majeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel Lt Jeneral Eyal Zamir awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia Popote walipo!!

    Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia' Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja Jenerali Rafi Milo, Agosti 31, 2025. (IDF) Kufuatia mauaji ya Israel kwa maafisa wakuu wa Houthi na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tenda Majeshini: Angela Kizigha (Mbunge) anapata wapi audacity ya kutapeli/kuibia Jeshi la Polisi/Serikali zama hizi?

    Nilidhani zama hizi za Magufuli watu sote watakuwa wamenyooka na hasa ndani ya CCM Lakini wapi! Je tunaweza kujua who is behind this project (Angela Kizigha)? Na hao ma Godfathers wake wataendelea kumlinda mpaka lini? Sitaki kuamini kuwa Mheshimiwa Rais ata vumilia mafisadi kama huyu mama...
  3. JamiiForums Tanzania Nini hatima ya watanzania, Inatosha sasa! Yaliyosemwa na Dkt. Slaa na Polepole yanaumiza

    Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio. Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia...
  4. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kubinywa huko Lebanon na Majeshi ya Israel

    Mkono mrefu wa Majeshi ya Israel unaendelea kuwabinya na kuwanyong’onyeza magaidi wa Hezbollah huko Lebanon baada ya kuanza kuwalenga popote walipo na kuwaangamiza. Lebanon kusin sasa hivi limekuwa kaburi wazi kwa magaidi hao wa Hezbollah.
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan atunukiwa Nishani ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM)

    https://www.youtube.com/watch?v=3lNNwCmNJQ0
  6. H

    JamiiForums Tanzania Polepole ni CCM na CCM ni Polepole hakuna jipya

    Ukiwa na akili na uelewa wala huulizi nini anafanya polepole kwani iko wazi anachofanya ni kuwahamisha wananchi kutoka kwenye umakini na kuwachanganya wasahau yanayowasibu. Polepole hana jipya labda kama lakini kwa mdomo mtu kama Lissu,Silaa,Rungwe,nk t
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani humuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani tu!

    Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani/mwenyekiti wa kamandi za jeshi la Marekani tu. Mawaziri na watumishi katika...
  8. JamiiForums Tanzania Khan younis yaendelea kupigwa kwa nguvu zote na majeshi ya Israel

    Majeshi ya Israel yaendelea kuisawazisha Khan younis katika vita vyake na magaidi w Hamas!!!
  9. JamiiForums Tanzania Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0 General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao. Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono...
  10. JamiiForums Tanzania Uelewano kati ya majeshi mawili ya Iran ukoje?

    Nasikia Iran ina majeshi makubwa mawili. Jeshi la kawaida na jeshi tiifu kwa Ayatollah. Uelewano kati ya majeshi haya ukoje? Maana ni kawaida majeshi kuwa na mabifu. Jeshi gani lina nguvu zaidi? Na kwa nini Israeli inaua viongozi wa jeshi moja tu?
  11. JamiiForums Tanzania Israel imemuaa Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran, Jenerali Ali Shademani, ambaye alichaguliwa siku 4 zilizopita

    Israel imemuaa Jenerali Ali Shademani yaani Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuuawa na Israel. Jenerali Ali ametumikia nafasi hiyo kwa siku 4 na masaa 3 tu. Taarifa imethibitishwa na kiongozi mkuu wa Iran.
  12. JamiiForums Tanzania Miradi ya JKT na JWT/Shirika la mizinga, ni miradi ya kusikitisha sana, ni kipimo cha level ya uwezo wetu sisi Watanzania

    JWTZ na ndugu yake JKT, waliapaswa kuwa ndio centre ya kuibua viwanda vya kizalendo Tanzania hii, Walipaswa kuwa ndio sehemu ya watu kwenda kujifunza uchumi wa kizalendo, Watu kwenda kujifunza kuto penda bidhaa za nje na wathamini bidhaa za ndani ya nchi kamam sehemu ya Uzalendo. Centre ya...
  13. JamiiForums Tanzania Aliyeteuliwa kama mbadala wa mkuu wa majeshi ya Iran naye aliuwa, itangazeni hiyo nafasi upya

    Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira.... Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake ==================== The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Kisiasa -Israel-Iran wanapigana vita wakiwa ofisini

    1. Majeshi ya wenzetu wameyaboresha (Jeshi dogo, teknolojia kubwa). 2. Tofauti na Majeshi ya kisiasa yaliyojaa Ubabe wa kipuuzi, Timu za Mpira, canteen na fremu za maduka na kumbi za harusi. Kupata kazi humo lazima uandikiwe vimemo ili ukapasue tofali kwa kichwa. 3. Bali wenzetu wasomi...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mzazi ukiwa una uwezo unaweza kuruhusu mwanao ajiunge na kazi za majeshi ?

    Naomba tujadili hii hoja. All I know people join in military because had no better option in life . Ebu fikiria unatumwa vitani ili umpambanie mwanasiasa ambaye kaamua kuanzisha VITA kwa interest zake
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkuu wa majeshi ya Iran na wanasayansi wa nyuklia wauawa kwenye shambulizi la Israel

    Kumekuchaa....jamaa wamewahishwa kwa mabikira. The likelihood is increasing that the Iranian General Staff, including the Iranian Chief of Staff Mohammad Bagheri, and senior nuclear scientists were killed in the opening strike of Israel's Operation Rising Lion, early Friday morning. Dozens...
  17. JamiiForums Tanzania Utekaji na kupotea kwa raia umeyavua nguo majeshi ya Tanzania.

    Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na ninyi mpo? Au silaha zenu ni duni kuliko hao watekaji? Au na ninyi mnahusika kwenye huu utekaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Je? TANZANIA inalindwa na majeshi mipakani kote?

    Jibu ni hapana ni Mungu tu ndo anatulinda mpaka wakati huu ila anaenda kutuchoka karibuni kama hatutarudi kwenye misingi yetu ya upendo. Kuna nchi zina ulinzi wa kutosha mpaka kuta lakini bado maadui wanapenya na kuingia na kufanya uhalifu wa kigaidi. Mungu bado anatupenda tusimkufuru na...
  19. JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel yanamsaka Izz ad-Din al-Haddad kamanda pekee aliyebakia hai!!!

    Huyu ndiye afisa mkuu wa mwisho wa mrengo wa kijeshi wa Hamas ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa wasanifu wa Oct 07,2023 na bado yuko hai - Izz ad-Din al-Haddad, Kamanda wa Brigedi ya Gaza. Yeye ndiye shabaha inayofuata, shabaha inayofuata ya kuondolewa. Gaidi huyu wa kudharauliwa anayelivunjia...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini Mwandishi wa habari wa Ki-Palestina Hassan Aslih Majeshi ya Israel yalitaka sana auliwe?

    Ni kweli kabisa Majeshi ya Israel yalijaribu mara moja kutaka kumuua Mwandishi huyo wa Kipalestina Hassan Aslih na kumjeruhi vibaya sana akalazwa Hospitali ambako jana waliamua kumfuata huko huko na kumuangamiza bila huruma yoyote. Swali linarudi kwa nini Israel ilitaka sana hasa kuwaua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…