Hello Great thinkers 🫡
Mwanadamu ana baadhi ya mambo ambayo huwa yanatokea ndani yake bila yeye kuyapanga au kuyachagua kwa makusudi(Unakubaliana na mimi?)
Hayo tunaweza kuyaita Human Nature asili ya mwanadamu
Mfano:
Kupenda : binadamu anaweza kujikuta anampenda mtu au kitu bila hata...