makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanjala atangaza mpango wa maboresho makubwa Uwanja wa Sokoine baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa MREFA

    Baada ya kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya, Elias Mwanjala amewahakikishia wana Mbeya na wapenzi wa soka kiujumla kushirikiana na serikali ili kuufanyia marekebisho makubwa Uwanja wa Sokoine hususani eneo la kuchezea (pitch) kwani Uwanja huo si...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Matatizo makubwa kwa Tanzania: Uongozi, Rushwa, unafiki aka Uchawa

    Matatizo mapya makubwa Tanzania ni 1. Rushwa. Rushwa ya uongozi hata kwa viongozi wa usalama ndiyo sababu ya wizi wa kura na mambo ya namna hiyo. Kutokuwa na adhabu kwa walarushwa wa serikali za kutosha na wanasiasi kununua hata wapinzani nayo ni rushwa. 2. Uongozi mbovu Mama Samia kashidwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

    Ukimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
  4. JamiiForums Tanzania John Mrema kwa Lissu: kama hatuingii katika uchaguzi kuzuia watu wasife, je watu hao wakitumika kuzuia uchaguzi maafa si yatakuwa makubwa zaidi?

    Hili swali la kiufundi sana. Kwamba tunazuia uchaguzi kwa kuwa huko watu wanakufa, hatutaki waendelee kufa. Lakini tunataka kuwatumia watu hao hao kupambana na majeshi ya nchi kuzuia uchaguzi. Hiyo ni akili au matope? Obvious watadhurika watu wengi.
  5. JamiiForums Tanzania Nitazishtaki shule za miaka hii ya 90 kwa Unyanyasaji huu mkubwa waliotufanyia

    Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa. Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi wamuomba Dr Godwin Mollel agombee tena ubunge jimbo la SIHA (2025-2030)

    Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
  7. JamiiForums Tanzania Yafahamu makundi ya wahamiaji Marekani wenye mafanikio makubwa sana wengine hata zaidi ya Wamarekani wazungu

    Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma: 1. Wahindi wa Amerika • Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi) • Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi • Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
  8. JamiiForums Tanzania Makosa makubwa yanayokuweka umasikini!

    Ikiwa bado unajikuta kwa shida za kifedha, soma hii kwa makini. Wengi wanaishi umaskini si kwa bahati mbaya, bali kwa TABIA ZA KIBOVU. Haya ndio makosa makubwa ambayo yataendelea kukufanya uwe maskini milele: 1️⃣ UNATUMIA ZAIDI YA UNAPATAPATA Unapata ₦50K, lakini maisha yako yanahitaji...
  9. JamiiForums Tanzania Katika nyakati ambazo Iran anapaswa awe mpole na afiche kichwa chake basi ni wakati huu wa hatari, maana anapitia majaribu makubwa

    Amani kwenu wakuu Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba Atulie hivyo hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Wabongo tupunguze kuweka mafaida makubwa katika bidhaa tunazouza

    Jana kuna sehemu nimeenda, nikakuta ndala zile kandambili za 2000 zinauzwa 5000, kuuliza haipungui nkaambiwa haipungui alafu muuzaji akaendelea kujisnap. Kuna maduka ukienda, bidhaa ambayo kariakoo kwa mchina unaipata labda kwa 5000 huko unaikuta 10,000 haswa maduka ya sinza. Unaenda lodge...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Trump ashuhudia maandalizi makubwa ya kumpokea Masihi, nchini Israeli !!

    Ndugu zangu, habari ya mjini ndio hii. Kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya kidini nchini Israeli ametamka wazi mbele ya Rais Trump kuwa Waisraeli wanajiandaa kujenga hekalu la tatu, kubwa, mjini Yerusalemu. Ujenzi wa hekalu la tatu ni hatua muhimu sana kwa Waisraeli katika maandalizi ya kumpokea...
  12. JamiiForums Tanzania Kero za Biashara za ma bar makubwa yalivyo kuwa matapeli ila TRA mpo wapi?

    Nimekumbuka niliingia bar kubwa kinywaji nilichouziwa bei ilikuwa zaidi ya thamani ya ukweli ila nilipotaka kulipia kwa vile mimi na VAT na TIN kama mfanya biashara ilikuwa ni kukwepana tu.
  13. JamiiForums Tanzania Tunauza Matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo karibu wateja

    Ofa ofa ofa 🤗🤗🤗🤗🤗 karibu ujipatie matairi ya magari madogo na magari makubwa Kwa bei ya punguzo la 10% mwezi ramadhani pamoja na pasaka. Matairi ya brands mbalimbali za size zote zinapatikana. Location Vingunguti karibu na sido, Dar es salaam, Tanzania. Mikoani tunatuma pia Dar es salaam...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali

    Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali
  15. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumatatu Iran itafanya mazoezi makubwa sana ya kijeshi na Urusi na China ikiwa ni maandalizi ya utayari

    Wadau hamjamboni nyote? Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
  17. JamiiForums Tanzania Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo

    Habari, Ofa ofa ya mwezi mtukufu wa ramadhani karibu ujipatie matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo Kwa bei nafuu. Tunauza matairi ya brands zote size zote za matairi zinapatikana. Mikoani tunatuma pia Dar es salaam tunafanya delivery mzigo upo wakutosha karibuni wote mteja kwetu...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM mmefanya makubwa nchi, mnatakiwa kupumzika

    Nimekuja Tena kama mwananchi wa kawaida kuipongeza CCM kwa makubwa iliyoyafanya nchi ila ni mda wao wapumzike WAKAE pembeni wajipange upya Waruhusu uhuru wa demokrasia, vijana wasitekwe na kuuwawa kisa madaraka wafanye free and fair election washindwe WAKAE pembeni sio dhambi wakiendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Matukio makubwa muhimu angani mwaka huu 2025

    Yafuatayo yatakuwa matukio ya kiastronomia mwaka huu 2025
  20. P

    JamiiForums Tanzania Je, Ulikuwa Unatafuta Jiko Kwa Mahitaji Makubwa Ya Kupika

    Nani Mwingine Anahitaji Jiko la Kisasa kwa Mahitaji Makubwa ya Kupika?" Je ulikuwa unatafuta jiko kwa mahitaji makubwa ya kupika? Kampuni ya jiko bomba sasa wamekuja na suluhu la majiko ya kupikia, Katika taasisi mbalimbali zenye kuhudumia watu wengi Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…