makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Je, Ulikuwa Unatafuta Jiko Kwa Mahitaji Makubwa Ya Kupika

    Nani Mwingine Anahitaji Jiko la Kisasa kwa Mahitaji Makubwa ya Kupika?" Je ulikuwa unatafuta jiko kwa mahitaji makubwa ya kupika? Kampuni ya jiko bomba sasa wamekuja na suluhu la majiko ya kupikia, Katika taasisi mbalimbali zenye kuhudumia watu wengi Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula...
  2. JamiiForums Tanzania Karibuni wateja wote wa matairi ya magari makubwa na madogo

    Habari, Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali na size tofauti za brands zote. Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo. Bei zetu ni nafuu sana mikoani tunatuma Dar es salaam tunafanya delivery mzigo upo wakutosha karibuni wte. Location Vingunguti karibu na sido Dar es salaam...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera kwa Kupasua Robo Karne (2025): Ukitoboa 2050, Haya Ndio Maendeleo Makubwa ya Kisayansi na Teknolojia Unayopaswa Kuyategemea

    Fikiria miaka 25 ijayo: Je, maisha yatakuwaje ifikapo mwaka 2050? Teknolojia inakua kwa kasi kuliko wakati wowote katika historia ya binadamu. Leo, tunaona simu janja, magari yanayojiendesha, na akili bandia (AI) inayoweza kuandika, kuongea na hata kufanya kazi za kibinadamu. Haya ni mwanzo tu...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mabadiliko yakikubaliwa, Uchaguzi utaahirishwa na Bunge litarudishwa hata kama lilivunjwa

    Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  5. JamiiForums Tanzania Mnasema wanawake wenye makalio makubwa wana confidence ila kiukweli ni arrogance

    Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa kujibana bana coz yeye ndio pisi kali matawi ya juu mwenye wiggle wiggle. Sasa wakikutana na no...
  6. JamiiForums Tanzania Makubwa! Huenda uraia wa mamtoni ukauzwa siku za usoni

    ....
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega: KM 1,366 za barabara zenye thamani ya tsh trilioni 2.7 zimekamilika, huku madaraja makubwa yakijengwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi pamoja ba Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega muda mfupi kabla ya Mhe Rais kuwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa

    Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa. Watoto hawa wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Tanga wana haki ya kumuimbia Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha na wao watoto wa kike wa Tanga wanajengewa shule ya bweni ya wasichana ili...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ne Zha 2 yashika nafasi ya tisa katika orodha ya filamu zilizopata mauzo makubwa duniani

    Filamu ya katuni (uhuishaji) ya Kichina "Nezha 2", ambayo ni muendelezo wa "Nezha 1: Kuzaliwa kwa Mtoto wa Shetani" hivi karibuni imefuatiliwa sana kote duniani. Baada ya kuingia kwenye nafasi ya tano katika mapato ya filamu zilizoonyeshwa kanda ya Kaskazini ya bara la Amerika na ya tatu huko...
  11. JamiiForums Tanzania Huu ni mmea mdogo lakini wenye mambo makubwa

    Mmea Mdogo Wenye Mambo Makubwa: Utumie kama chakula dawa ili uepuke kutumia dawa kama chakula!* KIVUMBASI 1. Huu mmea umesambaa Afrika nzima kwa majina tofauti: Kanda ya Ziwa unaitwa Lumbalumba, Nyanda za Juu Kusini wanauita Mnunganunga, Kilimanjaro wanauita Mnyenye, Tanga ni Luvumbampuku...
  12. JamiiForums Tanzania Pamoja na utajiri wake; matatizo ya Elon Musk na familia yake ni makubwa kuliko maskini

    Kweli kuwa Bilionea siyo mwisho wa matatizo. Angalia mahusiano mabaya ya Elon Musk dhidi ya wanafamilia wake:- 1. Wake wa Zamani Elon Musk amewahi kuoa mara mbili kwa wanawake wawili tofauti: Justine Musk (2000–2008): Justine alikuwa mke wa kwanza wa Musk, na walizaa watoto watano pamoja...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wale mlioishi miji au majiji makubwa kwa miaka mingi, mliwezaje kuzoea maisha ya bush ama miji midogo

    Tupeane uzoefu
  14. JamiiForums Tanzania Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

    Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani. Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani. Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako...
  15. JamiiForums Tanzania Prophet Denis: Tundu Lissu ni chaguo la Mungu, akiwa Rais atalifanyia makubwa Taifa la Tanzania

    Msikilize mwenyewe hapa chini.... https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=yDdIPiWbPnwjTXpg
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?.

    Kama Uchaguzi ni mbele huko, lakini tumeona na kusikia habari za utekaji, Upoteaji , Mauaji , matukio yanayoashiria kukosekana Kwa ustahimilivu na uvumilivu wa Kisiasa. Vipi miezi Kadhaa kuelekea uchaguzi ? Wakati ambao CDM mpya inarudi kua Ile ya 2010, sio kwamba Dola imeburuzwa na kuingia...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

    Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Rioba mkurugenzi TBC: Rais Samia ana mapenzi makubwa na TBC utashi wake ndio umesukuma sheria ya shirika hilo kupelekwa bungeni

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema kupitishwa kwa Sheria ya TBC kunatokana na mapenzi makubwa aliyonayo Rais Samia Suluhu Hassan kwa shirika hilo. Akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TBC...
  19. JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye Kazi ya ualimu, lakini usiwe na matarajio makubwa

    Naongea kutokana na uzoefu kidogo, nineona kwenye interview vijana wakipanga mistari mirefu kupambania ugali wao, wengine wamekaa mtaani zaidi ya miaka 10, na bado wapo wanapambana kwenye usahili, Utakapo pata nafasi ya kuingia kwenye ajira, Moja Kwa Moja na utakutana na watu uko kazini wakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Rekodi mpya: Majeshi 15 makubwa zaidi barani Afrika 2025

    Je! Unajua kuwa Misri ni moja ya majeshi 15 yenye nguvu zaidi ulimwenguni? Jeshi la Misri ni kubwa Mara 3-4 kuliko jeshi la Afrika Kusini 🇿🇦. 1. Misri 🇪🇬 2. Algeria 🇩🇿 3. Nigeria 🇳🇬 4. Afrika Kusini 🇿🇦 5. Ethiopia 🇪🇹 6. Angola 🇦🇴 7. Moroko 🇲🇦 8. DR Congo 🇨🇩 9. Sudan 🇸🇩 10. Libya 🇱🇾 11.Tunisia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…