maji

  1. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 1.3 Kutatua Changamoto ya Maji Kijiji cha Kumubuga, Ngara

    BILIONI 1.3 KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KIJIJI CHA KUMUBUGA, NGARA Serikali imetenga Shilingi Bilioni Moja na Milioni Miatatu (Bilioni 1.3) ili kutatua changamoto ya tatizo la Maji katika Kijiji cha Kumubuga Kata ya Nyamagoma wilayani Ngara mkoani Kagera Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo...
  2. lugoda12

    Tatizo la Maji Dar es Salaam na Pwani

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inahitajika kufanya innovation katika idara ya manager watu hatuwezi kuwa na viongozi ambao hawajitambui katika wajibu wao uliowafanya wawe hapo! You can imagine maji hayatoki takribani siku 4 sasa na this later imetolewa...
  3. JanguKamaJangu

    KERO Responded Miundombinu ya mabomba kwenye Vyoo vya 'Magufuli Bus Terminal' imeharibika, maji yanatoka ovyo na hakuna anayejali

    Kituo kikuu cha Mabasi Dar es Salaam 'Magufuli Bus Terminal' ni miongoni mwa maeneo ambayo Serikali imekuwa ikikusanya mapato, kutokana na hilo inatarajiwa Miundombinu na huduma za kituo hicho ziende sambamba na kodi na tozo wanazotozwa Wananchi ambao wamekuwa wakifika eneo hilo. Kwa sasa licha...
  4. boyson onlye

    KERO DAWASA, ni lini mtatoa huduma ya maji bila mgao?

    Habari wakuu, Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi, Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank na kuna wakati unakuta maji yote uliyotunza yameisha ndanj na maji hayatoki, hasa kipindi hiki...
  5. Tlaatlaah

    Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

    Naibu wa rais Kenya amelazimika kukimbilia mahakamani kujaribu kuzuia mchakato wa kubanduliwa kwake ofisini ingawa uwezekano wa bunge kumuondoa bado ni mkubwa zaidi. Tayari wabunge wapatao 242 wameridhia muswada huo kuletwa bungeni kati ya angalau wabunge 117 waliohitajika kisheria. Endapo...
  6. Insidious

    Ukosefu wa maji Tabata, DAWASA hawana majibu

    Kwenu Wahusika, kwa mara ya pili! Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama kubwa kupata maji hayo. Bill yetu ya hivi karibuni inaonyesha matumizi ya maji kuwa...
  7. A

    KERO Changamoto ya upatikanaji wa maji mji mdogo wa Ushirombo, Wilaya ya Bukombe

    Mh. waziri wa maji tunawasilisha kwako barua ya kero na Usumbufu mkubwa wa upatikanaji wa maji mji mdogo wa Ushirombo, Wilaya ya Bukombe. Hii yote ni kukosekana kwa uwajibikaji kwa Mkurugenzi Mtendaji. ======= Waziri wa Maji Mh. JUMAA AWESO S.L.P, 456 Dodoma YAH: KUTORIDHIKA NA UTENDAJI KAZI...
  8. BigTall

    KERO Responded Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza hatuna Huduma ya Maji zaidi ya Mwezi, Wanaoboresha Barabara wameharibu Mabomba

    Sisi wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wetu hatuna huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara kwa nia ya kuboresha wameharibu mabomba na hivyo Mamlaka ya Maji kulazimika kukata maji. Wanachofanya wanaotengeneza Barabara ni jambo jema lakini sasa...
  9. Stephano Mgendanyi

    MUWASA Yaendelea Kusambaza Maji ya Bomba Musoma Vijijini

    MUWASA YAENDELEA KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI Mitambo iliyofungwa Bukanga, Musoma Mjini, kwa ajili ya kuzalisha maji kutoka Ziwa Victoria ina uwezo wa kuzalisha lita milioni 36 za maji kwa siku - haya ni maji mengi mno ukilinganisha na mahitaji ya maji ya kila siku ya Mji wa Musoma...
  10. Roving Journalist

    Rais Samia: Tusiharibu vyanzo vya maji, ndiyo uhai wetu

    “Mnakumbuka wakati wa kampeni, tuliahidi kumtua ndoo mama kichwani. Sasa tumekwenda kuifanyia kazi ahadi ile. Tumeifanyia kazi kwa kusambaza miradi ya maji nchi nzima. Kama mnavyoona tulivyofanya Ruvuma na nchi nzima ni hivyo hivyo. Kwa hiyo tunatarajia ikifika mwaka kesho 2025 tuwe tumetimiza...
  11. Pfizer

