Kuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe.
Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa...
Sijapata bahat ya kutoka nchi za watu, inshallah kikubwa uzima naweza fanikiwa fika siku moja, ila mara nyingi napenda sana kuingia YouTube na kutazama miji mkuu au majiji ya nchi husika.
Mfano kama muda huu naiangalia GABORONE _🇧🇼 yaani unaona jinsi majengo yanavyovutia, unaona majengo...
Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani.
Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa.
Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya...
Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali.
Wananchi sio dhaifu suala la watu haramu kuendelea kushikiria majengo yetu wakijifanya ni watawala haliwafanyi wawe halali kamwe.
Nyumba nzuri saana.
Nyumba nzuri ya Kisasa Inauzwa milioni 190 maongezi yapo.
IPO GOBA MAJENGO - Dar es salaam - Tanzania
Ina Vyumba Vinne vya Kulala Vyumba viwili ni self Conteinard
Stady room
Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen
Store
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: sqmt 844...
Raia wa Iran wamamua liwalo na liwe, hawataki kuongozwa na dini ya muarabu.... Wanataka uhuru.
Kawaida Waajemi, yaani Persians huwa watu wenye akili sana, ukisoma historia yao kabla dini ya muarabu walikua wanafanya mengi makubwa, ile dini imewadumaza sana.
============
Watch: Buildings in...
Leo hebu tukumbushane kuhusu vita ya Hamas wa Gaza city na Israel. Kuna vitu tunaweza kuvichukulia kikawaida ila havifanyiki kwa bahati mbaya.
Tukiacha kuongelea hiyo vita katika context ya kidini, na kuwa huru kujifunza kuna sababu na hoja ni kwanini na sababu gani zilizofanya Gaza...
Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala.
Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga.
Udogo wa kile chuo ,kwa nini wasiopeleke Kiwe chato hapo maana kiwanja kilishindikana kuwa na safari na...
Tanzania imeingia zama mpya. Na zama mpya zinahitaji mitazamo mipya. Hili nililisema humu ndani kama siyo October 27 basi 28.
Tutahitaji kufanya resistance ya kila namna dhidi ya udhalimu, ikiwemo kutumia njia za kibunifu ambazo ni salama lakini zenye maana kubwa.
Mojawapo ya jambo...
Miaka 7 iliyopita nilinunua kiwanja cha SQm 400 hivi maeneo ya Sahwa.
Kutokana na uwezo wangu mdogo tukashauriana na wife tujenge nyumba ndogo kwanza ya vyumba viwili na sebule baadaye tukitulia ndio tujenge nyumba ya nafasi.
Kweli nilifanikiwa kujenga nyumba ndogo na nikaunga umeme pia na...
Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
===
Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025.
Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura hasa wa ajali na Wajawazito bila kujali...
Tangu karne za zamani civilisations nyingi zimekuwa zinajenga majengo ya kustaajabisha sana kasoro ya Waafrika weusi tu. Mpaka sasa hivi bado hali ni hiyo hiyo tu. Shida ni nini?
Hembu linganisha hii mifano ya jamii nyingine na Waafrika.
#forsale
ENEO LENYE MAJENGO MAZURI YA HUDUMA ZA KIJAMII LINAUZWA
ENEO LIPO TABATA CHANG'OMBE
MWANZO LIMETUMIKA NA CHUO (x)
BEI=BILLION 1,MAONGEZI YAPO KIDOGO
KUNA
🔹Madarasa 9 makubwa
🔹Ofisi
🔹Na Mambo mengine mengi
KWA SASA ENEO LINAWEZA KUTUMIKA KWA MATUMIZI MBALIMBALI KUTOKANA NA MNUNUZI...
Kwa kesi ya zuio la kesi ya usawa Mali huenda CHADEMA ikapoteza umiliki wa majengo yake kama ilivyokua CUF ya Maalim Seif,nahuenda CHAUMMA wakaja kuyachukua nakuyatumia nambowe akaingia mzima CHAUMMA
https://youtu.be/8reLapCOf0s?si=d0DkYnApY4VvHj_U
Hebu msikilize vizuri Afande Jumanne Muliro, RPC Kanda Maalumu ya DSM kwenye video hiyo akielezea namna alivyokuwa very sharp yeye na polisi wake kwenda kuzingira na kuwafurusha waumini waliokuwa wakiendelea na ibada ya maombi ya siku 7 ndani ya...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman ameanza ziara ya uimarishaji wa Chama kisiwani Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kujipangia na ushindi katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025.
Taarifa ya ACT imeeleza kuwa ziara hiyo imekuja kufuatia mwendelezo wa...
Mbombo ngafu! Sasa mali na majengo kugawanywa baada ya mmoja ya wana Chadema kusema hivyo.
Inawezekana jengo la makao makuu Mikocheni likafungwa kwa amri ya mahakama mpaka mgao ukamilike au team Mbowe muda wowote wakaingia ndani ya jengo, wakajaa, na wasitoke
Sisi team Mbowe tunasubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.