tarehe 9 tumelipia malipo ya serikali kutoka NMB kwenda kwenye control number UDOM NMB wamerudisha meseji malipo yamepokelewa lakini kwenye account ya KUOMBA CHUO UDOM hayajafika. Tumepiga namba za simu za UDOM SUPPORT 0752811050, 0734986486, 0752550837, 0734986490 na 0752994657...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…