makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    Tarehe 7 mwezi Aprili 2022, kwa mara nyingine tena Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina LM kupitia Chaneli ya Mtandao wa YouTube ya Dar24 alijitokeza hadharani kuishambulia Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais, Samia Suluhu Hassan (SSH) kwa kivuli cha kumshambulia Waziri wa Nishati...
  2. Jeshi la Polisi: Madai ya Makonda kuuawa, kama yupo ‘siriasi’ aende Polisi

    Muda mfupi baada ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika mtandaoni kuwa kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua, Jeshi la Polisi limesema kama kweli ana hofu anatakiwa aende kutoa taarifa Kituo cha Polisi. Akizungumza na Kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi...
  3. Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

    Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda. Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na...
  4. Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

    Ushauri kwako Makonda kunusuru maisha yako na familia yako! Hama Nchi Kwa Muda watu uliowatesa ni wengi ila kwakuwa tumeambiwa samehe 7 mara 70 tumeshasamehe ila Kwa Usalama wako zaidi hamia Kwa Mkeo ukweni Rwanda Au Nenda Ulaya Kasome hata Miaka minne utarudi Tanzania hasira za wengi zikiwa...
  5. Hii ni kwa ajili ndugu Paul Christian Makonda aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa - DSM

    ✓Ni ajabu lakini ni kweli kuwa ndugu huyu ambaye amewahi kuwa RC maarufu sana enzi zile wa mkoa wenye watu wengi zaidi Tanzania yaani DSM analalamika kuwa anawindwa na kundi la watu ili wamuue.. ✓Ndugu Makonda ukiwa RC - DSM, unatuhumiwa kuongoza kundi la UGAIDI WA KIDOLA (State Sponsored...
  6. Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

    Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua. Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk Ameandika: Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha...
  7. N

    Ya kina Hapi, Sabaya, Makonda na verse hii ya DMX (r.i.p)!

    Katika wimbo wake wa 'what's my name' kuna sehemu mgumu huyu (dmx) anasema; "Look at all these off‐brand niģgaz runnin' around yappin' about they be holding figures as big as jigga's"! Halafu kuna sauti inasindikiza hiyo verse inasema, "that's the bullshit"! Nimejikuta tu nakumbuka siku chache...
  8. Makonda angefanya haya kumalizana na GSM, ni darasa la bure kwa watu wote

    Sakata la mgogoro wa ardhi kati ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) bado halijafika mwisho, licha ya ukimya wa siku kadhaa lakini sakata hilo bado lipo na halijafikia tamati. Makonda analalamika kuwa amedhulumiwa eneo na mjengo wake eneo...
  9. DPP na DCI waweka mapingamizi manne kufunguliwa kesi ya Makonda. Wasema Kubenea hana maslahi na maombi hayo

    DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo. Pia soma Mwanasheria: Hadi sasa...
  10. Kupenyezwa kwa Yanga kwenye siasa ni issue ya GSM na Makonda?!

    Jana tasnia ya soka ilishangazwa na timu ya Yanga kujiingiza kwenye siasa za vyama. Ninajaribu tu kuwaza nje ya box. Wote tumeshuhudia sakata la Makonda na GSM kutapeliana kiwanja. Je,nitakuwa sahihi nikisema GSM ameamua kuitumia Yanga kujipenyeza na kumpigia kampeni mama Samia ili kupata...
  11. Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania

    Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania Ndani ya Jiji la Dar es Salaam kuna mnyukano. Ni baina ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohammed (GSM). Wanagombea ardhi. Makonda analalamika kuwa GSM anataka kumdhulumu mali yake. Wakili wa...
  12. Video: Makonda akila bata maeneo tulivu

  13. Hayati Magufuli alituhubiria kwamba Tanzania ni ya masikini na wanyonge,lakini alishuhudia Makonda, Sabaya wakipata ubilionea kupitia Utumishi wa umma

    Wanasiasa usiwaamini Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya kutafuta utajiri tulifanya hima kimchongea Kila mahala, na kama ana shamba, basi tulilivamia, na...
  14. TAKUKURU yaingilia kati sakata la Makonda na GSM. GSM aliripoti hati ya kiwanja kupotea

    Serikali imesema inalichunguza sakata la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) la kugombea kiwanja Na.60 kilichopo Regent Estate Manispaa ya Kinondoni jijini hapa. Akizungumza mwisho wa wiki iliyopita, Wakili wa GSM, Alex Mgongolwa...
  15. Wakili amtaja mtu atakayemuokoa Makonda mgogoro dhidi ya GSM, afafanua kosa alilofanya kisheria

    Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande wake ukiamini wenyewe ndiyo una umiliki halali wa eneo hilo. Tayari GSM kupitia Mwanasheria, Alex...
  16. Elimu ya ardhi mgogoro wa Makonda na GSM

    Adv. Taslima Kaijage +255 715 / 784 / 774 - 161820 1. Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafannya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako Mnunuzi) mara moja kadri uwezavyo. Wengi mkinunua kwasababu hakuna anayekulazimisha kufanya transfer kwa haraka basi...
  17. Mwenye picha ya nyumba inayogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee

    Mwenye picha ya ghorofa aka hekalu linalogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee Ova.
  18. Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

    Sikuwa namtilia maanani sana msanii huyu awali lakini baada ya kumsikiliza nimegundua ana akili sana tofauti na wanavyo mchukulia watu wengi. Mwishoni mwa mahojiano yake katoa ushauri Kwa Makonda aache kujiingiza mambo mengi yasiyo maana ikiwemo wasanii Kwa kutaka wamsifie wakati wao wanataka...
  19. Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Salaam Wakuu, Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri. Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa. Haji kadai Wakati...
  20. Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

    Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea. Kwa ninavyowafahamu Wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho. Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi. Kila la kheri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…