Sijui ni nani aliwadanganya baadhi ya wazazi, hasa wale waliotoka kwenye familia duni, kwamba mara tu wakipata vijisenti basi watoto wao hawapaswi tena kufanya majukumu ya kujitegemea wala ya nyumbani.
Watoto wakila waache vyombo kwenye sinki house girl ataosha
watoto wakitoka shule watupe...
Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ?
Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto
Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke...
Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi.
Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau:
Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi.
Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau:
Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
Mtoto akiwa na hasira na wasiwasi hawezi kujifunza. kifuniko cha juu cha ubongo Cortex hujifunga katika mazingira ambayo mtoto anawasiwasi na hasira. Kwa hiyo katika hali hiyo hawezi kuelewa Chochote; mtoto hujifunza vema katika nyakati walimu na wazazi wamejenga mazingira rafiki na salama...
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu .
Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
Nimekopi meseji kama nilivyoipokea.
************
Dada shikamoo,
Miaka 4 iliyopita niliolewa na mwanaume wa Kitanzania anayeishi South Africa. Nimezaa naye mtoto mmoja na nina ujauzito wa mtoto wetu wa pili. Huyu mwanaume alinikuta na mtoto mdogo wa miaka 2 ambaye baba yake alifariki kwa ajali...
Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa
Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita
Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.
Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja...
Kila siku huwa naangalia jinsi navyojitoa na kuwekeza kwa watoto wangu, mapambano ni makali sana ila huwa najiuliza, nikizeeka halafu wao wanisahau itakuwa sahihi kujisikia vibaya ?
Kuwalisha, kuwavisha, kuwanywesha, kuwahifadhi nyumbani, kuwapa pesa za matumizi, kuwasomesha, kuwatibu, n.k. kwa...
Hivi wanawake wa makabila yote wanafanana tabia na wanawake wa kirangi kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao ?
Nimekutana na Sampuli ya Wanawake kadha wa kadha wa Kirangi ambao wamejisifia kufanya hivi baada ya Kugombana na wenza wao
Nikasema nije kwenye jamvi niulize
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Juliana Shonza lazima uelewe hakuna Baba asiyeweza kutunza Mtoto wake. Huyo Baba hayupo.
Kama wanawake wametelekezwa kwa Sababu zozote zile kama hizo ulizotaja ikiwemo jeuri na kiburi Acha wapambane na Hali Zao.
Sisi wanaume hatuwezi kutoa pesa na kutunza...
Siku za hivi karibuni kumeibuka mabishano makali kuhusu kusomesha mtoto St Kayumba (Govt schools) au English Medium (Private school).
Upande wa St Kayumba wana hoja na hata wa Private pia wana hoja. Binafsi msimamo wangu ni kila mtu asomeshe mwanae kulingana na uwezo wake wa kifedha.
Faida...
Binti mdogo wake na wife kaja kututembelea baada ya yeye kumaliza shule (kidato cha nne). Dogo alivyofika alikuwa mpole sana as days goes on naona anazidi kucharuka anaongea na simu mpka usiku mnene. Nishamwambia wife aongee nae anasema anaogopa atamkwaza na itaonekana anamnyima uhuru.
Jana...
Mfundishe mwanao majukumu yale ambayo yatakuwa faida kwenye maisha yenu na yake ya baadaye kwasababu huyo ni mume au mke wa mtu wa baadaye pia ni mwanafamilia wako
Mama/baba mfundishe kijana wako wa kiume swala la kuosha vyombo, kupika na kufua nguo si swala la mwanamke na huyo binti yako pia...
hellow weekend
SIkuizi malezi yamekuwa mabaya sana sana sijui ni uzungu kipindi chetu nilikuwa naenda shule mwenyewe na narudi mwenyewe wakati uho nina miaka 6 na napajua nyumbani na najua majina ya wazazi wangu pia mtu maarufu pale mtaani najua
Sikuizi watoto wanaenda shule wanapelekwa na...
Kila mzazi anachukizwa na tabia ya watoto kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenz shueni. Watoto wawapo shuleni hasa kizaz hiki wanakuwa na wapenzi wao. Wengine wanakuwa ile kimakuzi tu ni mpenz na wanashare chakula, na upendo ila si kimahaba kama ilivyo miaka hii. Hivi sasa watoto kwanza wana...
Wakuu salaam,
Tuna wazazi na walezi wa aina tofauti kwenye jamii, kuna wale wanaokwenda na wakati na wale ambao kidogo ka ukoloni kapo wakiamini njia zilizotumika miaka 47 kwake zitafanya kazi katika kizazi hiki.
Matumizi ya digitali yakua kadri siku zinavyosonga, si tu kwa watu wazima kwani...
Kwa nchi yetu Tanzania vipigo kwa watoto inaonekana ni jambo la kawaida sana, na huku baadhi wakipongeza jambo hilo kwa kuona ndio msingi bora wa malezi kwa watoto unaowafanya kuwa na maadili, hofu, kusikiliza na kutekeleza maagizo ya wazazi aidha kwa kutaka au kutokutaka kwa kuogopa kuadhibiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.