makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania DC Mwenda atumia siku ya wanawake kueleza makubwa yaliyofanywa na Rais Samia

    Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amesema kwa muda mfupi wa Uongozi wa Rais Samia Suluhu, Wilaya yake imepokea Mabilioni ya fedha ambayo hayakuwahi kuletwa kwenye maendeleo kwenye Wilaya hiyo. Mhe. Mwenda ameyasema hayo Jana Jumanne Machi 08, 2022 wakati...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wapata maendeleo makubwa nchini China

    Wakati dunia inapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, mwanaanga wa China Bibi Wang Yaping, ametoa salamu kutoka kwenye Kituo cha Anga ya Juu cha China, akiwatakia wanawake wote duniani ulimwengu “wafuate nyota inayong’aa zaidi kwa ajili ya maisha na kazi wanayopenda.” Kutoka “kufunga...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa wewe ndio mpotoshaji mkubwa, Katiba ndio muongozo na jibu la kila kitu. Hii tuliyonayo sasa ina mapungufu makubwa

    Dunia nzima inafahamika kuwa katiba ndio supreme law of the state. Leo hii sisi watanzania tuna katiba ambayo ilitungwa mwaka 1977. Na ukiangalia ilikuwa ikireflect kujibu matatitizo na kero zilizokuwepo wakati huo. Ndio maana kumekuwepo na mabadiliko ya katiba hapa nchini kwetu zaidi ya mara...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Idara za usalama za dunia na majeshi ya mataifa makubwa on High Alert, Pray for World

    Hali imebadilika katika uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia. Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo. Russia ameviambia vikosi vyake vya silaha za maangamizi kuwa tayari. Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'

    Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'. Kesho Jumamosi ndo siku yetu Tanzania na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza tukio.
  6. JamiiForums Tanzania Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu, majiji si makubwa na vituo vipo karibukaribu

    Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile. Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani...
  7. JamiiForums Tanzania Mashaka Makubwa Juu ya Miradi ya inayotegema Umeme

    Baada ya Majibu ya Waziri wa Nishati kuomba apewe muda ili arekebishe suala la kukatika kwa umeme, sasa hofu imekuwa kubwa juu ya auendeshaji wa miradi inayotegemea umeme, Miradi hiyo ni kama SGR na Viwanda. Na Jana Rais kasema kuna mradi wa Mabasi ya umeme. Waziri J. Makamba aliomba apewe...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya kunusuru Hifadhi ya Ngorongoro

    Rasmi naomba kutoa kusudio langu la kuitisha maandamano makubwa ya kunusuru hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. Nimeanza mchakato wa kuomba kibali polisi na mamlaka zingine husika ili kuitisha maandamano makubwa yatakayofanyika hivi karibuni ili kuishinikiza serikali iwaondoe binadamu wote waliomo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Usichukulie poa, nyumba ni choo

    UPDATES: ===== Moderator: Hii thread Imefungwa kwa sababu Sheria za Tanzania na Kanuni Mpya za Maudhui 2020, haziruhusu Mijadala kama hii. Asante Hii thread ni vyura kwenda mbele tu wazee kina Behaviourist, Mrangi na TIASSA tukutane hapa. Tujitahidini iwe clean no nudity!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi mabadiliko makubwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais. Asante Zuhura Yunus

    Hii ni Pongezi kwa Kurugenzi ya Habari ya Rais, lakini natambua umuhimu wa Kiswahili. Nashauri wale mliokua allergic na English toka awamu ya 5 basi piteni tu. Leo baada ya miaka mingi tumeona Kurugenzi ya Rais ikitoa taarifa kwa lugha ya English, Lugha ambayo inawafikia wenzetu wengi wa nje ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite ) Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa...
  12. JamiiForums Tanzania Ngonjera na mbwembwe nje ya mahakama haitamsaidia Mbowe kushinda kesi, tujitafakari makamanda. Tukumbuke majaji wana mamlaka makubwa

    Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi. Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
  13. JamiiForums Tanzania Kilichotokea Mtwara ni sampuli tu uonevu wa jeshi la polisi kwa raia, matukio mengi huwa yanafichwa. Mabadiliko makubwa yanatakiwa kwa nchi nzima

    Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti. Utasikia alikuwa ni mhalifu na hata ndugu wasio na uwezo wakifuatilia matukio ya ndugu zao kupoteza maisha au kuumia wakiwa mikononi mwa polisi huwa hawapati ushirikiano wowote. Namna...
  14. JamiiForums Tanzania Anzia hapa Ili kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na majengo

    Kila eneo kwenye maisha hutegemea sana kitu hiki ili uweze kujenga mafanikio makubwa sana na ya kudumu. Kitu chenyewe ni mtazamo wako. Huu ndio msingi wa kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ukiwa na mtazamo hasi, utakuwa unashindwa kila wakati mpaka ukate...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi walia na kituo cha mabasi makubwa ya abiria ya kwenda mikoani

    Wananchi jijini Arusha pamoja na abiria wanaotumia stand kubwa ya mabasi wamailalamikia uongozi wa jiji la Arusha kuwa wameshindwa kuwaletea mabadiliko kwa kuwajengea stand nyingine mpya ya kisasa tofauti na iliyopo sasa ambayo ipo tangu kabla ya uhuru hadi sasa. Kutokana na udogo wa kituo...
  16. JamiiForums Tanzania Huduma ya 5G yadaiwa kuathiri Mawasiliano ya Ndege. Mashirika makubwa yasitisha safari zake Nchini Marekani

    Mashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na huduma ya mtandao wa 5G. Jana asubuhi huduma ya mtandao wa 5G ilianza kutumika nchini Marekani kwa kuwashwa minara 4500 ya 5G. Mashirika hayo ya ndege yamesitisha...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Waziri wa Elimu: Shule zishindanishwe/zitengwe kulingana na mazingira ya utoaji elimu

    Sijui kama ni makusudi au uvivu wa kufikiri, au kuamua kuishi kwa mazoea. Kila mwaka baraza la mitihani wanakuja na majina ya wanafunzi na shule bora katika matokeo ya mitihani ya ngazi tofauti. Kinachosikitisha ni kwamba kuna utofauti mkubwa sana wa mazingira ya utoaji elimu hapa nchini...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe Masoko yote makubwa yaliyoungua Tanzania yawezekana sababu ya Kuungua kwa la Karume ikawa ni sababu ya Jumla?

    "Sababu ya Kuungua Moto Soko la Karume juzi ni Wale Mateja waliopo katika vile Vibanda kupenda Kulanduka kwa Mihadarati kama Bangi kila mara Vizimbani hasa hasa nyakati za Usiku" Mdau Bwana Tito. Taarifa hii ipo katika Ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji wa ITV na Radio One Dada yangu Farhia...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam

    Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam hii itambatana na kuwajenga majengo makubwa yenye frame Kwa ajili ya biashara! Wamachinga wawe sehemu ya kusaidia Kodi pia.. Kuwafukuza Ingechukua muda mrefu sana.. hii itakuwa interval ya miezi 6 miaka...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali iweke taa za barabarani katika majiji yote makubwa nchini

    Katika miji yote mikubwa utakuta taa za barabarani zipo barabara chache na nyingi Ni mbovu haziwaki na hakuna ukarabati wowote. Hakuna ufuatiliaji wala uongezwaji wa taa katika barabara kuu na halmashauri hazijishughulishi na hilo wanachojua wao mwisho wa mwezi uhakika basi imetoka hiyo. Jiji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…