maisha

  1. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi naona mbona maisha mazuri tu

    Mimi bwana sometimes naona kama mfumo tuliopo mzuri kiasi fulani kwani mbona watu wanafanya wanakula, na bado wanacheka na bado wanashabikia mpira na bado wanaenda kule Dubai. Mbona kama mambo yamekuwa mazuri jamani si tukubali tu au unaweza kuhisi labda nina tatizo la stress.. Hapana...
  2. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kutegemea haya, hatimaye leo yamenikuta

    Wakuu habari ya muda huu. Sisi wengine kama ilivyo kwa wengi, hapa ndipo pa ku-share issues tunapohisi ku-release baadhi ya mambo yakituzidia. Mchana wangu umeharibika ghafla sana.😅 Kulingana na tides za kibiashara safari hii (ofcourse ni mambo ya kawaida tu), landlord wangu hatimae leo...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha ya Hamis Kichwa yanasikitisha sana baada ya kustaafu kazi ya Polisi

    Angalizo:- Habari hii ni sanaa ya picha na haiendani na uhalisia wa maisha, Wala jina la mtu yoyote. Hamis Kichwa, alikuwa maarufu sana hapo Oyster Bay Police akisifika kwamba ndiye Israel mahiri kwa majamba konki ambao inatakiwa tu watangulizwe. Hamis Kichwa mtu wa Tanga, alikuwa anasifika...
  4. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ilegeze kamba maeneo yafuatayo kuchochea kasi ya ukuaji uchumi nchini na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi

    UTANGULIZI Toka Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) kupata uhuru bado matatizo makuu ya nchi ni yale yale Ujinga, maradhi na umaskini, bado hakujawa na mikakati toshelevu yenye kuchochea mabadiliko chanya ya kasi kukabiliana na matatizo hayo na kulipeleka taifa mbele kiuchumi kwa kasi kama Mataifa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maisha ni safari kadri unavyosimama sana vituo visivyo vyako ndivyo unavyojiongezea kuchelewa kufika

    UKIANZA KUFANYA MAMBO KUKIMBIZANA NA UMRI JUA KUNA KITUO SIO CHAKO ULISIMAMA SANA Akitokea mtu anakwambia alimaliza shule ya msingi na miaka 20 jambo la haraka ambalo kama usipomuuliza basi utajiuliza ni hili "KIPI KILIMCHELEWESHA? MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO...
  6. JamiiForums Tanzania Tafuta fedha, elimu na cheo lakini usisahau kuwa maisha ni ubatili, acha kujitesa kwa vitu vipitavyo

    • Kiasi cha fedha unachokisotea kuna watu walizishika na wengine ni fedha ya kuhonga au ya kufanyia birthday tu. • Elimu unayoisotea kuna mtu atakupa karatasi kwamba umehitimu, maana yake yeye alishapita hiyo level na hakuridhika nayo. • Cheo kikubwa duniani kwasasa ni Urais, ni cheo ambacho...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ni safari kadri unavyosimama sana ndivyo unavyojiongezea kuchelewa kufika

    UKIANZA KUFANYA MAMBO KUKIMBIZANA NA UMRI JUA KUNA KITUO SIO CHAKO ULISIMAMA SANA Akitokea mtu anakwambia alimaliza shule ya msingi na miaka 20 jambo la haraka ambalo kama usipomuuliza basi utajiuliza ni hili "KIPI KILIMCHELEWESHA? MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO...
  8. JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa umma inapaswa ifanyiwe mapitio, haiakisi uhalisia wa maisha ya sasa

    Asilimia 90 ya watumishi wa umma Tanzania ni wa daraja la kati, wengi ni walio na diploma. Mishahara ghafi yao ina range laki 6 mpaka laki 8. Baada ya makato, wanaondoka na kama laki 5. Hapo ni kwa wale ambao hawana mikopo. Ukijumlisha mikopo (ambao wengi wanayo) utakuta mtumishi anaondoka na...
  9. JamiiForums Tanzania Mbadala au plan B ni muhimu kwenye maisha

