Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ametembelea kiwanja kinachotarajiwa kujengwa ofisi za Kanda ya Kati ya chama hicho kilichopo Kata ya Ipagala, Mtaa wa Ilazo jijini Dodoma.
Akizungumza katika eneo hilo, Heche amesema ofisi hiyo itakuwa makao makuu ndogo pamoja na ofisi nyingine...
TUNATAKA KAZI ZA SERIKALI ZIFANYIKE MAKAO MAKUU YA NCHI-DKT. MWIGULU.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inataka kazi zote zifanyike makao makuu ya nchi ili kusogeza huduma karibu na Wananchi.
📍Dodoma-Tanzania
🗓️ Januari 22, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli...
Imagine hii ndo barua iliyotolewa na polisi makao makuu kuhusu hali ya ndani ya nchi.
Ndo maana tunasema tusomeshe watoto wetu shule nzuri na wasome elimu kuliko hizo aibu za kutojua lugha za watu.
Haya ndo madhara ya kuajiri watu waliopata zero form 4
Barua imetoka makao makuu ambapo ndo roho...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa EU pamoja na majengo jirani kuharibiwa.
Maafisa wa Ukraine wamesema makombora ya Urusi yaliharibu...
Akizungumza na Kituo cha Clouds Redio, Ally Bananga ambaye ni Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam ameeleza kuwa Bilioni 89 zilizochangishwa na CCM ni kwa ajili ya uchaguzi na ujenzi wa Makao makuu ya CCM - Dodoma.
Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai hawana huduma nzuri na wamekuwa wakimzungusha muda mrefu anapofuatilia stahiki zake, ufafanuzi...
Nimesoma andiko la Askofu Bagonza. Anasema Wooote, walioshindwa/waliopenya ie walioshinda?? wote ni wale wale. Wote ni waovu., (maharamia, majambazi, wahuni ........nyongeza yangu)
WALIOSHINDWA, actually, though it looks strange, washukuru Mungu maana wameepushwa na mauti huko mbele
Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika...
Awamu ya sita imekuwa vurugu mechi;
Ile dhana ya utawala bora Haionekani hata kwenye mambo madogomadogo kama haya!
Hivi inawezekanaje Barabara zote zijengwe kwa mpigo pasipo mpangilio?
Yaani Unawezaje kufumua;
KILWA ROAD, NYERERE ROAD, MANDERA ROAD, MOROGORO ROAD, MWAIKIBAKI, BAGAMOYO ROAD n.k...
Kichaa Myahudi amewehuka, anapiga tu, hivi karibuni mtasikia ikulu na yenyewe ni majivu.....
IAF strikes Tehran's Internal Security HQ
ByJERUSALEM POST STAFF
Israel Air Force jets destroyed Iran's Internal Security Headquarters in Tehran on Wednesday, Defense Minister Israel Katz said. Iran's...
Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌
Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo...
Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi.
Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio.
Tuombe amani Hali ni tete.
Mods tafadhali sana msiunganisha mijadala inayohusu matukio makubwa ya kiusalama kama kuuawa kwa mkuu wa jeshi au waziri. Haya ni matukio ya kipekee tofauti na milipuko ya kila siku, mambo haya yanahitaji kujadiliwa kwa muktadha wake maalum,
Cheo hicho ni sawa na mkuu wa usalama wa taifa wa...
Israel pia imesema Ayatollah atapigwa muda usio mrefu....
The IDF confirmed early Sunday morning striking the Iranian Defense Ministry headquarters as well as the “headquarters of the SPND nuclear project, and additional targets.” Israeli jets also struck fuel depots in the country, the...
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi ya Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) na kukabidhi magari 19 kwa ajili ya ofisi za makao makuu na wilaya mbalimbali nchini.
Akizungumza mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo, Waziri Aweso alisema RUWASA...
Nakupatieni ufunuo ya kwamba, bata anakihitaji kile kiota cha makao makuu.
Hivyo mgawanyo wa mali utakapofika kiota kitaamuliwa kuuzwa, halafu bata atatumia ujanja na kukirejesha mikononi mwake.
Kwakuwa inadaiwa jalala ambapo kiota kimejengwa ni mali ya bata.
Kifaranga anayelalama kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.