makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana ?

    Sikumbuki kuona mwanaume yeyote aliyefanikiwa sana iwe kwenye siasa, biashara, michezo, Sanaa n.k ambaye ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa ila ajabu ni kwamba wanawake wenye makalio makubwa ndio gumzo zaidi katika mazungumzo ya wanaume! Kuna jambo halipo sawa kuhusu hii hali. Kwa nini...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna furaha sana ya kunywa pombe na company ila majuto yake ni makubwa sana siku inayofuata

    Leta kama tulivyo ni kauli nzuri sana sisi wanywaji wa pombe ila ina majuto sana.... Kwanza umekula hela zote hujabakiwa na ela ya supu na kutoa hang over kwenye bank umekomba akiba yote. Umeopoa Malaya asubuhi unashangaa demu ana mabakabaka kama chui na uligonga kavu.. wtf Pombe ni...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa yuko sahihi kuhusu Mabasi makubwa DSM, ni kero kwenye barabara za jiji.

    Sisi abiria tuna tabia ya kutaka kushushiwa popote karibu na nyumbani kwetu. Hivyo basi kubwa litalazimika kusimama na kushusha abiria kwenye vituo vidogo vya madaladala na kusababisha usumbufu kwa daladala na magari madogo mjini. Hivyo, hata kama mmiliki wa mabasi anayo terminal kubwa ya kupaki...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia ndogo mabadiliko makubwa

    tabia ndogo, mabadiliko makubwa Beti ya Kwanza Tabia ndogo huanza kimya, lakini hujenga maisha kwa nguvu, Nguvu ya kurudia hujenga misuli, na misuli ya akili hujenga uthabiti, Uthabiti hauzaliwi kwa siku moja, hujengwa kwa hatua ndogo za kila siku, Siku moja inaweza kuonekana ndogo, lakini...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile . Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi...
  6. JamiiForums Tanzania Usikose Kuangalia TPDC Inavyo Fanya Makubwa Sekta za Mafuta Na Gesi, Ni Leo Saa 3:40 Usiku Huu on Star TV

    Wanabodi, Kwa wale wenye muda, Usikose Kuangalia TPDC Inavyo Fanya Makubwa Sekta za Mafuta Na Gesi, Ni Leo Saa 3:40 Usiku Huu on Star TV。 https://youtu.be/iA-uAh2h9pI?si=IbWxfD0aomZ27Tzl Kwa ambao hampata muda wa kuangalia, links hapa https://youtu.be/xhpSZds-Ydw Karibu Mzee Pasco Rejea za...
  7. JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi tofauti na ukame, vita na mafuriko kuna shida yoyote ya kimaisha wadada wenye makebo makubwa wanapitia kwa kweli?

    Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu. Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata kama ametoka familia duni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2050 majiji yatayokuwa yamejengwa zaidi kwa mapato ya mikoa mingine, mikopo na misaada ya nje ni Dar Es Salaam, Dodoma na Arusha

    Dar Es Salaam - Ni jiji lenye ofisi nyingi za uongozi wa kitaifa na East Africa commercial city Dodoma - Ni jiji linalowekewa bajet kubwa sana ili kuhamishia ofisi za serikali huko Arusha - Ni jiji linaloendelea kupata back up ya miradi kwa kuwa na hadhi ya umoja wa Afrika Mashariki na...
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Malami aisifu Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa mageuzi ya huduma za Saratani

    16/7/2026 Mtaalamu wa masuala ya usajili wa visa vya saratani na kanzi data kutoka African Cancer Registry Network (AFCRN) Prof. Sani Malami amesema maboresho makubwa yaliyofanywa na Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) katika huduma za uchunguzi na matibabu ya saratani yameongeza uwezo wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kimataifa yanakwenda taratibu lakini yana madhara makubwa sana serikali zindukeni

    Haya mambo huenda taratibu sana lakini madhara ni makubwa Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko la jumuia Najua kama kawaida yetu na serikali sikivu hii watakuja watu kede kede kuifokea...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Hii namna mpya ya kuandamana hapo hapo na kiongozi akiwepo jukwaani inaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye siasa za Tanzania

    Tumeona kwenye tamasha la bongo fleva Mlimani City jinsi ambavyo wahudhuriaji walivyokataa mambo wasiyoyataka. Tumeona naibu waziri wa utamaduni akizomewa kwa kutaka kuingiza siasa kwenye burudani. Pia tumeona hayo hayo yakimtokea Dully Sykes kwa kumtaja tu Makonda. Haya yanatufundisha nini...
  13. JamiiForums Tanzania Mdada yoyote mwenye makebo makubwa hauwezi mkuta rafiki yake ana makubwa yake bali huchagua mwenye madogo ili asishaini ndani yake mbele ya hadhara

    Wanawake ni wajanja sana. Wanawake wanajua kupangilia namna ya kuonwa. Kuanzia make up , nguo lakini pia watu atakao hang nao popote watakapo enda.
  14. JamiiForums Tanzania Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

    Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭 Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na...
  15. JamiiForums Tanzania Tunatangaza tarehe 8/8 kutakuwa na maandamano makubwa sana ambayo hayajapata kutokea

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo tumewaachia police Tukutane barabaran tarehe 8/8 LONDON BOY
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawavai bra (sidiria) hasa wale wenye manyonyo makubwa

    Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wajaluo kuna makabila maarufu upande wa Tanzania yenye mafanikio makubwa nchi jirani?

    Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande wa Tanzania kwenye maendeleo hawapo kivile japo kuna baadhi ya sehemu wametoboa mfano ukienda kule...
  18. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali ikomeshe biashara ya wizi wa mafuta kwenye magari makubwa maeneo ya Manyoni na Singida

    Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya masanduku na yale ya kusafirisha mafuta kuelekea mikoa ya jirani na nchi za nje. Uchunguzi na...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya fundi mechanic magari makubwa

    Tunatafuta Fundi Magari Makubwa mwenye uzoefu wa kutengeneza Engine na Gearbox za malori na magari makubwa, hususan yale ya Kichina. Sifa zinazohitajika:
• Uwe na uzoefu wa kutengeneza engine za malori na magari makubwa.
• Uwe na uwezo wa kufanya matengenezo na overhaul za gearbox.
• Uwe...
  20. JamiiForums Tanzania Twende na ukweli haujawahi ku-date na mdada mwenye makalio makubwa zaidi ya miezi 7

    average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7. Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…