    Guys good evening Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa. Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta mtu amewapanga kwahiyo kukatisha huba kwa yeyote ni muda wowote. Sasa katika Hali hii ile formular...
  10. JamiiForums Tanzania Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
  11. JamiiForums Tanzania Ramadhani Bakari Iddi ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti mtoto

    Mahakama ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga imemuhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula kata ya Ngomeni Wilayani hapo kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13. Akitoa hukumu hiyo leo hii Hakimu mkazi wa mahakama ya Wilaya hiyo Mh. Geofrey...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha ya Dar es Salaam yamejaa anasa na starehe za kila namna

    Kipindi nasoma advance nilikuwa mla bata sana, o-level nilisoma seminary, kwahiyo ile kuja dar ni kama fisi kaachiwa bucha. Nilikuwa natoroka shule naingia sinza-africa sana kuna club ilikuwa inaitwa Ambiance hapo kulikuwa na malaya wenye mizigo hatari unaweza ukatokwa udenda, ukirudi kwa nyuma...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

    Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo. Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
  14. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kua na mawazo ya kimasikini na kutokuwa na vipaumbele katika maisha au ni elimu ndogo katika jamii?

    Kwema wakuu. Kama mada inavyojieleza, umekuwa na tabia ya watu katika jamii zetu kufanya maamuzi flani bila kujua ni maamuzi sahihi kwa wakati sahihi au kipi kianze au kipi kifate. Mfano unakuta mwanaume anaoa wakati hajejipanga vizuri (kiuchumu) kimaisha matokeo yake kipato kinachopatikana ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kama haujawahi kupitia machungu makali ya maisha usiwabeze na kuhukumu kirahisi wanaojitafuta kwa njia ambazo zinaoekana ni mythical.

    Angalau hajakukaba kukupora au kufanya ujambazi wa unyama kupelekea mauti ya ndugu yako. Hivi unadhani kuna mtu yuko tayari kupoteza nafasi ya kuhudimia familia bila ya kuwa omba omba na mfalme wa madeni. Shida na tabu zinachaganya nyie sio hizo mlizonazo na unajua at some point unafuu una...
  16. JamiiForums Tanzania Xavier na David wakali wa memes

    Xavier huyu Jina lake halisi ni Pakalu Papito ukimcheki Facebook utaona wasifu wake, alivyojiunga Twitter mara ya kwanza tu akapost hello Twitter am single, sifa yake kubwa ni ubishi. David na yeye picha yake imekuwa maarufu sana kwenye mitandao.
  17. JamiiForums Tanzania Watu 11 wamepoteza maisha ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar, Morogoro

    Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi. Wenye taarifa kamili tujuzeni ==== === Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili wamejeruhiwa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maisha yetu ni afya Bora na afya Bora ni Misha yetu

    Kama kila binadamu hapa ulimwengu atakuwa na afya bora maisha yetu nayo yatakuwa Bora Kwa sababu watu watawajibika katika kujenga taifa na taifa litawajibika kutujenga wnanchi Kwa kutupatia hewa safi isiyo na buguza ndani yake. Ni vizuri kutambua kila kiumbe hai kina uhitaji wa afya Bora...
  19. JamiiForums Tanzania Vunja Imani Hizi Potofu Sita (6) Kama Unataka Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yako.

    Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu aliye hai, ambaye ana shughuli yoyote ya kumwingizia kipato, anao uwezo wa kujenga utajiri kwenye maisha yake. Ndiyo, nimesema kila mtu, hata wewe unayesoma hapa, bila ya kujali unaanzia wapi, uwezo wa kujenga utajiri tayari unao. Kama unashangaa huo uwezo uko...
  20. JamiiForums Tanzania Kama unachangamoto yeyote katika maisha huu soma huu uzi

    Wakati nasoma chuo nilikuwa ni mtu mwenye mawazo mengi yakinitawala kwa wakati huo kichwa changu kilikuwa ni kama jalala kimejaa matatizo kibao ya kibinafsi,hasa katika mambo ya kigiza I actually sijawahi kuexperience ndoto mbaya kama wakati huo,sikuweza kuexperience maisha magumu zaidi kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…