makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Samia amefanya makubwa halafu kuna Wapumbavu wanasema hakuna alichofanya na wanahamasisha maandamano!

    Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel akizungumza na Wananchi Mkoani Kilimanjaro amesema hakuna Rais aliyefanya makubwa ndani ya miaka minne kama alivyofanya Rais Samia. Upande wa Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Dkt. Mollel ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Siha...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1 Itolewe kwa Uharaka Dar es Salaam, 12 Disemba 2025 Na. 028 Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayotabiri uwezekano wa maandamano makubwa nchini yoyote (kwa mtazamo wa utafiti, si vitendo)Nchi za kiarabu zilivyodondoshwa

    ‎1. Legitimacy Collapse (Kupoteza Uhalali) ‎Wananchi wengi wanapoamini kuwa serikali: ‎Haitetei maslahi yao ‎Imekosa uadilifu ‎Imeshindwa kiuchumi ‎utawala hupoteza msingi wake. 2. Economic Trigger (Msukumo wa Kiuchumi) ‎Bei ya chakula, mafuta, ukosefu wa ajira — huwa chanzo kikubwa. 3. Mass...
  4. JamiiForums Tanzania Siku 10 kabla ya D9: Mabadiliko makubwa ninayoyaona yananitafakarisha

    Mabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia maandamano maana walikua hawachekeshi kuanzia wakuu wa mikoa wa wilaya had mawaziri Maafisa...
  5. JamiiForums Tanzania Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano hayazuiliki na yamekwisha fanikiwa kwa asilimia zote yatakuwa makubwa sana kuliko yoyote Africa

    Maandamano hayazuiliki na yamekwisha fanikiwa kwa asilimia zote yatakuwa makubwa sana kuliko yoyote africa. Lazima uchaguzi ufutwe , mateka waachiliwe, katiba mpya, wauwaji wafungwe minyororo kichwani miguuni na mikononi kila aliyehusika. Hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi!
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Umoja wa Mataifa ulete mchunguzi huru, Mauaji yaliyofanyika ni makubwa kuliko inavyodhaniwa

    Umoja wa Mataifa kupitia baraza lake la usalama utume mchunguzi huru na ukweli ufahamike. Maana haya hayakuwa mauaji dhidi ya waandamanaji bali ni mauaji dhidi ya raia wasio na hatia. Jana kuna familia wamefanya ibada ya mazishi kwa kutumia picha ya mpendwa wao ambae hajaonekana tangu oktoba...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta tiba za kuasili Tanzania, nimepatwa na makubwa huku

    Natafuta tiba za mganga wa kiasili Tanzania. Sina nguvu tena mwilini, ya kuenda chooni haja kubwa na ndogo. Nguvu za hedhi pia zimetolewa mwilini. Akili nasumbuka sana. Usiku hua nalala na nyoka. Jirani wangu anahusika pakubwa sana. Hata nguvu ya roho walitoa kabisa, hua inavutwa na kitovu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Katika haya madhehebu makubwa RC pekee wameoesha kuuishi ukristo kwa vitendo, KKKT ni wanafiki wakubwa,ANGLICAN na wengineo wanafiki pia

    Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi Nimewadharau sana KKKT...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Mawaziri wapya wakiwa wanakula kiapo - Tanzania mpya yenye maendeleo makubwa hii hapa (Watanzania wa kweli wanaipenda)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wa Wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
  11. JamiiForums Tanzania Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tumeshuhudia mauaji makubwa Oct 29. Ni kwanini tunataka maandamano tena wakati tunajua watu watapoteza maisha?

    Sote ni mashahidi maandamano ya Oct 29 yamesababisha vifo vya raia wengi na police. Sote tuna majonzi. Kwann Bado activist wanataka tuandamane December 9 ilhali wanajua kwa vyovyote vile serikali haiwezi kupinduliwa kirahisi. Yaani mnataka kupindua serikali lakini kufa hamtaki. Kama mnataka...
  13. JamiiForums Tanzania Eurekaah! Mikoa iliyokinukisha sana ina maendeleo makubwa ya vipato; ile iliyolala, na vipato vyao vimelala!

    Nywinywinywi Nywaaaaaa! Chikichiki Pah Pah Paaah! Hoja hai, haiwi mfu kwa Risasi! Za nini Risasi? Nashambulia nikitokea upande wa winga wa uchumi. Eee bana wee! Wanazuoni wengi mashuhuru kwenye uwanda wa sayansi ya siasa na uchumi, wamekuwa mara nyingi wakinasibisha jamii huru na zenye haki na...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi

    Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa shangazi Maria Sarungi: Ni makosa makubwa ya kimkakati kuitisha maandamano mengine hivi karibuni

    Shangazi wa Taifa Maria, pole sana kwa harakati zako za kupigania haki, na Tanzania yenye demokrasia ya kweli, maendeleo kwa watu na kupinga ufisadi na ubadhirifu na kila aina ya dhulma nchini. Nitoe pole nyingi sana kwa Watanzania waliofiwa na ndugu zao kutokana na yaliyojiri katika maadamano...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Wanaovuruga amani wanataka kutusahaulisha makubwa aliyofanya Rais Samia

    Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mzee Mwanakijiji alitarajia makubwa yasiyowezekana naona amepaniki

    Kwa uzoefu wangu wa humu jamvini na namna nilivyoshuhudia comments za wengi wetu humu jamvini ni kama vile Mzee Mwanakijiji aliaminishwa kuwa this time vurugu za uchaguzi zingepelekea kufutwa kwa uchaguzi au kuangushwa kwa Serikali. Hili limenishangaza sana kwa mkongwe huyu anayejali hoja na...
  18. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa huduma ya mtandao (Internet service) umekosesha nchi mapato makubwa ya ndani na nje

    Wasalaam Aleykhum, Hatimaye nimefika nyumbani Zanzibar salama majira ya jana jioni na kuswali Isha nyumbani Mie ni Muislam ninayeogopa Unafik kuliko Shirki (japo dhambi zote mbaya sana mbele ya Allah (S.A.W) Nimeumizwa na vifo nilivyoshughudia huko bara kwasababu kikazi mi n maranyingi nakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Iddi Amin Mama, Kubali Yaishe. Maslahi Ya Nchi Ni Makubwa Kuliko Maslahi Yako Binafsi!

    Iddi Amin Mama, inawezekana you’re in deep denial, lakini ukweli ni kwamba hakuna tena uwezekano wa wewe kuendelea kuongoza hii nchi bila kuzidi kuharibu umoja wake wa kitaifa! Ukubali au usikubali, huna washauri wazuri. Washauri ulionao ni wale wanaokuambia kile wanachodhani unataka kusikia...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…