Siku hizi kuna dhambi nyingi zilizopachikwa majina mazuri au ya kisasa. Kwanini? Hii ni hila ya shetani ya kuzipunguzia uzito au kuzipa uhalali katika jamii. Kwa njia hiyo shetani anawafanya watu waone kuwa dhambi ni kitu cha kawaida, cha kuvutia, au cha kupendeza na hivyo wanavutwa kutenda...