majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga mbona hamtupi majibu ya hoja zenu

    Mlisema amchezi bila kulipwa fedha zenu za ubingwa wa ligi zilizopita(CRDB CUP), Nauliza tu, au ndio zishalipwa kimya kimya.....?
  2. JamiiForums Tanzania Je haya ni majibu sahihi kumjibu Mbunge aliyeuliza swali Bungeni ?

    Ufafanuzi. https://www.facebook.com/share/r/189pYZfp5v/
  3. JamiiForums Tanzania IRAN: Tulikuwa tayari, tupo tayari na tutatoa majibu yatakayokumbukwa na historia!

    Iran: ▪️ Adui ana ndoto ya kwamba ameharibu mitambo yetu ya nyuklia lakini tulikuwa tayari tumeshagundua njama zake tangu mwezi Machi! ▪️ Tulihamisha kwa wakati nyenzo zote muhimu na kuziweka sehemu salama. Urani bado ipo chini ya udhibiti wetu kamili; adui anapiga mahandaki na moshi mtupu...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hii inawezekanaje? Yaan kila nikijiuliza majibu hayaji hapa sijui nitumie 4 Figure au Mathematical Table?

    Yaan nimepiga calculations zote majibu hakuna, integrals, pythagoras theorems mpaka ma-pai-chart kitu kinasoma bila bila. Na hiio ni Hisabati. Hii inakuaje Wakuu? Hesabu zimegoma kabisa
  5. JamiiForums Tanzania Responded TANESCO: Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme Imalilo (Simiyu) umechelewa kwa sababu za Kiutendaji

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa? Shirika la Umeme Tanzania limetoa ufafanuzi...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna majibu yoyote kutoka kwa mtaalamu wa fedha wa Yanga ya kwenda kulihakiki deni lao pale TFF ?

    Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

    Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanajiandaa kumpokea Mnyika muda wowote kuanzia sasa? Wenye za ndani watufahamishe

    Kuna tetesi za Mnyika kujiunga na ACT wazalendo, wenye za ndani watufahamishe!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada madaktar majibu yangu Urine na blood juu renal function ktk mnh na maabala binafs metropolis

    Habar wakuu naomba mnichambulie juu ya hii renal function na urine,,Sasa ktk urine Kuna protein 1+,ila ktk maabala binafsi siku nyuma urine haikuonekana shida naambatanisha na majibu ya sehemu zote tatu
  10. JamiiForums Tanzania Watu wa NIDA wana majibu ya hovyo jamani..

    Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭 Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
  11. JamiiForums Tanzania Spika abariki majibu ya Dkt. Mollel kuhusu huduma bure kwa Wajawazito

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, ametoa muongozo akieleza kuridhishwa na majibu ya Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, kufuatia maswali ya nyongeza yaliyoulizwa na Mbunge wa Nanyumbu, George Mwenisongole, kuhusu utekelezaji wa Sera ya Afya ya Mwaka...
  12. JamiiForums Tanzania Majibu ya rafiki yangu baada ya kumuuliza Siri ya mafanikio yake

    Kaka tumekuwa wote kijijini Wote tumefeli darasa la Saba Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa Naomba siri ya mafanikio. Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka??? Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
  13. JamiiForums Tanzania Maswali ambayo hayana majibu

    Je Kama CHADEMA haina mvuto,imesambaratika,haipendwi, chama tawala kwanini wanaogopa kufanya reforms zinazopigiwa kelele Hadi watu kutekwa, kuumizwa, "kupotea", hadi kuzuia watu kwenye viwanja vya ndege kuhudhuria kesi, kusudi ili ufanyike uchaguzi wa huru na haki mkaithibitishia dunia maneno...
  14. JamiiForums Tanzania Angalia majibu ya shombo ya Trump kwenda kwa hawa wasanii!

    Kweli Marekani imepata mchambaji! Hawa wasanii nao walijitakia wenyewe! Trump targets Taylor Swift and Bruce Springsteen on Truth Social The Dark singer accusing Trump of being "unfit" for office during the opening night of his UK tour. Huyu kachambwa hivi: he refers to Bruce Springsteen as...
  15. JamiiForums Tanzania Haya ni majibu ya kijana anayeishi maisha ya useja

    Tulikuwa katika mazungumzo na vijana tofauti kuhusu maisha, kijana mmoja akaleta mada ya useja Kwa kuanza tulianza na mfano kwa kijana mmoja anayesemekana anaishi peke yake Nilianza na swali la kwanini ameamua kuishi peke yake nakama sababu ya ugumu wa maisha inachangia Kijana yule hakuwa na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hili la Lissu na tulipofika: "Hivi hatuoni aibu kuchagizwa, ili kutenda haki? Hivi tutakuwa hata na majibu gani kwa Mola?"

    Kwamba kwa ajili ya haki tunabidi kuchagizwa kweli kweli na sasa kutokea nje ili Lissu awe huru, kina Mdude, Soka, Kipanya na wengine mlio nao kinyume cha ubinadamu wapatikane wakiwa hai? Kwamba wenye kuhusika na kuyaridhia hayo ni ninyi, na mwaona mko sahihi, maisha yanaendelea ali mradi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hivi gaming board wameita watu kazini?

    Nina mrembo wangu amepiga oral anasikilizia majibu ya hao jamaa. Alifanya nafasi ya license officer week mbili zilizopita. Nauliza kama wameishaita kazini au bado?
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Katoa mimba zangu 2 ananijibu majibu mepesi nimekasirika sikutegemea

    Aisee kuna demu nilikua nae kwenye mahusiano niliwekeza kwake kumbe mwenzangu yeye lengo lake ni kunyeteshana tuu hana mpango mwingine amekiri mwenyewe kuwa ametoa mimba zangu 2 na ya pili kidogo ingemtoa uhai.. nikamuuliza kwa umetoa akasema eti mimi na wewe hatukua na mpango wa kuzaa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi yale majibu ya chatgpt ya paper ya tax management officer ii yalikua ya uongo?

    Wakuu Baada ya kufanya mtihani wa tax management officer ii kuna watu walisambaza ule mtihani ukiwa na majibu yake kutoka chatgpt. Binafsi niliyapitia yale majibu na kujisahihishia mwenyewe kulingana na nilichokua nimekijaza ambapo marks nilizopata zilikua ni 66.5% ila cha kushangaza tra wao...
  20. JamiiForums Tanzania Wanahisabati toeni utata wa alama za ufaulu, majibu ya interview ya TRA

    Napata mkanganyiko kuelewa juu ya alama za matokeo ya majibu ya interview ya TRA. Majibu yaliyotoka tarehe 26.04.2025 1. Hapa nitazungumzia paper ya academic officer na warden ambazo zilikuwa na jumla ya maswali 40 na mgawanyo wa alama ni 2.5 kwa kila swali kufanya junla ya 100 katika mtihani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…