makalio

Andrew Makalio (born 22 January 1992) is a New Zealand rugby union player who currently plays as a hooker for Tasman in New Zealand's domestic Mitre 10 Cup and for the Crusaders in the international Super Rugby competition.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

    Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa mafuta yanayohifadhiwa sehemu ya chini ya mwili ni tofauti kabisa na yale ya tumboni. Kulingana na wataalamu wa afya, mafuta haya ya nyonga husaidia kunasa asidi za mafuta hatari mwilini. Jambo hili husaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya kupata ugonjwa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini bongo hakuna organized youtubers ila tuna wapiga kelele na watingisha makalio huko tik tok na insta

    Ni kwamba sisi consumers ndio tunapenda mambo ya uchawa, kelele kelele na watingisha matako au basi hatujaamua kufanya content zilizo concious na wakapata umaarufu Au basi tu watengeneza maudhui na sisi watumiaji wote akili moja 😁
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nini husababisha mwanaume kunenepa makalio na mapaja na si misuli?

    Nikiona wanaume wenye makalio makubwa na mapaja mapana kama wanawake kama Bashiti, siishi kujiuliza kunani au kuna namna. Wenye kujua hali au ugonjwa huu wanielimishe. Naogopa kuwahukumu wenye makalio makubwa au mabashiti bila kujua sababu za hali hii.
  4. JamiiForums Tanzania Twende na ukweli haujawahi ku-date na mdada mwenye makalio makubwa zaidi ya miezi 7

    average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7. Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako...
  5. JamiiForums Tanzania Nawashwa sana kwenye makalio, nimetumia SKDERM Cream bila mafanikio

    Zaidi usiku ndio nawashwa sana wakuu. Halafu hakuna vipele wala redness. Nisaidieni dawa maana makebo yanaungua wakuu
  6. JamiiForums Tanzania Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

    Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu. Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumu sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kipi hasa huchochea vijana wengi kupendelea kuvaa suruali au kaptura chini ya makalio yao?

    Yaani unakuta kijana anahanhgaika kuipandisha suruali au kaptula yake aliyoivaa chini ya makalio yake utadhani kweli anaipandisha kiunoni kumbe anajaribu tu kuwaonyesha wanaomtazama kwamba kaivaa nguo hiyo chini ya makalio, na kwakweli haipandishi kiuononi wala nini. Na baadhi yao...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti kutoka familia tajiri au zenye uwezo kifedha hawafanyi challenge za kutingisha makalio mitandaoni?

    Musiki ni therapy, burudani na njia ya kufikisha ujumbe kwenye jamii. Kuna namna nyingi za kufurahia mziki. Miaka ya karibuni imeibuka hii trend ya mabinti na wanawake kutuma video fupi za kucheza mziki wakitingisha makalio wakiwa wamegeuzia mgongo kamera. Tunaweza tukasema ni burudani tu...
  9. JamiiForums Tanzania Nilipomuona Jaji Warioba amepiga picha na Rais MIKONO yake ikiwa nyuma ya makalio yake, nilitoa tafsiri, Je mlinielewa?

    Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake? Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Vigogo wengi walikuwa maskini, walipopata makalio yakalia mbwata

    Hali yenu ipoje wandugu zangu? Kwa kweli, nikirudi nyuma mpaka era ya JPM, na nikirudi nyuma mpaka era ya Nyerere, napata picha kamili Wengi wa wakazi (high government seniors) walioishi yale maeneo ya Upanga na Oysterbay ndiyo walioongoza kwa kutumbuliwa na JPM. Why? Sababu kuu ni ubinafsi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

    Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni. Hofu bado ni kubwa sana. Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume limbukeni atamruhusu mke wake kuvaa hovyo lakini anachukia akiona wanaume wengi wakimtongoza, kumuangalia maumbile, kumpigia miluzi, n.k.

    Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja. unaporuhu avae hivyo tafadhali usichukie unapoona anatongozwa sana, watu kugeuza shingo zao kumdadisi au...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mchepuko lazima awe na makalio makubwa zaidi?

    Eti wakuu.?
  14. JamiiForums Tanzania Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

    Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu...
  15. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

    https://youtube.com/shorts/ZE6JoCrTnxA?si=909EeGhifyHrywRl
  16. JamiiForums Tanzania Haya wale Wanaume wenzangu tunaopenda Wanawake wenye Mizigo (Makalio) na hatuwapendi Mbaumbau (Wasionayo) tumepewa Ukweli Kamili na Mtaalam

  17. JamiiForums Tanzania Ni kama macho ya taifa zima sasa hivi yamegeukia kwenye makalio ya huyu binti, sasa hivi hata kama ukija na uvumbuzi wa kisomi watu hawatakuelewa🤣

    Bongo ni nchi ya trend sanaa🤣🤣🤣 Its crazy kwamba ina just overnight makalio ya mtu yanaweza mbadirishia maisha ila kuna jamaa konki kichwani tangu 2018 anasaka ajira na anapita aptitude na oral tests zote ila wapi, LIFE🤣
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kuanza kukamata Wanawake wasio na makalio

    Imagine hii tweet ni ya mtoto wa Rais na mkuu wa majeshi ya Uganda!! What a disgraced regime?🥸 ila Watusi ndivyo walivyo wabaguzi, wenye chuki na kuwaona watu wengine kama hawana haki ya kutawala na kuwaona wabantu wote na wahutu kama mifugo I'm sorry, but we will start arresting nyashless...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume umeshajua we ni mnene kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika?

    Mwanaume umeshajua we ni mnene, bonge, kiriba tumbo na upo irregular. Sasa,kwanini una-watia aibu wanaume wenzio kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini? Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu. Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au...
  20. JamiiForums Tanzania Video ikionesha wadada wakipata wakati mgumu kukaa chini baada ya kufanyia upasuaji katika clinic ya kuongeza makalio

    🤣 Maisha ni mapambano, na hawa wanapambana kukaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…