makala

Adrián Makala (born 1975), birth name Adrian Berthram McCalla Rivera, also known as "Makala", is a Mexican actor born in Mexico City. He has appeared in the Motion picture film Of Original Sin and the telenovela Mar de Amor on Televisa and the TV series "Los Simuladores" for Sony Entertainment Television. He attended various acting schools in Mexico City.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  2. JamiiForums Tanzania CCM inapokosa Unifying Ideology, hapo ndo tunawapata kina Amos Makala, kuwadharau watanzania!

    CCM sasa ni dhahiri, haina sera za kuwaunganisha wananchi wote. Kwa sisi makada wa siku nyingi, Unifying Ideology kwa wanachi wote wa Tanzania, tena wa rika, jinsia au misimamo ya kisiasa yoyote, CCM lazima iwaunganishe wananchi wote. Zamani tulikuwa na hata matembezi ya mshikamano, iliyokuwa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Oresta Mhungulu, mtunzi na mwandishi wa mashairi, hadithi fupi na ndefu, hadithi za watoto na makala za kielimu na kijamii

    Mwandishi, hadithi, mshairi
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Makalla kuhusu ‘Virusi vya Ebola’, ni Kauli ya CCM. Msajili wa Vyama vya Siasa yuko wapi?

    Msajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??. Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!. Ama KWELI, No Reforms, No Election
  5. JamiiForums Tanzania CPA Makala kutangazwa kuwa mtu wa Hovyo Tanzania

    Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
  6. JamiiForums Tanzania Makalla unajidharaulisha sana na siasa zako za mwaka 47, Mpox na Ebola tena?

    CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusi🦠 vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike. Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni vijana wameenda shule na wanaweza ku reason properly. Ulichosema ni kujiaibisha, kukosa agenda na...
  7. JamiiForums Tanzania Usiende kwenye usaili wa Mchujo bila kusoma Makala hihi na kupata matibabu haya

    https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7 HAYA! Kama wewe ni msailiwa, Mtainiwa mtarajiwa, Thinker kiongozi, au mtu yeyote anayekabiliana na hali tata zinazohitaji uchambuzi wa kina ili kupata majibu sahihi, basi Mental Therapy Scanner ni kwa ajili yako. 👇👇👇👇👇👇👇👇 https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7...
  8. JamiiForums Tanzania Makala zenye mafunzo na faida kwa jamii

    China imejenga barabara kuu bila kuharibu mashamba na mabwawa ya wakulima, kuhakikisha maendeleo na asili vinaenda sambamba. 🌿🚜 Mfano kamili wa jinsi miundombinu inaweza kukua bila kuharibu mazingira. 🌏 Maendeleo endelevu ni siku zijazo! 💚
  9. JamiiForums Tanzania Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makala: Kama tumeshinda uchaguzi serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea ushindi ni huohuo uchaguzi mkuu Oktoba

    "Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Msingwa CCM umesaidia sana ujio wa Lissu CHADEMA, hongereni Ndugu Makala, Nchimbi

    Kidumuuu chama!!! Nichukue fursa hii kuwapongeza makada wote ndani ya chama Cha kijani waliofanya usajili mahiri wa kuhakikisha wanamsajili ndugu Msigwa na kusaidia kumpa nguvu na umaarufu ndugu Lissu. Ushindi wa TUNDU Lissu una mchango mkubwa Toka Kwa kada huyu mwenye mapenzi ya dhati...
  12. JamiiForums Tanzania CCM ya Samia. Wasira, Nchimbi, Makala imepoa kuliko CCM zote

    Kama hawa ndio mboni ya CCM hadi August 2025 watabaki walamba bendela kwenye CHAMA. Kama chama kinataka kuendelea kuongoza kifanye u-turn mapema sana. Kilete watu wenye mchakamchaka na wanao jua kubadili hari ya hewa. Sasa hivi CCM imepoa sana. Hata wana CCM wenyewe wakongwe hawaelewi...
  13. JamiiForums Tanzania CCM ya Makala imepigwa pigo na CHADEMA

    Kusema ukweli, CCM ya Makala iko hoi. Haina kabisa ubunifu, Imenunua magali mengi na kutengeneza misafara mirefu na foleni zisizo namaana lakini mitandaoni ni CHADEMA tupu. Wana CCM wanahoji, kulikoni huko CCM iko kama hina uchaguzi?. Kwani Makala hawezi achia ngazi ili chama kipone?. Aingia...
  14. JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA UANDISHI WA MAKALA

    Habari wakuu, Mimi ni mwandishi wa makala mwenye uzoefu mkubwa katika kuandika maandishi yenye ubora wa hali ya juu kwa lugha zote mbili yani Kiswahili na Kiingereza. Nimejikita zaidi katika sekta ya utalii, safari, michezo, kamari na masuala ya kijamii, huku nikitumia mbinu za kisasa za SEO...
  15. JamiiForums Tanzania Walimu wote pitia makala hizi kujiandaa na usaili

    Kwa wale ambao wamekosa mambo ya msingi na taarifa muhimu kuhusu usaili hasa kada ya elimu, usijali! Zipo njia mbili za kuhakikisha hupitwi tena: 1. Tembelea Jamii Forums Hapa utapata makala zenye mwongozo wa kina na taarifa za msingi kuhusu usaili. Fuata link hii...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: Chagueni wagombea wa CCM wale wa CHADEMA Mbowe kasema hawana ILANI ni hatari kuwa na kiongozi bila kuwa na Mkataba wa atakufanyia nini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Akieleza kuwa Chama chake hakina Ilani na wagombea wao watatakiwa kubuni buni Ilani tu. CPA Makala ameyasema hayo leo Novemba...
  17. JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye Magazeti Hadi Blogu: Kwanini Kujua Kuandika Mtandaoni Ni Ujuzi wa Thamani Zaidi Leo

    Wakati fulani nyuma, habari na hadithi zetu zilikuwa zinatoka tu kwenye magazeti na vitabu. Lakini sasa, mambo yamebadilika sana. Uandishi wa mtandaoni umekuwa na nafasi kubwa, na kama bado hujui thamani ya kuandika kwa ajili ya mtandao, basi bro, unapitwa na mambo mengi! Siku hizi, kila kitu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwanahalisi Hongereni kwa makala za uchambuzi

    Kwangu mimi na kwa wale wenzangu tusioegemea upande wa vyama vya siasa ni faraja kubwa kupata gazeti la MWANAHALISI linalotoka kila Alhamisi nchini Tanzania. Kwangu mimi ni chombo pekee katika Print Media ambako naweza kupata uchambuzi makini{analytical} wa maswala mengi ya kisiasa na...
  19. JamiiForums Tanzania TBC hawajui tofauti ya taarifa ya habari na makala.

    TBC huwa siwaelewi sehemu ya taarifa ya habari wao wanaweka makala
  20. JamiiForums Tanzania Mh. Makala atawaomba radhi wananchi hadi lini?

    Bila kujua dhamira yao huwezi kuwaelewa wanafanya hivyo kwa lengo gani. Wanachochea hasira ya wananchi dhidi ya nani? Panakofuka moshi pana dalili ya kuwepo moto. Je inatosha kwa mh.makala kuwaomba radhi wanachi kwa Yale wanayosema akina Nape, Ng'umbi Na wengine kuhusu ushindi wa ccm kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…