makamu

  1. JamiiForums Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akapokea gari jingine jipya binafsi kutoka kwa wafaddhili wa siasa zake chadema.

    Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma. Je, kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
  2. G

    JamiiForums Kwamba vyombo vyetu vyote vya habari vimeshindwa kufuatilia Ili kufanya mahojiona na Makamu mstaafu Hadi mkuu Pascal Mayalla

    Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kuchimba habari ambazo zinaleta sintofahamu kwenye jamii. Ushindani wa vyombo vya habari ni kuwa wa kwanza KULETA habari Kwa wakati haswa zile za kiuchunguzi. Ndugu Pascal Mayalla tusaidie mahojiona na Makamu au ndugu wa karibu kuondoa sintofahamu ambayo...
  3. JamiiForums Asha rose migiro atuambie aliyekuwa makamu wa rais E.J.Nchimbi yupo wapi mana yeye ndiye alitutangazia kumvua uanachama.

    Tunahitaji jibu huyo mama atupe jibu
  4. JamiiForums Makamu wa Rais Ndejembi aelekeza mgogoro wa Dampo la Pugu na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi utatuliwe ndani ya siku 7

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Waziri wa Maliasili na Utalii kufika ndani ya siku saba katika Dampo la...
  5. H

    JamiiForums Makamu wa Rais Ndejembi atembelea ubalozi wa Tanzania, Vienna

    Tarehe 16 Septemba 2026 Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi alitembelea Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Vienna. Wakati wa ziara hiyo, Mhe. Makamu wa Rais alisaini kitabu cha wageni, kupitishwa kwenye Ofisi za...
  6. H

    JamiiForums Waziri Kombo amuwakilisha Makamu wa Rais kwa Rais wa Mfuko wa OPEC

    Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alimwakilisha Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi kwenye mazungumzo na Dkt. Abudlhamid Alkhalifa, Rais wa Mfuko wa Maendeleo wa OPEC...
  7. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Makamu wa Rais Kithure Kindiki Ahakikisha Uchaguzi Mkuu wa 2027 Utakuwa wa Haki na Uazi

    Makamu wa Rais wa Kenya, Kithure Kindiki, ametoa hakikisho kwa washirika wa maendeleo wa kimataifa na jumuiya ya kimataifa kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 utakuwa wa haki, huru, na wa wazi bila ukiukaji wowote wa sheria. Akizungumza katika mkutano huo, Kindiki alisisitiza kuwa serikali iliyo...
  8. JamiiForums Makamu wa Rais Ndejembi Vienna kwa Jukwaa la IAEA

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali kutoka Tanzania, wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA Scientific Forum) mara baada ya kuwasili Vienna nchini...
  9. JamiiForums Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aandamwa na tuhuma mpya za usaliti

    Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake, Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
  10. M

    JamiiForums Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  11. JamiiForums Lema ajitetea amuangushia jumba bovu Makamu mwenyekiti

    Akijibu tuhuma kwenye mtandao wa Twiiter (X) kuwa wanachama wanamashaka ana uhusiano na serikali ya CCM uhusiano ambao una harufu ya kukihujumu chama, kada huyo wa CHADEMA, ndugu Godbless Lema amejibu tuhuma hizo akidai yeye hati ya kusafiria (passport) alishughulikiwa na mwanasheria wa chama...
  12. JamiiForums Responded Ndejembi: Tuchukue hatua kwa haraka, kuna maeneo vifusi vimetelekezwa, mvua zikija barabara zinakuwa kero

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akizungumza na Viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Wizara ya Ujenzi pamoja na Taasisi zilizo chini ya Wizara hizo, katika kikao cha maandalizi ya namna ya kukabiliana...
  13. JamiiForums Situation Overview ya kisheria ya ushahidi wa Defence toka kwa shahidi DW5 Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Tanganyika Mh John Wegesa Heche

    By Advocate Paulo Boniventure; Shahidi wa 5 wa upande wa Defence (DW5) Mh John Wegesa Heche wa kesi ya tuhuma za uhaini wa maneno ya Mh Tundu Lissu - Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA alianza kutoa ushahidi wake kumtetea Mwenyekiti wake jana 9/9/2026... Ufuatao ni muhitastari (Situation Overview) ya...
  14. JamiiForums Makamu wa Rais Atangaza Msiba wa Mwenza wa Rais Samia

    TAARIFA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  15. R

    JamiiForums Steve Nyerere: Si afya kuendelea kutoa matamko, Watanzania hawataki siasa sasa hivi, wameridhika, wamempokea Makamu mpya

    Nukuu ya Steve Nyerere kwa Maandishi "Tukiikubaliane kwamba yaliyopita si ndio yetu, tugange yajayo. Laiti pili, mimi sizani, na hili ninawaomba kwa wenyeviti wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa yote, sizani kama kuna afya sana kuendelea kutoa matamko. Kwa sababu tamko limeshatolewa na Kamati Kuu...
  16. JamiiForums Ushauri kwa Makamu wa Rais mpya, Mhe. Deogratius Ndejembi - safari yako inaanza, haya ni maoni yangu

    Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais. Ndejembi...
  17. JamiiForums Makamu wa rais Ndejembi aagiza saruji kushuka bei

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameitaka Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa meza moja na wazalishaji wa saruji nchini ili kuweka mikakati ya haraka itakayohakikisha bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi na kurejea katika bei nafuu ya awali. Ndejembi ametoa agizo hilo jana jijini...
  18. JamiiForums Makamu wa Rais Ndejembi awasili Kilimanjaro

    ▪️Kilimanjaro Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, amewasalimu Wananchi wa Mbuyuni, Wilayani Moshi waliokusanyika kumlaki akiwa katika ziara binafsi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 01 Septemba 2026. Akiwasalimu wananchi hao, Makamu wa Rais amewasihi...
  19. JamiiForums Makamu wa Rais Ndejembi katika Misa Dodoma

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na familia yake wameungana na waumini mbalimbali katika kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Tarehe 30 Agosti 2026.
  20. JamiiForums Rais Samia ampa ujumbe mzito makamu wa Rais amwambia asiwe kama samaki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi muda mfupi baada ya Uapisho wa Makamu wa Rais uliyofanyika Ikulu, Chamwino - Dodoma leo Agosti 29, 2026. Katika hafla hiyo Rais Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…