Epuka makosa haya kwenye maisha, yatakuchelewesha na yatakuzeesha haraka.
Huyo mimi ndiyo nilimsomesha.
Hilo paa mimi ndiyo nimempaulia ili ahamie kwake, alikwama kabisaaaaa.
Hicho cheo mimi ndiyo nilimfanyia mpango akakipata.
Usimuone hivyo mimi ndiyo nilikuwa nampa nauli sasa hivi hanijui...