makamanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hatimaye HAMAS yakiri kuuawa kwa makamanda wake watatu waliouliwa ndani ya handaki

    Mpaka sasa sijaelewa HAMAS walikusudia kupata nini kwenye hivi vita, wamepoteza kwa Gaza kugeuzwa shamba, wamepoteza makamanda na wapiganaji wengi sana, Wapaletsina wameuawa zaidi ya 15,000 na sasa wapo kwenye harakati za kurudisha mateka almradi Israel ipunguze mapigo na wananchi wapate...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  3. JamiiForums Tanzania Msipindishe maneno, Makonda amemaanisha kuwa Mbowe na wenzake ni vibaraka wa CCM, huku sisi makamanda tukiumia

    Naona mnataka kujitoa fahamu na kutaka kupindisha maana. Mnataka kuficha ukweli kuwa Mbowe ni kibaraka wa CCM? Hamjui kuwa Lipumba ni kibaraka wa CCM? Zitto Kabwe ni kada wa CCM. Mtoa taarifa ni informer. Ndio Makonda kaweka wazi. Makanda wenye uchungu na nchi yetu tunaumia. Angalia mlinzi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Lissu Marekani - Part B

    Hapa ni sehemu ya hotuba nzito ya TAL mwana halisi wa nchi hii: "Umoja wetu - nguvu yetu." 𝗕. π—žπ—¨π—›π—¨π—¦U 𝗛𝗔π—₯π—”π—žπ—”π—§π—œ 𝗑𝗔 π—žπ—¨π—žπ—’π—¦π—’π—Ÿπ—˜π—ͺA CHADEMA Tunahitaji umoja makundi yote bila kubezana Lazima tujitofautisha na na kauli zinazofanana na CCM, ukikosolewa unasema umetukanwa, unakuwa na chawa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura alivyofanya mabadiliko ya Makamanda wa Mikoa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa mikoa kwa lengo la kuboresha ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi.
  6. JamiiForums Tanzania Makamanda suala la DP World mmelipeleka kasi kiasi cha kuwagawa watu na kukosa umoja kwenye hili jambo

    Makamanda swala la DP World lilianza vizuri kwa kujadili kwa hoja na staha kubwa kiasi cha watu ku-concetrate kwenye hili swala moja tu la DP World na IGA. Ghafla speed ikaongezeka kwa kasi na kuanza kumuhusisha Magufuli na mkataba wa bandari, wakati ni ukweli ulio wazi Magufuli wapo...
  7. JamiiForums Tanzania Geita: CHADEMA yapata pigo, mmoja wa Makada na Makamanda wakuu ahamia ACT Wazalendo

    Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita Mjini. Sasa ACT kimbilio la wote.
  8. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Makamanda wa CHADEMA wakipigwa Tanganyika jeki baada ya kuleta ujeuri

  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kesho Maandamano Alhamisi 1, mambo yataka hamasa

    Kesho ni siku ya kwanza kwa maandamano siku ya Alhamisi baada ya jumatatu iliyopita. Stamina ni muhimu katika mapambano. Kwani kusikia kwa kenge hadi damu masikioni: Stamina, yaani uwezo wa kuendelea kukomaa bila ya kukata tamaa inajengwa na uhamasishaji usiokoma. Jambo lolote haliwezi...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

    Yapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu: 1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira. 2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda. 3. Maandamano yasiyo na ukomo ndiyo njia pekee ya kupata tunachohitaji na kwa wakati. 4. Hakuna nguvu iliyo kuu...
  11. JamiiForums Tanzania Ruzuku na asali za CCM ndio zimetufanya kusahau michango ya makamanda? Hiki kiburi cha muda kitaisha tu

    Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha? Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa? Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  13. JamiiForums Tanzania CCM na Chawa, CHADEMA na Makamanda - Nani yuko sahihi?

    WanaJF Salaam! Nimeona leo kwenye mitandao ya kijamii issue ya uzinduzi wa Chawa wa Mama kwa upande wa CCM yangu; Lakini upande wa CDM mara kadhaa majina ya kimkakati ya uendeshaji siasa nchini yanaitwa Makamanda, Operesheni Sangara nk. Nachojiuliza ni kwa nini ndg zangu hawa wakubali...
  14. JamiiForums Tanzania IGP Wambura afanya mabadiliko mengine ya Makamanda wa Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amefanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa mikoa ili kuboresha na kuongeza ufanisi wa utendaji katika mikoa mitatu ya Tanzania Bara. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Januari 6, 2023 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David...
  15. JamiiForums Tanzania Wale Makomando waliokuwa wanamlinda Freeman Mbowe wako wapi?

    Sina mengi yakusema, ila siwaoni siku hizi popote pale maana walikuja kwa mbwembwe. NB: Sina chama ila siipendi CCM na serikali ya Tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania IGP Wambura afanya mabadiliko mengine ya Makamanda wa Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu ya Polisi Dodoma na nafasi...
  17. JamiiForums Tanzania IGP Wambura afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa mikoa, Agosti 12, 2022

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya makamanda wa Polisi wa mikoa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 12,2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mionekano ya Makamanda wetu wa Majeshi ya Nchi za Afrika Mashariki

  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makamanda wa EAC wajadili kikosi kitakachotumwa DRC

    Chiefs of Defence Forces from the East African Community (EAC) member states have kicked off discussions on modalities of establishing a regional force that will help restore peace and security in the Democratic Republic of Congo. In the meeting held on Monday in Goma, Kenya’s CDF General...
  20. JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro apangua Makamanda wa Polisi wa Mikoa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko ya makamanda wa Polisi wa mikoa kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Aprili 6, 2022 na msemaji wa jeshi hilo, David Misime imeeleza kuwa aliyekuwa Kamanda wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…