makaburi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nafikiria kurudi kijijini kabisaaa, karibu na makaburi ya ukoo

    Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa hatua niliyofikia hautoshi hata kula milo mitatu. Mke na watoto, familia n mm mwenyew maisha ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tume imemaliza kazi yake kuhusu yaliyotokea ,hatua inayofuata ni maridhiano hasa mbona kuna watu mnafukua makaburi?

    Natumaini tuko poa Kila mmoja anaona au aliona yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi wa mwaka jana 2025 ,baada ya machafuko ya October 29 ,Raisi aliunda tume ya kuchuguza kilichotokea na sababu ya yale mambo kutokea na tayri tume imekabidhi ripoti yake na mapendekezo yake. Baada ya tume...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Madai ya kuwepo kwa makaburi ya Kondo hayakuweza kuthibitishwa

    "Lakini pia, Mheshimiwa Rais, kulikuwa na madai ya kuwepo makaburi ya halaiki. Kulikuwa na madai hayo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo kwa makaburi ya halaiki eneo la makaburi ya Kondo, Kunduchi, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam. Tume imefanya...
  4. JamiiForums Tanzania Tume Yakanusha Madai ya Makaburi ya Halaiki Kondo

    "Tume pia ilifanya ukaguzi na kubaini kuwa eneo la makaburi ya Kondo linazungukwa na makazi ya watu, na ambalo bado linatumika kwa shughuli za kilimo cha msimu na lina ulinzi muda wote. Kutokana na ushahidi na uchunguzi wa Tume wa uwandani, na kwa kuzingatia hali iliyoonekana katika eneo la...
  5. JamiiForums Tanzania Uchagani bhana! Unakuta bonge la mjengo hakuna mtu anaeishi hapo. Ukicheki nje, kuna makaburi 9 au 10

    Utafikiri ni burial center.
  6. JamiiForums Tanzania Mashujaa Waliolala Makaburi ya Kisutu

    https://youtu.be/FTL0gAKNrBU?si=QOY--5luLyAfX_GP
  7. JamiiForums Tanzania Responded Madai ya Halmashauri Bukoba kuuza mchanga wa makaburi ya Kishenge, magari yapigwa marufuku kuingia eneo hilo

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika. Kusoma hoja ya Mdau...
  8. JamiiForums Tanzania Dodoma: Wezi wavamia makaburi na kuiba clips vigae

    Kuna watu wamevurugwa kinoma! ========== Watu wasiojulikana wamevamia Makaburi ya Dodoma, yaliyoko katika Mtaa wa Mageuzi, Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga na kuvunjavunja vigae na kuiba clips zinazoshikilia vigae vilivyowekwa kuimarisha na kupendezesha makaburi hayo.
  9. JamiiForums Tanzania Mnakumbuka kuna mtu aliahidi atanunua mashine za kuchimba makaburi?

    Mnakumbuka Wanu aliahidi atanunua mashine za kuchimba makaburi? Ninadhani mtakuwa mumemuelewa sasa. Asiyejua maana haambiwi maana.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na wasomi wanaoajiriwa na Jeshi la Polisi

    Salut kwenu great thinkers wote wa JF. Kijana wenu napatwa na mashaka sana na Hawa wasomi wetu wanaoajiriwa na hiki chombo Cha ulinzi na usala wa raia na mali zao. Tukumbuke ya kwamba hili jeshi Lina wasomi wa taaluma MBALIMBALI na katika ngazi mbalimbali za kielimu. Hainiingii akilini kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kama kuna Makaburi ya halaiki

    Wazee hili swala la Makaburi ya watu ya pamoja ni tuhuma nzito sana. Labda itokee tu serikali (inasingiziwa). Kwamba watu wauliwe ,then ili kupoteza ushahidi wa idadi ya watu mnawazika kwenye makaburi ya pamoja kwa siri itakuwa one of the big Mistake ever committed. Watu wangerudishiwa miili...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

    Wakuu, Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam. Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 AFP: Siri yafichuka, Kondo na Mabwepande ndiko yaliko makaburi ya halaiki ilikozikwa maelfu ya miili waliouawa wakati wa MO29

    https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6 Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri; Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya serikali ya Samia na CCM na kufichua Siri kuwa, maelfu miili ya halaiki ya waliouwawa...
  15. JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Yale wamechukua picha za satelite zinoonyesha mauaji huko El Fashar. Je, waweza kufanya hivyo kwenye miji ya Tanzania?

    Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera. Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Makaburi saba yakutwa ndani ya Kanisa Huko Tarime

    Ni jambo la Kustaajabisha na ni halisi kabisa limetokea Huko Mkoani Mra wilaya ya Tarime ambapo inadaiwa makaburi saba yamekutwa Kanisani Humo Hadi sasa Hijafahamika wazi ni nani aliyachimba na yalitumika Vipi Taarifa kamili hii hapa https://youtu.be/tKE8-hIRyBk?si=W57s4O3HXa2DRc83
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kuzika marehemu kwenye makaburi ni sawa? Asili inasemaje?

    Viumbe vyote hutoka kwenye mavumbi ya ardhi. It is a collection of substances that have been recycled over time. Nataka kuuliza kitu. Kuwazika watu waliokufa kwenye makaburi yaliyojengwa kwa sementi kuna mchango gani kwa asili ambayo ndiyo sisi sote tumetoka huko? Viumbe vyote ,wanyama na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini tunashindwa kupanga miji yetu. Hata kupanga makaburi imetushinda pia?

    Matatizo yamenikuta niko nchi za watu kwenye ibada ya marehemu makaburini Kwakua akili yangu haipo idle, nikawa nafanya observations mbili tatu. Kwanza, hawa watu wanaeshimu wafu wao, makaburi yamepangwa vizuri na yanatunzwa Akili yangu ikarudi nyumbani chap kutafakari makaburi yetu kama vile...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini kwenda kuhiji Maka au kwingineko nje ya Afrika kana kwamba hatuna makaburi na milima?

    Nchi ya Saudia inaingiza mabilioni ya dola tokana na hija ambayo, kimsingi, ni kwenda kuzuru makaburi ya waarabu na kutupatupa mawe na kukimbia hovyo kama vichaa kwenye vilima vyao. Je Afrika hatuna haya mambo hadi tupoteze fedha na muda mwingi mbali na kuwatajirisha watu tena wanaotubagua...
  20. JamiiForums Tanzania Morogoro: Wasio julikana waua na kutupa mwili kwenye makaburi ya Kola - Morogoro mjini

    Asubuhi ya leo, umepatikana mwili wa mtu ambaye hajatambulika kutokana na mwili kuharibika vibaya baada ya kuuawa kisha kutupwa vichakani kwenye eneo la makaburi ya Kola - Morogoro mjini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…