makamanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Zumaridi wanapotoa Somo kwa Makamanda

    Wafuasi wa Zumaridi wakiwamo makerubi wameendelea kutoa masomo kwa makamanda wote bila kujali upande wao kuhusiana na nguvu ya umma. Walipo sasa wanaliliwa hali ili wakubali kupewa dhamana. Kwa hakika imekuwa mzigo wa kutosha kwa timu pendwa hii: Hawa ni watu 85 tu, sembuse wangekuwa 100...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

    Mshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili. Ramzan Kadyrov ni kiongozi wa Chechnya ambaye ana cheo cha Meja Jenerali ktk mojawapo ya majeshi ya Russia na pia...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ngonjera na mbwembwe nje ya mahakama haitamsaidia Mbowe kushinda kesi, tujitafakari makamanda. Tukumbuke majaji wana mamlaka makubwa

    Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi. Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
  5. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Iran imewaua makamanda wawili wa Israel mwezi huu

    Mwaka umeanza kwa Iran kuwaua makamanda watatu wa Israel. Hatimaye Iran yafanya mauaji ya makamanda wa juu wa jeshi la Israel na Marekani kimya kimya kwa kulipa kisasi cha Major General Qasem Solaiman. Ajali hiyo ilitokea ya Helcopter huko Israel na iran imetangaza kuhusika na mauaji hayo na...
Back
Top Bottom