makalio

Andrew Makalio (born 22 January 1992) is a New Zealand rugby union player who currently plays as a hooker for Tasman in New Zealand's domestic Mitre 10 Cup and for the Crusaders in the international Super Rugby competition.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta Ajira

    Kwanini mabinti kutoka familia tajiri au zenye uwezo kifedha hawafanyi challenge za kutingisha makalio mitandaoni?

    Musiki ni therapy, burudani na njia ya kufikisha ujumbe kwenye jamii. Kuna namna nyingi za kufurahia mziki. Miaka ya karibuni imeibuka hii trend ya mabinti na wanawake kutuma video fupi za kucheza mziki wakitingisha makalio wakiwa wamegeuzia mgongo kamera. Tunaweza tukasema ni burudani tu...
  2. Sifi Leo

    Nilipomuona Jaji Warioba amepiga picha na Rais MIKONO yake ikiwa nyuma ya makalio yake, nilitoa tafsiri, Je mlinielewa?

    Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake? Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
  3. L

    Vigogo wengi walikuwa maskini, walipopata makalio yakalia mbwata

    Hali yenu ipoje wandugu zangu? Kwa kweli, nikirudi nyuma mpaka era ya JPM, na nikirudi nyuma mpaka era ya Nyerere, napata picha kamili Wengi wa wakazi (high government seniors) walioishi yale maeneo ya Upanga na Oysterbay ndiyo walioongoza kwa kutumbuliwa na JPM. Why? Sababu kuu ni ubinafsi...
  4. M

    Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

    Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni. Hofu bado ni kubwa sana. Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
  5. M

    Mwanaume limbukeni atamruhusu mke wake kuvaa hovyo lakini anachukia akiona wanaume wengi wakimtongoza, kumuangalia maumbile, kumpigia miluzi, n.k.

    Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja. unaporuhu avae hivyo tafadhali usichukie unapoona anatongozwa sana, watu kugeuza shingo zao kumdadisi au...
  6. Stability

    Hivi kwanini mchepuko lazima awe na makalio makubwa zaidi?

    Eti wakuu.?
  7. Abtali Mwerevu

    Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

    Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu...
  8. Stability

    Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

    https://youtube.com/shorts/ZE6JoCrTnxA?si=909EeGhifyHrywRl
  9. ELI COHEN

    Ni kama macho ya taifa zima sasa hivi yamegeukia kwenye makalio ya huyu binti, sasa hivi hata kama ukija na uvumbuzi wa kisomi watu hawatakuelewa🤣

    Bongo ni nchi ya trend sanaa🤣🤣🤣 Its crazy kwamba ina just overnight makalio ya mtu yanaweza mbadirishia maisha ila kuna jamaa konki kichwani tangu 2018 anasaka ajira na anapita aptitude na oral tests zote ila wapi, LIFE🤣
  10. kimsboy

    Uganda kuanza kukamata Wanawake wasio na makalio

    Imagine hii tweet ni ya mtoto wa Rais na mkuu wa majeshi ya Uganda!! What a disgraced regime?🥸 ila Watusi ndivyo walivyo wabaguzi, wenye chuki na kuwaona watu wengine kama hawana haki ya kutawala na kuwaona wabantu wote na wahutu kama mifugo I'm sorry, but we will start arresting nyashless...
  11. Jaji Mfawidhi

    Mwanaume umeshajua we ni mnene kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika?

    Mwanaume umeshajua we ni mnene, bonge, kiriba tumbo na upo irregular. Sasa,kwanini una-watia aibu wanaume wenzio kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini? Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu. Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au...
  12. ELI COHEN

    Video ikionesha wadada wakipata wakati mgumu kukaa chini baada ya kufanyia upasuaji katika clinic ya kuongeza makalio

    🤣 Maisha ni mapambano, na hawa wanapambana kukaa.
  13. Nusratt

    Wadada Wenye Miili Mikubwa Tujitahidi Kujisafisha vyema kupunguza Aibu

    Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana. Songa nami. Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40. Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana. Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo...
  14. Mtunza siri zako

    Natafuta mwanaume asiyependa makalio makubwa

    Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa? Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
  15. Mr Why

    Siku hizi hakuna muziki, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio. Sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani

    Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
  16. Stability

    Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko. Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
  17. Scared

    Hivi serikali imewashindwz kabisa Hawa jamaa wa tuma kwenye namba hii

    Hivi Kuna watu wantuma pesa kirahisi kabisa mda huu Kuna jinga linatuma sms ya hivi aisee tanzania imeshindwa kuwashugulikia Hawa wajinga maana ni usumbufu sana aisee watanzania tufanye kazi hii sio ajira shenzi kabisa huyu jamaa nilijua meseji ya maana kumbe jinga Moja
  18. Stability

    Sijawahi kuona mdada mwenye makalio makubwa akawa kiongozi wa presentation, wanakaaga nyuma alafu akivuka geti la chuo anataka yeye ndio awe mbele

    Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
Back
Top Bottom