maiti

Maiti is an Indian surname that may refer to

Abha Maiti (born 1925), Indian politician
Ajit Kumar Maiti (born 1928), Indian neurophysiologist
Kalobaran Maiti (born 1967), Indian physicist
Mrigendra Nath Maiti, Indian politician
Samarpan Maiti (born 1988), Indian scientist, human rights activist and model
Souvik Maiti (born 1971), Indian chemist

View More On Wikipedia.org
  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Rehema: Wahudumu wa mochwari waliotoa siri za mrundikano wa maiti wametekwa

    Kama kawaida, wahudumu wa mochwari waliotoa siri za maiti waliorundikana kwenye mochwari zao kufuatia mauaji ya halaiki ya tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 05 Novemba wameanza kutekwa mmoja baada ya mwingine. Hii ni baada ya shirika la habari la CCN kujiandaa kutoa dokyumentari inayohusu mauaji haya...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madaktari mbalimbali nchini wanawindwa kama wahalifu ili kuficha ushahidi wa mauaji na maiti zilizopelekwa kutupwa ktk hospitali zao

    https://youtu.be/yh3FB26VcNc?si=Aa33IMGEMgn_8AW0 👉Baadhi wameshakamatwa, kutekwa na kuuawa Ili kuficha ushahidi (Taifa likiwa bado linaomboleza na kuzika ndugu zao waliouawa kati ya 29/10 na 5/11/2025, nyuma ya pazia Samia akiwa anaendelea kuteka na kuua kwa Siri at the same time akijidai...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Si tu walichoma na Kuzika Maiti za Walouliwa, Maiti nyingi zimehamishwa Wilaya to Wilaya ,Mkoà to Mkoà ,ili Ndugu wasipate Maiti zao

    LENGO ni lilelile Moja, Ndugu waendelee kubakia NJIA PANDA !.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mpaka leo hatutumii body bags kuhifadhia maiti Tanzania!

    Iwe kwa ajali au sababu nyengine yoyote, miili ya wapendwa wetu inakua inaachwa wazi kabisa, unaweza kukuta maiti yupi na boxer tu au yupo uchi, huu sio utu, Wizara ya Afya na Wizara ya mambo Ndani hivi mnashindwaje kuagiza body bag ambayo bei yake ni chini ya dola moja kule China
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ndugu waanza kuona miili ya wapendwa wao ambao hawakuonekana, wakiwa kwenye video ya mlundikano wa maiti iliyovuja ndani ya mochwari ya Mwananyamala

    Hatusemi mengi. Huyu mwamba ni dereva na aliuawa huko Salasala. Hakukuwa na ushirikiano kwa ndugu kupewa maiti ya mtu wao mbali na ukweli kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi. Ndugu walikuwa wameshakata tamaa walaamua kusahau Leo ameonekana ndani ya ile video ya Mwananyamala. Serikali bado inasema...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wizara ya Afya warudisha hewani chapisho la Video za maiti Mwananyamala huku wakiwa wamefunga "Comment"

    Waambieni hao wazee na vijana wajinga huko ofisini Dunia ilikofika si kwa kuficha ukweli kwa kuweka uongo unaoweza kuthibitishwa na watu hata bila kutumia nyenzo za uthibitishaji wa video halali au iliyohaririwa au kutengenezwa na AI. Halafu kufunga "comment" siyo njia ya kufanya watu waamini...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wizara ya Afya yazidi kuuthibitishia ulimwengu kuhusu Serikali ya Samia kuficha ukweli wa Mauaji ya kutisha yaliyofanywa kipindi cha Uchaguzi

    Anguko Kuu la CCM na Serikali yake halitotokana na jambo lingine lolote lile zaidi ya kukosa akili. Kukosa kwao akili ndo kumesababisha wawapuuze Wananchi na madai yao ya ukweli kisha kukimbilia kuwateka, kuwaua na kuwapoteza hali iliyopelekea hasira za Wananchi kupanda na kufikia kikomo na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi video za maiti wengi kutokea vyumba vya kuhifadhia maiti viongozi wanaziona?

