majeruhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania 15% Majeruhi wa ajali wanaotibiwa Muhimbili hawana bima, huuza mali zao ili kujitibia

    Asilimia 15 majeruhi ajali wanaopata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wanauza vitu vyao vya ndani ili kupata fedha kwa ajili ya matibabu. Aidha, asilimia 20 ya majeruhi hao wanaazima fedha kwa ndugu najamaa kwa ajili ya kugharamia matibabu yao. Hayo yamesemwa Juni 6, 2022...
  2. libeva

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa TFF kuibeba Simba dakika za majeruhi tumeushtukia

    1. Kupewa kadi nyekundu kwa kocha Nasri Nabi kwa kulalamika mchezaji wake kukanyagwa na Kelvin Yondani mwamuzi sijui anajua kifaransa au kiarabu? Ndizo lugha anazo tumia Nabi alizotumia kulalamika tukio la mchezaji wake kukanyagwa je swali la kujiuliza mwamuzi aliyetoa huku ni mbobezi wa lugha...
  3. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Simba SC: Tulikuwa na nia kumwacha Thadeo Lwanga sababu ya majeraha. This is foolish!

    Thadeo Lwanga ilikuwa tusitishe mkataba wake mwezi huu kutokana na jeraha lake kuchelewa kupona na tulikuwa tayari kutafuta mbadala wake ila daktari ametuhakikishia atakuwa amepona kufikia mwisho wa mwezi huu (January)” amesema Ahmed Ally. Yaani wenzenu wanapeleka wachezaji wao kutibiwa nchi za...
  4. Mkalibari

    JamiiForums Tanzania Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

    Habari Wadau ,hivi Sasa nimepitia maeneo ya Kigamboni Tungi kwenye Round about kuelekea Darajani,Kibada na Feri kwa mbele kidogo Kuna Kituo Cha mafuta. Nimekuta Kuna zogo kubwa la watu,kutahamaki ni milio ya Risasi na watu wanakimbia hovyo. Sijajua chanzo rasmi ni Nini,japo wengi wanasema kile...
  5. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Bangladesh: Bwana harusi na wageni wake wapigwa na radi, wajeruhiwa na wengine wafariki dunia

    Wakuu, Radi nchini Bangladesh imewapiga na kuwaua wageni 17 waliohudhuria sherehe ya harusi moja nchini humo. Watu 14 wengine ikiwemo bwanaharusi walijeruhiwa. Wakati huo bi harusi hakuwepo katika sherehe hiyo. Sherehe hiyo ilikuwa inafanyika katika boti moja katika mji uliopo karibu na mto wa...
  6. KITAULO

    JamiiForums Tanzania Treni yapata ajali Morogoro ikiwa na abiria 1370 ‘Dereva amefariki, kuna Majeruhi’

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Video: Simba wanatuloga mbona wao hawana majeruhi

    Simba wachaaawiiiiiii ,miaka minne hatuna ubingwa tuna stress sisi kila siku wachezaji wetu wazuri wanapata majeraha...hayo ni maneno ya LE GENERAL UTO MASTER UTOPOLO muanzilishi wa jina mujarabu kabisa la utopolo
  8. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Serikali Zanzibar kuendelea kuwahudumia majeruhi ajali iliyoua wanne Shinyanga

    Unguja. Makamu wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali itaendelea kuwahudumia majeruhi waliopata ajali katika basi la kampuni ya Classic mkoani Shinyanga. Ajali hiyo ilitokea Juni 2, 2021 katika kijiji cha Buyubi kata ya Didia mkoani Shinyanga baada ya dereva wa basi hilo...
Back
Top Bottom