majiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masalu Jacob

    Njia ya kupunguza msongamano wa magari na watu katika Majiji - Tanzania

    Habari Tanzania ! Leo njoo tuwake kwa maneno makali hapa tuwaweke watu kazi juu juu. Njia za kupunguza na kuondoa msongamano wa watu na vyombo vya moto ni kama ifuatavyo; 1. Tuwekeze kwenye usafiri wa umma. Iwe kuna utaratibu kuwa njia zenye makazi ya watu yaani ile (Density Population )...
  2. Lycaon pictus

    Serikali inaweza kutengeneza ajira nyingi kwa kujenga barabara za mawe na zege kwenye mitaa ya miji na majiji

    Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa. Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
  3. M

    Ni kwanini wageni wanaotoka mikoa mingine kuhamia kwenye majiji huwa wanafanikiwa kuzidi wenyeji ?

    Hii ni hali inayoonekana kwa mfano wazi kwenye majiji mfano Dar es Salaam, ambapo wenyeji wengi, licha ya kuwa wamezaliwa na kukulia hapa, bado wanakutana na changamoto kubwa katika kufikia mafanikio. Zaidi ya hayo, siku hizi hatuwezi kusema kuwa wenyeji wa Dar ni Wazaramo pekee kama ilivyokuwa...
  4. M

    Orodha ya majiji na watu walioyashikilia kiuchumi,

    DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k. MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara. ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana Mbeya - Watu wa Njombe Dodoma na Tanga sijajua
  5. Fbn

    Hivi Mwijaku unataka kusema wewe unaifahamu game na majiji hapa Tz mpaka Dudu baya

    Mtu umetoka zako kijijini ukafika chuo juzi leo unataka kujiona kama umezaliwa DSM. wanaomsikiliza Mwijaku naona akili zenu zipo sawa naye.
  6. Fbn

    Manispaa ya kahama,Ina stendi nyingi na benki nyingi kuliko wilaya zote zilizopo mikoani ambazo sio majiji

    Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini. Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
  7. M

    Hizi ndizo rekodi zinazoshikiliwa na majiji nje ya Dar-Es-Salaam

    Muonekano mzuri city center - Mwanza Barabara - Dodoma Maji - Mbeya Huduma za Serikali - Dodoma Utalii - Arusha Vyuo - Mbeya Malls na supermarket - Mwanza Usalama - Dodoma Huduma za Afya - Mbeya Hali ya Hewa - Arusha Mzunguko wa pesa - Mwanza Unafuu wa maisha - Mbeya Ukarimu wa watu - Tanga...
  8. BLACK MOVEMENT

    Dar ilipaswa kuwa jiji linalotoa Wabunge vichwa sana ila hali ni tofauti na Majiji mengine ilimwenguni

    Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote. Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
  9. Masalu Jacob

    Tujenge "Green Space Garden City" kwa Majiji yote Tanzania

    Habari Tanzania ! Je, tunaweza kuwa na eneo au maeneo katikati ya Miji yalibuniwa vizuri, kupandwa na kuwekwa bustani za maua hasa kwenye haya Majiji yetu sehemu ambazo wananchi watapumzika na kuvuta hewa safi ? Ni sehemu ipi kwa hapa Tanzania yenye hali ya hewa nzuri, joto dogo na yakuvutia...
  10. Masalu Jacob

    Msimamizi wa Majiji Tanzania: Tanzania City Authority

    Oooh habari Tanzania ! Pole kwa majukumu Mtanzania ya hapa na pale. Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani. Nimekuwa nikiwaza kwa muda mrefu kuwa hapa Tanzania miji inakuwa kwa kasi sana na kupelekea kupata changamoto kubwa hususani kwenye Majiji yetu mfano; Msongamano mkubwa wa vyombo vya...
  11. Wizara ya Ardhi

    Serikali kuanza kutekeleza programu ya kuendeleza maeneo yaliyochakaa katika majiji

    Serikali itaanza kutekekeza Programu ya kuendeleza miji iliyochakaa katika majiji sita ya Arusha, Dar es salaam, Dodoma, Mwanza Mbeya na Tanga. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi Aprili 04, 2025 katika mkutano wa hadhara na wananchi wa mtaa...
  12. R

    Wenzetu mliopo kwenye majiji makubwa, watoto mnawapeleka au mnawaruhusu wapi wakacheze ukiachana na games za TV

    Nakumbuka niliwahi kwenda kwa ndugu yangu kwenye moja ya jiji kubwa, watoto ni GETI KALI !! wakitoka shuleni ni ndani hakuna kutoka, michezo yao ya ndani wnacheza game ya kwenye TV, baiskeli wanazunguka nazo ndani hakuna kutoka, midoli, n.k. nilikuwa nawaonea huruma sana wanakosa mengi sana...
  13. Mad Max

    Kiundwe kikosi maalumu cha Askari cha kuwashughulikia Bodaboda na Bajaji kwenye wanavunja sheria katika Majiji na Miji mikubwa!

    Kasi ya kuongezeka bajaji na bodaboda ni kubwa sana. Serikali kupitia jeshi lake la polisi walitakuwa kuona hii kitu tokea mapema sana. Sahivi ni kama vile wamekubali kushindwa. Hawa jamaa wanavunja sheria zote unazozijua za barabarani, wanahatarisha maisha ya watumiaji wengine wa barabara...
  14. R

    Wale mlioishi miji au majiji makubwa kwa miaka mingi, mliwezaje kuzoea maisha ya bush ama miji midogo

    Tupeane uzoefu
  15. Kinyungu

    Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

    Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini? Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC...
  16. Lugano Edom

    Kuna miji, majiji, mikoa na maeneo Majina yake tu Yanaonesha eneo ni zuri kuishi

    Eneo zuri kuishi kwanza liwe na watu wengi, pia liwe na mzunguko mzuri wa biashara. Nitajaribu Kutaja baadhi ya maeneo kama ukijaribu kutembelea utanishukuru kwa uzuri wa maeneo hayo CHATO, MBEYA, TUNDUMA, MULEBA, MOROGORO, MAFINGA, SONGEA, TUNDUMA, VWAWA ONGEZEA MENGINEUYAJUAYO
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna Kazi ngumu kwa wanawake kama Kupata Mume au mtu wa kuishi naye katika majiji makubwa

    Kwema Wakuu! Wanawake wanapitia Kipindi kigumu Sana katika zama hizi. Ukiachana na ambao walisoma na wakapata bahati ya kuajiriwa, waliobaki wanapitia ubatizo wa Moto Mkali Sana. Hakuna kwenye hii dunia mwanamke anayependa kufanya Kazi za utafutaji hasa hizi Kazi za kubangaiza zisizo na...
  18. Samia atosha tukutane2030

    Napendekeza ufanyike usajili kwa vijana wote wanahamia majijini kutafuta maisha

    Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi. Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi hana, ufundi au ujuzi wowote hana anakimbia kijijini anakwenda mjini . Ufanyike usajili kwenye...
  19. Loading failed

    Vijana jifunzeni kwa hawa wazee wenu wanao sota huko kwenye majiji na mijini huku wakijificha kwenye majuto makubwa ya kivuli cha wapambanaji

    Ndugu zangu salaam Enyi vijana wa kiume na kike jifunzeni kwenye makosa ya hawa wazee wanao bebeshwa vitu vizito huku mijini na kwenye majiji kwa malipo kiduchu yaliyo ambatana na dharau na matusi kedekede nao walikua vijana kama nyie Vijana ili muwe na maisha mazuri uzeeni lazima uishi sasa...
  20. Yoda

    Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

    Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira. Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala...
Back
Top Bottom