majukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kumekuwa na changamoto kubwa kwa Wazalishaji wa mbegu wa ndani, na hivyo wengi kuagiza kutoka nje

    Imekuwa changamoto kubwa kwa wazalishaji wa mbegu wa ndani na wakulima wa Tanzania. Inawezekanaje jukumu la msingi la taasisi husika kutotekelezwa ipasavyo? Wazalishaji wa ndani wanakabiliwa na changamoto ya kupata mbegu za vizazi kutoka mamlaka husika kwa ajili ya kuzalisha mbegu za...
  2. JamiiForums Tanzania Juma Ayo ana IQ ndogo sana. Inakuwaje Crown Fm wanampa majukumu yanayozidi uwezo wake?

    Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club. Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama...
  3. JamiiForums Tanzania Kujichua ni kawaida na afya. Watu wengi huendelea nayo hadi utu uzima ila pale inapokuwa uraibu hadi kususia sex na majukumu basi shida unakuta ni hii

    Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina. Usicheze na kitu kinaitwa...
  4. JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa utawala tuuchukue ndio uwe mfumo rasmi wa uongozi na utawala

    Habari Tanzania !. Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani. Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo; 1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri; (a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO DED wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga hatulii ofisini na hakaimishi majukumu, tunasota kupata huduma yake

    Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha mtu. Kinachokera zaidi ni kuwa Halmashauri ni mbali kiasi kwamba hizo siku zote unaweza tumia zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Yuda Iskariote akiwa airport JKIA akitekeleza majukumu yake.

    Yule mbunge kutoka Zanzibar akiiona hii picha anasemaje moyoni kwake?
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wauguzi wenye Shahada Tanzania tunafanya kazi ngumu zisizoendana na malipo yetu. Inakatisha tamaa sana

    Salamu Wakuu wa JamiiForums, Sisi ni wauguzi wenye degree (Shahada ya kwanza) nchini Tanzania tunalalamikia hali yetu. Tunaandika ujumbe huu kwa sauti kubwa kwa sababu ukimya wetu unachukuliwa kuwa ni kukubali. 1. MSHAHARA HAULINGANI NA KIWANGO CHA ELIMU NA KAZI Tunasoma miaka 4 ya degree kama...
  8. JamiiForums Tanzania MTENDAJI MKUU TEMESA AWATAKA WATUMISHI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA UFANISI

    Mtendaji Mkuu wa TEMESA, Bw. Kheri Mahimbali, amewataka watumishi wa taasisi hiyo kufanya kazi kwa weledi, uadilifu na kutenda mema katika utumishi wa umma, huku akisisitiza kuwa kutenda wema ni msingi wa kujenga mazingira bora ya kazi na kulipwa wema katika maisha na utumishi kwa ujumla...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuna faida gani kuzaa watoto hapa duniani? Mimi naona hakuna faida, ni kuletana kwenye shida na matatizo, pia kujiongezea majukumu tu

    Hebu vuta picha unazaa watoto, unahangaika kumlisha, kumvisha, kumsomesha kwa takribani miaka 25 halafu mwisho wa siku mtoto huyo akishakuwa mkubwa anaondoka hapo kwako kwenda kuanzisha familia yake na kurudia mzunguko uleule. Kuzaa>>>kulea>>> kusomesha>> watoto kuoa/kuolewa>> kuzaana tena...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna kazi au Majukumu mwanamke au Mwanaume akiziweza kuoa inakuwa kipengele

    KUNA KAZI AU MAJUKUMU MWANAMKE AU MWANAUME AKIZIWEZA KUOA INAKUWA KIPENGELE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo. 2. Wanaume kadiri anavyoshindwa majukumu Fulani anayoyaweza Mwanamke na kuyamudu majukumu ya kiume ndivyo anavyokuwa husband material. Vivyohivyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumeumbiwa starehe ya ngono kama mtego wa kuangukia kwenye majukumu mazito hadi tunazeeka?

    Sex ni kuburudisho kikubwa kwa mwanaume lakini ni tendo lenye majukumu mengi sana. Unapokuwa na girlfriend umeshajiingiza kwenye mtego wa kumhudumia, utalalamika vizinga lakini unajua fika hilo ni jukumu lako tayari. Haya yote kwa kiasi kikubwa huwa tunayaanza kwa sex. Unapompa mimba...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani kwenye Jimbo

    Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja kwenye hoja Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ? Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi JWTZ imeshakuwa na majukumu ya kulinda mali za viongozi wa CCM.

    Kuna sehemu sita taja ila nimeona wao ndio walinzi wa mali za mkubwa masaa 24. Majukumu yao yamegeuka walinzi wa mali za CCM.
  14. JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro: Tumefanya mahojiano na Rasel Mpuya muhadhiri chuo cha SAU, Tumemruhusu aendelea na majukumu yake, uchunguzi ukiendelea

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua uhalifu limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), mhadhiri wa chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine na mkazi wa Morogoro. Soma Pia: Polisi Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo kikuu cha SUA Prof. Rasel...
  15. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Majukumu ya Msingi ya JWTZ: Tathmini za Shughuli Wanazozifanya Sasa Mitaani

    Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja: 1. Kulinda...
  16. JamiiForums Tanzania Majukumu ya Waziri Mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameyaweka wazi majukumu makubwa ya Waziri Mkuu wa Tanzania kama yanavyoelezwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majukumu hayo na mengine ndiyo yanayotarajiwa kutekelezwa na Dkt. Mwigulu Nchemba aliyeteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi Dar wakiwa katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda raia na mali zao

    Oktoba 2025 haitafutika kwenye historia ya Tanzania
  18. JamiiForums Tanzania Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  19. JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Dhima, Dira na Majukumu ya JWTZ

    Niwatakie siku yenye baraka tele
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini mtu ukiwa unatekeleza majukumu yako ya kiofisi unaonekana ni mwenye kiherehere?

    Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli. Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku. Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…