Wanabodi
Hii ni makala yangu ya kufungia mwaka kwenye gazeti la Mwananchi la Leo ikiwa ni makala ya 52 kwa mwaka huu.
Hii ni Makala yangu ya mwisho kwa mwaka huu wa 2025, ambapo Jumatano ya leo,ndio siku ya mwisho ya Mwaka huu wa 2025, usiku wa leo,ni mkesha wa mwaka mpya tunauaga mwaka huu wa...
Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga
Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema:
"Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"
Aisee dunia NI kama mashine ya KUKATA inakula watu vibaya mno imagine Jana Tu watu 800 wamekufa kwa tetemeko nchi ya Afghanistan Leo asubuh kuna maporomoko huko Sudan watu zaidi ya 1000 wamekufa.Ndo maana tunasema ndugu zetu hawa waache maimani makali na ugaidi kuua watu kupigana kila siku ona...
Haya majanga ya kiasili kama maporomoko ya ardhi, matetemeko ya ardhi ,tsunami pamoja na vimbunga vya msimu kwa kiasi kikubwa huangamiza idadi kubwa ya watu..
Sisi tutaendelea kujifariji na kuzaana KAMA BAKTERIA kwamba kila mtoto anakuja na sahani yake, lakini tukumbuke Asili nayo...
Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels.
Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa...
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
Dodoma: Hii ni barabara ya Mpunguzi iliyopo jijini Dodoma ni barabara ambayo yanapita magari kuelekea mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya na mikoa mingine.
Ukipita kwenye barabara hii utakutana na vishimo vingi ambayo vinaweza kusababisha madhara ikiwemo kuharibu magari na kusababisha ajali...
Nashauri kuwe na masomo ya vitendo maalumu kwa jamii pia kwaajili ya kujiandaa na kukabiliana na majanga mbalimbali kama vile moto, mafuriko, matetemeko ya ardhi n.k
kwa mara nyingi masomo ya vitendo vya kukabiliana na majanga pamoja na vifaa vya uokozi huwa vinatolewa kwa asilimia kubwa...
Siku ya Kimataifa ya Wenzi wa Ndoa:kuheshimu mume na mke kama msingi wa familia
Siku ya kimataifa ya Wenzi wa Ndoa ni sheherehe ambayo inahimiza kuheshimu mume na mke kama jiwe kuu la pembeni la familia,umoja msingi wa jamii ya kila tamaduni,kabila,koo na taifa.Adhimisho hili linahamasisha uzuri...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) Dkt. Immaculate Sware Semesi ameitaka jamii yote kuzingatia maelekezo yanayotolewa na mamlaka za usimamizi na kuchukua hatua za kujilinda na hali ya hatari tarajiwa katika mazingira.
Ameyasema hayo leo tarehe 02...
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Mbarak alhaj Batenga, ameagiza kuundwa kwa mfuko maalumu utakaoshughulikia majanga ya asili na moto ambao utasaidia kupunguza hasara inayawapata wakulima wa tumbaku wilayani humo.
Batenga alitoa kauli hiyo alipokuwa akikabidhi gari kwa wakulima wa tumbaku...
https://www.google.com/amp/s/www.aljazeera.com/amp/news/2021/8/19/mapping-wildfires-around-the-world-interactive
Watu hamsomi. Hamjiongezi mkapata taarifa. Wanaibuka watu wanasema ni Mungu amewaadhibu sababu ya Gaza. Hizi akili za watu ambao hawana elimu na ufahamu.
Hizi nchi zimewahi pata...
Hodi humu jamvini, Heri ya mwaka mpya wakuu, Mi ni mgeni kwa hii Id na ndo mara yangu ya kwanza kupost uzi.
Kama kichwa cha uzi kisemavyo , Kwa zaidi ya miaka 30 nimekuwa mfatiliaji wa habari za ndani na kimataifa.
Sijawahi kuona au kusikia ikulu yoyote hapa duniani ikikumbwa na majanga ya...
Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo.
Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika
Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
Kwa sisi wenye imani tunaamini majanga yetu ni kwasababu ya uporaji wa haki na bila kuwa na upendo na haki kwa wote ikiwa ni pamoja na katiba nzuri, demokrasia ya kweli, bunge na mahakama inayotoa haki majanga nchini hayataisha.
Majanga yatakuja ya mvua, matetemoko , ajali na vifo. Viongozi...
Hiki kifaa kinatumika wakati wa majanga ya watu waliofukiwa kwenye kifusi au maji ku-scan na kujua walipo. Hiki kifaa TZ haina na kinauzwa milion 10 tu. Ila Samia katoa milion 700 za pongezi kwa Taifa stars, halafu waokoaji Kariakoo wanakisia kutafuta wahanga walipo ili wawaokoe.
Kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo video zinazosambaa inaonesha Jengo halikuwa na underground.
Hivyo mmiliki akaamua kuchimba kuweka maduka chini.
Hii bila shaka haikuhusisha mamlaka na wataalamu maana wasingeruhusu afanye alichofanya.
Naiomba serikali inipr huyu mtu nikae nae ndani siku moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.