Yani unajikuta huna kulia wala kushoto ndugu wanajua kusaidiwa wao likikupata no one is there kiuhalisia unaweza tamani uwe mwenyewe bila ndugu ila ndio hivyo tena
Weka mipaka hili jambo lilinitesa san leo utaabiwa hik kesho kile mara mtoto kameza hela, yaan ili mradi wachukue hela yako.
Niliweka mipaka ya kumsaidia ndugu saiv wanaomba msaada kwenye mambo ya muhimu uhai na kifo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.