majukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ili kuongeza ufanisi na makusanyo, TRA ivunjwe au ipunguziwe majukumu

    Habari Wakuu, Binafsi naamini moja ya chanzo cha nchi hii kutukukusanya mapato yanayoweza kutufanya tupige hatua kubwa zaidi, ni kuwa na taasisi moja(TRA) iliyokabidhiwa jukumu la kukusanya kodi za aina zote tena kwenye nchi kubwa kama yetu. Moja ya sifa kubwa ya nchi yetu ni kuwa na utitiri...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwandosya tuliambiwa asiye na Wizara maalum, Mkuchika kazi maalum. Kazi zipi hizo?

    Ninakumbuka Jk alipounda baraza lake la kipindi cha pili cha uongozi wake, alimteua pro. Mark Mwandosya akatuambia kuwa amemteua kama waziri asiyekuwa na wizara maalum. Sasa hivi tena ameteuliwa waziri Mkuchika ambaye tunaambiwa kuwa ni waziri kazi maalumu. Kwa uelewa wangu mambo yote ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Elimu itolewe Tamisemi haraka, wizara imelemewa majukumu

    Nimekuwa naifuatilia Tamisemi na jinsi inavyofanya kazi, ni dhahili wizara hii imelemewa na majukumu. Haiwezekani Tamisemi ichuje ajira za walimu, afya, kilimo n. k wakati Kuna tume ya ajira. Hiyohiyo wizara ihusike na uhamisho wa watumishi, iratibu mitihani na ulipaji posho, ishughulikie...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna wahudumu wa afya baadhi ya sehemu za kutolea huduma za afya wanakwepa majukumu yao

    Habari, Nimezoea kuona wahudumu wakichukiwa sana wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao ya kila siku katika zahanati vituo vya afya na hospitali mbalimbali hapa nchini Nitatoa mifano hapa A. Wakati wa kuona wagonjwa muda ukiisha mnafukuzwa na kwa wale vichwa ngumu ndo wanafukuzwa kama paka mwizi...
  5. JamiiForums Tanzania Sioni tatizo RCs na DCs kujiita cheo cha wanayemwakilisha eneo husika, kama wanatekeleza majukumu ipasavyo

    Katika hafla ya kuwaapisha wakuu wa mikoa, Mhe. Spika amewaasa wakuu wa mikoa kuacha kujiita marais wa maeneo wanayoyaongoza akidai kufanya hivyo kunawafanya kujiona kama Rais. Binafsi sioni tatizo kujiita jina la unayemwakilisha eneo husika. Lililo la msingi kwao ni kumwakilisha Rais kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Unaifahamu kampuni yoyote inayofanya door to door marketing?

    Habari za majukumu? Naomba mtu yeyote anisaidie details za kampuni zinazofanya door to door marketing. (Maarufu kama watu wa promotion, na wanauza bidhaa mchanganyiko kama vile vipodozi, sabuni, vyombo n.k kwa kuvitembeza mtaani) Nahitaji kupata details zifuatazo 1. Jina la kampuni 2. Mahali...
  7. B

    JamiiForums Tanzania DC Jerry Muro umeusoma ujumbe huu na ukalinganisha na majukumu yako? Jiandae

    Naomba tusome hii story ya Jerry Muro akijitetea baada ya kumkamatwa wakili nakumweka ndani kinyume kabisha na sheria. DC anadai alifanyiwa vurugu, kwa Jerry Muro huyu afanyiwe vurugu tusione clip mtaani? Hata Wananchi anaowasingizia wasipige hata picha? Vijana mnapewa madaraka kwanini...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

    1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
  9. JamiiForums Tanzania Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania

    Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania. Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji...
  10. JamiiForums Tanzania Majukumu ya Katibu Mkuu

    Katibu Mkuu atakuwa na kazi ya; 1. Kuandaa uchaguzi wa ndani unaotarajika kufanyika 2022:kuchagua viongozi katika ngazi zote;matawi,kata,wilaya,mkoa na Taifa. 2. Pia atakuwa na jukumu la kusimamia rasilimali za Chama. 3. Atakuwa na kazi ya kudhibiti makundi ndani ya Chama yanayojitokeza wakati...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wanaweza: Muhimu Yapi ni Majukumu ya Mwanamke na Yapi ni Majukumu ya Mwanaume

    Nani anahusika na kutengeneza mambo haya: lengo ni nini? Mwenye ufahamu wa mambo na elimu ya vitu hawezi kufikiri kwamba "wanawake hawawezi". Hakuna sababu ya kujadili au kufanya matangazo, mikutano au kuhamasisha kuwa wanawake wanaweza. Hili liko wazi wanawake wanaweza. Historia inaonyesha...
  12. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Mwananchi Jesse Mikofu ashambuliwa na askari akitekeleza majukumu yake

    Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) Zanzibar, Jesse Mikofu ameshambuliwa na askari wa vikosi vya SMZ wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi leo asubuhi Jumatano Aprili 21, 2021. Mikofu amekumbwa na kadhia hiyo baada ya kuwapiga picha askari hao wakati...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania wabunge wetu wanajua majukumu yao? Je, wana uwezo wa hayo majukumu?

    1. Hakuna wazo jipya lolote ambalo wamewahi kutoa lenye tija na manufaa kwa wananchi. 2. Kila kinacholetwa na serikali hupita bila kikwazo chochote hata kama hakina manufaa. 3. Kwenye suala la kuongeza makusanyo ya kodi hakuwa wazo lenye afya au mantiki walilowahi pendekeza zaidi kuiachia...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyezaa nae ananipa majukumu yasiyonihusu

    Habari za wakati huu wapendwa na wanajamvi wenzangu wa MMU. Poleni kwa kazi na kwa wale walioenda kusali hongereni kwa ibada. Nianze mkasa wangu juu ya huyu Baby mama wangu, Hapa juzi kati (wiki iliyopita) mwanadada aliyedai kuwa anaujauzito wangu na kunikabidhi kulea, alijifungua salama na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…