majeruhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  2. R

    PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  3. thegreat1510

    Kuna mauaji ya majeruhi wa maandamano yanaendelea hospitali ya Muhimbili

    Kwa bahati mbaya hamna chombo kinachoweza kupewa hii taarifa na kuzuia hili. Polisi wamejazwa wodi zote za MNH na kila ambulance ikileta watu , basi hao watu wanapewa caring kidogo kisha polisi wanawachukua na kuondoka nao. Ambapo wote wanaochukuliwa hurudishwa tena lakini wakiwa maiti tayari...
  4. M

    GE2025 Umoja wa Mataifa: Kamisheni ya Haki za Binadamu yasikitishwa na Vifo na Majeruhi katika Uchaguzi wa Tanzania

    Oktoba 31, 2025 Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
  5. tonicimmobility

    Chui aua askari wa wanyamapori Mwanza

    Askari mmoja wa idara ya wanyamapori ( TAWA) anaefahamika kwa jina la Enock Rugaimukamu Gration mkazi wa Pasiansi wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza amefariki dunia mara baada ya kujeruhiwa na chui katika sehemu mbalimbali za mwili wake. Akizungumzia tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Dcp...
  6. ELI COHEN

    Rai yangu ni picha za majeruhi hoi na kukatwa viungo kutokana na ajali za boda zisambazwe kwa hawa madereva boda boda labda wanaweza kubadirika.

    Yani boda boda na kujitoa ufahamu..:👇🏻
  7. Zanzibar-ASP

    Dakika za majeruhi (nyongeza) kwenye soka ni usanii kwa 100%, wapenda soka wote mmefanywa wajinga kabisa.

    Kama kuna kitu cha kisanii kwenye soka basi ni suala la dakika za majeruhi au dakika za nyongeza ambapo muamuzi huzitoa kufidia dakika zilizopotea. Ukichunguza kwa makini utagundua hilo suala huwa ni utashi wa kamisaa wa mchezo akishirikiana na mwamuzi wa katikati kwa maslahi yao. Hakuna mtu...
  8. kavulata

    Camala kama Manula, wamefungwa baada ya kutoka tu majeruhi.

    Mtampangaje kucheza mechi kubwa mchezaji anaetoka majeruhi? Kama Camala angepona na kucheza derby na Yanga na kufungwa bao lile alilofungwa na Al Masry watu wa hivihivi wangesema amehongwa na Yanga. Manula ndicho kinachomsumbua hadi leo. Kwa maoni yangu, angedaka Ally Salim huenda tofauti...
  9. upupu255

    Naibu Waziri Mahundi awatembelea majeruhi wa ajali Mbeya, apongeza huduma za Hospitali

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amewatembelea majeruhi wa ajali iliyohusisha basi la CRN na Gari la miundombinu ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya iliyosababisha vifo vya watu wanne na majeruhi watano. Miongoni mwa majeruhi waliotembelewa...
  10. Jackal

    Putin Awarudisha Askari Majeruhi Wakiwa Kwenye Magongo Vitani

    Vladimir Putin is forcing wounded Russian soldiers back to battle on crutches as the Kremlin lost a staggering 48,000 troops last month alone. New images have emerged showing exhausted and injured Russian combatants gingerly making their way through muddy trenches using walking aids...
  11. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Awajulia Hali majeruhi Ajali Biharamulo, Abiria 11 Wapoteza Maisha na Majeruhi 16

    BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo...
  12. Waufukweni

    Spika Dkt. Tulia awatembelea hospitali Wabunge majeruhi wa basi

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amewajulia hali baadhi ya Wabunge majeruhi, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, waliopata ajali ya gari mkoani Dodoma wakati wakielekea kwenye...
  13. mdukuzi

    Kwanini timu za EPL zina majeruhi wengi kuliko timu za Ligi kuu Tanzania. Je, Wachezaji wetu wamekomaa au hawajitumi?

    Tottenham,Man City,Arsenal zina majeruhi zaidi ya 10. Huku timu zetu wachezaji wote wako fit despite hawapitii vipimo vya afya vile inavyotakiwa. Je wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
  14. JanguKamaJangu

    Listi ya Timu za Premier League zilizo na wachezaji wengi majeruhi kufikia Novemba 19, 2024

    How each Premier League club has been affected by injuries so far as Man City and Arsenal bemoan availability problems... with FIVE sides worse off than the title rivals. Pep Guardiola and Mikel Arteta have frequently bemoaned injury problems this season, but title rivals Manchester City and...
  15. IamMrLiverpool

    Tujifunze: Mtu mmoja huko Marekani ameokolewa kutoka kwenye kifusi Baada ya Jengo refu lililokuwa linajengwa kudondoka na kifusi kumfunika

    Kutoka Louisville Kentucky nchini. Marekani siku ya jana haikuwa siku nzuri kwa wananchi wa Kentucky baada ya moja ya jengo lililokuwa linajengwa kuporomoka Katikati ya ujenzi. Kuporomoka huko kuli pelekea mtu mmoja ambaye ni constructor(fundi ujenzi) kufunikwa na kifusi takribani futi 12...
  16. L

    Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya. Tukio...
  17. kipara kipya

    Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi. Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama...
  18. T

    Hamas wanatumia ambulance kusafirisha majeruhi wao

    Dereva mmoja wa ambulance ameweka wazi ya kwamba wamechoshwa na tabia ya wapiganaji wa Hamas kutumia Magari ya ambulance kusafirisha silaha na majeruhi wao. Kwamba Hamas hujificha au kutumia ambulance kwenye kipindi Cha vita. Kauli hii imetolewa na dereva wa ambulance ndani ya Gaza.
  19. Ritz

    Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

    Wanaukumbi. BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah. https://x.com/iriran_military/status/1842370522643886275?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw UP DATE….. ========================...
  20. Pdidy

    Mikese: Wanne wafariki ajali ya basi la Kibisa, 15 wajeruhiwa

    Watu wanne wamefariki dunia na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Kibisa lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na gari la kubebea mizigo…ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika kata ya Mikese Manispaa ya Morogoro. Kaimu Afisa Habari wa...
Back
Top Bottom