makamu

  1. JamiiForums Tanzania John Heche amtembelea Mabele Marando nyumbani kwake

    Leo tarehe 11 Oktoba 2025, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA John Heche amemtembelea nyumbani kwake aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama na Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Mabere Marando. Ziara hii imebeba maana kubwa ya kuthamini mchango wa viongozi waliotangulia na kuendeleza mshikamano ndani...
  2. JamiiForums Tanzania Alifeli akiwa makamu amefeli akiwa Rais bila aibu anataka kurudi tena

    Kuna kiongozi wa nchi moja alifeli sana kipindi akiwa makamu baada ya kuupata mithili ya tunda dodo lililoanguka chini mchangani, wala hakuwa na sifa wala vigezo isipokuwa tu gender balance na 'visiwani balance' sasa alifeli vibaya, kama zali akaula tena, sasa amenogewa na kujiona uwezo anao...
  3. JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wanawezaje kushitakiwa/kuwajibishwa?

    Akizungumza Jumapili Agosti 24, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole alipendekeza kuwepo kwa sheria ya kuwawajibisha viongozi kwa matendo wanayofanya wawapo madarakani. Je, sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu viongozi wa juu akiwamo Rais wa Jamhuri ya Muungano, Makamu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu wa Rais wa JICA

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amefanya mazungumzo na Bw. Ando Naoki, Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) pembezoni mwa Mkutano wa Tisa wa TICAD uliofanyika jijini Yokohama. Mheshimiwa Waziri Kombo...
  5. JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania ni la Kubalansi Simba na Yanga kwenye kila Kitu hivyo wenye Akili tulijua bado Nyamlani angekuwa Makamu Rais TFF

    TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo. - Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi Zanzibar inadaiwa Makamu Mwenyekiti atoa rushwa kumtetea Mwanae

    Makamu Mwenyekiti wa UWT adaiwa kutoa maelekezo wasimamizi wa Uchaguzi kuhusu Mtoto wake Wardat Nassir Ali anayegombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar ili aweze kupata ushindi. Pia ameonekana akigawa rushwa hadharani kwa wajumbe wa mkutano huo nje ya ukumbi wa mkutano, na wajumbe...
  7. JamiiForums Tanzania China kuivamia Taiwan muda wowote - Makamu Wizara NJE Taiwan

    Makamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni. Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo lake? China atakubali aibishwa na Taiwan? Je washirika wa Taiwan watamsaidia?
  8. JamiiForums Tanzania Haiwezekani makamu wa rais znz,akawa toka bara,na wa bara akawa mznz ili kubalasi mambo ya kiutawala?

    Kwa Tanzania bara hili halina mjadala,je kwa upande wa znz kwa nini hili lisiwezekane?,tujadili...
  9. JamiiForums Tanzania Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?

    Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ? Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Je Unampa ushauri gani Mzee Joseph Sinde Warioba Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu

    Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika, Mhe. Janet Sallah-Njie (kulia).....

    Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
  12. JamiiForums Tanzania Makamu kajitoa,waziri mkuu kajitoa na sasa Balozi kajitoa. Nyie mnaona Nini mbele?

    Hii record imewahi kutokea lini katika historia ya nchi yetu? Hili si jambo la kawaida hata kidogo. Kama mtampa Moyo kwamba mama usiangalie nyuma songa mbele mnampoteza ndugu yenu. Huko mbele meli inazama. Narudia meli inazama. Hii record na trend si nzuri hata kidogo na ni taa kwamba hatari...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza madini ya Makamu Mwenyekti Chadema, Heche

    "Mimi ni Simba tumefungwa kihalali hakuna malalamiko, tumechapwa, tuko kimyaaaaaa. Hivyo hivyo kwenye uchaguzi tuwe na fair ground!
  14. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa njia moja kwenda kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya Steven Wasira

    Namuona Khassim Majaliwa akirudishwa kwenye chama halafu 2030 akagombee nafasi nyeti kabisa ya kitaifa
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu' - Makamu Rais wa zamani wa Burundi

    Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida ya kuichangamsha serikali iliyopo madarakani isilale na kujisahau. Habari kamili: Katika mkutano na...
  16. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Dr Mpango ?

    Jana sijaona akitambulishwa bungeni Je ratiba ilipangwa vipi bila yeye kuwepo Ila Viongozi wengine wote wawepo ? Isipokuwa yeye na mkuu wa Majeshi? Je ni ratiba au Kuna sababu nyingine? Au ndio kastaafu Kama tulivyoalifiwa kabla ya muda?
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama achaguliwa Makamu Mwenyekiti Kamati Tendaji ya Masuala ya Afya Ukanda Wa Mashariki Mwa Afrika

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering Committee- ResCo). Mawaziri wa Afya wa kutoka nchi 14 wanachama wa Kanda ya Mashariki mwa Afrika...
  18. JamiiForums Tanzania Mnaotaka U Rais shirikisho la Riadha Tanzania, Uchaguzi ni Agosti 16 2025.

    Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa shirikisho la riadha Tanzania ~RT Bw. Leornard Thadeo ametangaza uchaguzi wa rais na wajumbe kufanyika tarehe 16:08:2025 katika hoteli ya Aden Palace, Jijini Mwanza. Aidha ametaja nafasi zinazogombewa ni rais wa shirikisho Nafasi (1) , makamu wa rais wa...
  19. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Mheshimiwa Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…