makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makanisa na vinanda/miziki kama kawaida yao

    Kuna kanisa mtaa mmoja huku nilipo, Sijajua hawa ni walokole ama! Mtaa mzima hapa ni kelele kwenda mbele. Miziki inapigwa kama wako disco mazee! Aise wanakera mno na makelele yao, serikali naomba muwashugulikie hawa watu, tembeeni mikoa yote mpaka vijijini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…