    Kuna video imepositiwa instagram mpaka nikajiuliza hivi hawa viongozi wanaziona kweli hizi video, na kama wanaziona wanasubiri nini kumwajibisha Samia. Yaani binadamu wamekufa kama kumbikumbi mpaka unahisi kama movie vile. Samia hafai wazee, tuache masihara huyu mama angejiondoa tu mwenyewe
  9. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali imekuja na propaganda ya kuonyesha Mali zilizohalibika Wananchi na Nyie Endeleeni kuonyesha Maiti za Marehemu

    Propaganda ya kuonyesha mali ni nzuri wananchi nao waendelee kuonyesha Maiti za Marehemu tuone vitu vinarudishwa uhai wa watu Je?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa watu wanazuiwa kuchukua maiti ya ndugu zao waliouawa kipindi cha uchaguzi?

    Kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa kuchukua miili ya ndugu zao ili kwenda kuizika. Na kuna uvumi kuwa waliouwawa wanazikwa usiku ili kuficha ushahidi. Kama hii ni kweli . Hili jambo sio jema
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli maiti zimebebwa na canter. Pia nyingine zimepelekwa Twiga

    Walisomba maiti kwa malori, wamezipeleka kule Wazo...Twiga Cement kwenda kuziteketeza kwenye yale matanuri ya kuchomea na kuyayushia mawe. Mkifuatilia pale Twiga lazima mtaambiwa kuwa siku mbili tatu hizi watu hawakutakiwa kwenda kufanya kazi lakin mitambo iliwashwa Naongea ninachojua Britanicca
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2025 Octoba 30 ya damu. Nilishuhudia maiti zikitelekezwa njiani siku tatu mfululizo

    Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo. Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tupewe Maiti zetu tukazike

    Mmeua Vijana wasio na hatia, mmeua mamia ya Vijana waliokatishwa tamaa na utawala wa CCM. Maiti zao mmezitupa, Ombi langu, mturuhusu basi tukawazike, hili msitunyime. Moyo wangu ni mzito sana sana
  14. Rwiziringa Tactics

    JamiiForums Tanzania Majirani sio Maiti

  15. Trainee

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nipeni elimu ni kivipi sindano inafanya kazi kwa maiti?

    Huwa najiuliza sipati majibu sasa leo naamua kulileta humu huenda mkanielewesha... Tunasikia mara nyingi kuwa maiti zinachomwa sindano ili zisiharibike hasa zile zinazocheleweshwa kuzikwa au nyingine zinachomwa sindano ili kuzisambaratisha. Sasa swali langu ni kwamba hiyo sindano inaenea...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Waafrika wasipotafuta ukweli wa dini za kuja wakasimamia waliyolishwa juu ya yesu na muhamad wataendelea kuwa maiti

    Haiwezekani mtu uishi kwa vitabu vya hadithi na mistari ukawa mzima labda mfu. Haiwezekani Mungu akuletee watu wengine nje ya jamii yako eti ndiyo wakuoneshe njia ya mbinguni. N.K.
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hili la kuzuia kuruhusu maiti kuchukuliwa bure mbona linakinzana na sheria ya bima ya afya kwa wote? Kina nani hao watatozwa pesa za matibabu?

    Serikali imeanzisha utaratibu wa kodi ili kugharamia maswala ya bima ya afya kwa wote. Kwanini mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi ameahidi kuruhusu wanaofariki na kushindwa kulipia gharama za matibabu ndugu zao wataruhusiwa kuchukua maiti bure! Swali ni kina nani hao...
  18. W

    JamiiForums Tanzania TLP: Tutahakikisha Maiti hazizikwi na Serikali mkituchagua tuwaongoze

    Mgombea wa Urais Kupitia chama cha Tanzania Labour Part (TLP) Yustas Rwamugira amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha Maiti hazizikwi na serikali kutokana na ndugu kushindwa kulipia Pesa za mochwari hivyo atahakikisha anafuta malipo ya...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nilikuwapo Kibanda Maiti, Jaws na Malindi Uchaguzi wa Zanzibar 1995

    NILIKUWAPO ZANZIBAR KIBANDA MAITI, JAWS NA KIJIWENI MALINDI MIAKA 30 ILIYOPITA Kitabu hiki, "Cade" cha James Hadley Chase nimekisoma miaka mingi sana iliyopita niko sekondari umri wangu kiasi miaka15 hivi. Sasa mimi ni mzee lakini nakumbuka ufunguzi wa mwandishi alipoanza kueleza hadithi ya...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kipi kinafanya tuziogope maiti

    Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana. Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
Back
Top Bottom