Habari Tanzania !
Leo hii maisha bora kwa kila Mtanzania imekuwa ndoto na wakati mwingine inaonekana kama ni jambo lisilowezekana na hii ni chanzo cha aina ya watu na uwezo wao wa kufikiria.
1. Ujenzi wa Nyumba na Makazi ya kupanga yamekuwa aghali sana.
Njia: Punguzeni tozo na kodi kubwa...
Kwa mauwaji yale. Tanzania haiwszi kuwa kama zamani.
Ushauri wangu kwa wale Lumumba Buku 7, acheni kupoteza muda wenu.
Huwezi kuua watu namna ile halafu ukadhani maisha yataendelea tu kama kawaida. Haiwezekani.
KABURI LA MSOMI.
Karibuni sana wapenzi wa simulizi, leo naitambulisha kwenu simulizi hii iitwayo KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya maisha kwa ujumla, vimbwenga, mapenzi wivu, usaliti, chuki na mauaji. Mwandishi anakukaribisheni kutoa maoni ushauri na...
"Ooh ilikuwa iwe hivi"
"Ilipaswa ie hivi"
"Ni mipango ya Mungu wafe kwenye ajali familia nzima"
"sikuzaliwa na nyota kali ndio maana sifiki malengo"
🚮🚮🚮🚮🚮
Wadau nime experience hiki kitu baadhi ya wanawake tena kwa idadi kubwa hasa wanaotokea kwenye familia za kawaida wakijipata hujenga dharau na kuona watu wengine hawana thamani.
At least wadada wanaotokea kwenye familia za kishua kidogo huwa na heshima kuliko hawa waliojipata na walitokea...
Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki
Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina hadhi
Wamejitokeza Wanachuo wa UDSM wakaunda toy nakuita Robot
Kujaribu sio kosa bali ni mwanzo wa...
Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini.
OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
We have being a lot in our lives, any of us can tell a very interesting story but May's it's crazy, just hold on what you think of having people who helped you a lot and suddenly they wish you to fall! Funny right, yes it is then why they helped you to the point, a point that will light Avery...
Kwa wale ambao walifanikiwa kuzaliwa katika familia nzuri wakakuta kila kitu kipo, kama walikuwa na akili nzuri ya maisha basi kabla ya miaka 30 wanakuwa wameshamaliza kujitafuta na kuweka msingi mzuri, hata kama sio kwa kiasi kikubwa lakini sehemu inayobaki ni ya kujazia tu.
Kwa mfano: Kama...
Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha
Napenda vijana waishi na sio wafe
Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono
Nikiwaunga mkono nitakuwa nimewatuma shimoni jambo ambalo litaniingiza kwenye kesi ya mauwaji...
Umekaa zako tu hivi unawaza nikimtoa kafara mzazi vip, maisha yawe mepesi unasema hapana.
Kumbe mzazi nae anawaza sina nguvu za kutafuta ndoto sijafikia.. ngoja niamakiza tu watoto unamaliziwa dadeki
Mke kumbe hakundi anakumaliza anaolewa na mwingine daaaa ni noma.
Sema Tanzania tunaenda...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Chalamila amesema hayo leo Ijumaa, Desemba 5, 2025 wakati akijibu...
Nilisikia hii series ikitamba sana na ikapata umaarufu mkubwa watu walipokuwa wanauawa kwenye game na kujishindia pesa nyingi. Tangu game ya kwanza mauaji yaliyokuwa yanafanyika hayakuwa justified lakini ile movie ilipata umaarufu mkubwa. Waliopenda game ile ni watu wengi ikiwemo watu wa haki za...
"Wamekuwa wakizungumza kanakwamba maisha ya mtu ni kitu cha kawaida. Serikali dhalimu inazungumza kuhusu vitu, inazungumza kuhusu vituo vya mafuta haizungumzi kuhusu maisha ya watu. Embu tufikirie hamna watu, hizo barabara na vituo vya mafuta vina maana gani?." Mhe. John Heche.
Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au...
Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