    Kilimanjaro: Milion 780 kuboresha huduma ya Maji Marangu Mashariki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi ( MUWSA) imekusudia kutekeleza mradi wa majisafi wenye lengo la kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwenye vijiji vya Samanga, Rauya pamoja na Ashira vilivyoko kwenye Kata ya Marangu Mashariki Wilaya ya Moshi Vijijini Kilimanjaro...
  12. EngFDM

    Mashine zq kuchuja chumvi kwenye maji

    Naomba kupata uzoefu kwa mwenye uelewa juu ya hizi mashine za kusafisha maji chumvi kuwa maji safi ambazo kwenye baadhi ya miji zimefungwa na zimekuwa msaada sana kwa maeneo yenye adha kubwa ya maji chumvi
  13. Hismastersvoice

    Nilikamatwa Morogoro stesheni ya SGR nikituhumiwa kusafirisha chupa ya mil.500 ya maji ya kunywa!

    Ijumaa tarehe 20 saa 1:15 asubuhi haikuwa siku njema kwangu, nilifika stesheni ya SGR nikiwa na furaha ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salaam, baada ya kukaguliwa tikiti yangu nikaambiwa niweke begi kwenye mtambo wa ukaguzi kisha nikaenda upande wa pili wa mtambo kulipokea begi. Nilipofika...
  14. HYDROVENTURE

    Kwa shughuli za kiufundi karibu Hydroventure Technical Services tunapatikana mkoani Mwanza

  15. Scared

    CCM WANAJIMWAGIA MAJI YA MOTO WANASEMA TINDIKALI

    Siku ya Leo limetoka igizo Moja ya kiongozi wa ccm eti kamwagiwa TINDIKALI kumbe Yale ni maji ya moto wanaigiza Ili kupoza raia wasiingie ground tarehe 23 nasema hivi ccm acheni kuigiza mnajimwagia maji ya moto ambayo Kila siku tunayaoga mnaema eti kamwagiwa TINDIKALIwezi nyie
  16. Just Pray

    KWELI Kupwa na kujaa kwa maji ya maziwa na mabwawa ni kidogo sana ukilinganisha na baharini

    kwanini maji ya mabwawa na maziwa kupwa na kujaa kwake hakuonekani kama ilivyo baharini?
  17. Ojuolegbha

    Serikali yatoa Tsh bilioni 145.8 mradi wa maji

    Wizara ya Maji imepanga kutumia Sh. bilioni 145.77 kujenga mradi wa maji katika miji 28, ili kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa Manispaa ya Songea, Ruvuma. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alikagua ujenzi wa tenki la maji linalojengwa katika mtaa wa Mahenge, akipongeza...
  18. M

    Shida ya maji yaanza tena kama ilivyo ada katika miezi hii ya September, October na November

    Kama ilivyo kawaida, inapofika miezi ya 9, 10 na 11 Shida ya maji huwa kubwa katika jiji la Dar es salaam. Cha ajabu jili jambo lipo kwa miaka nenda rudi, lakini Serikali hii dhaifu ya CCM, isiyojielewa, iliyoshindwa kusolve ishu za msingi kama maji halafu inadhani bado ina legitimacy mbele ya...
  19. Roving Journalist

    Responded MWAUWASA: Tumeandaa Mradi wa Tsh. Bilioni 8.4 kufikisha Huduma ya Maji maeneo ya Kishiri na jirani ambayo hayana huduma hiyo

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa. Kujua alichokisema Mdau huyo unaweza kubofya hapa ~ Changamoto ya maji Kanindo Kata ya Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ==== ==== Neli...
  20. F

    Hakuna haja ya kuzalisha umeme wa ziada wakati huu, tuzime mashine za ziada tuhifadhi maji ukame unakuja

    Viongozi wetu wanatuambia sasa mashine 3 kati ya 9 za bwawa la umeme la Nyerere zinazalisha umeme na inavyoonekana mashine 1 hadi 2 zinazalisha umeme wa ziada ambapo ni 235MW kila moja. Taarifa za TMA zinaonesha kutakuwa na ukame kuelekea mwisho wa mwaka hadi mwanzo wa 2025. TANESCO ili...
Back
Top Bottom