maisha

  1. JamiiForums Tanzania Huwenda ikawa mwanadamu hapaswi kuwa na furaha ya maisha moja kwa moja

    Kupitia andiko hili kwenye Biblia, mfano alioutoa Yesu dhidi ya tajiri mkulima aliye fikia kilele cha mafanikio ilimchukiza Mungu na kuamua kumuua. Nimetafakari namna tunavyo ishi sisi wanadamu na utafutaji wetu usiofikia kikomo, leo mtu anaweza kuwa na hatua fulani kwenye maisha yake ambayo...
  2. JamiiForums Tanzania Bora Kuwa Single Maisha Yangu Yote kuliko kuwa na Mwanamke Ambaye Yuko na Mimi Kinafiki na Hanipendi

    Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke. Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto. Wanawake wengi...
  3. JamiiForums Tanzania "Yanga ICU: Tafakari Jinsi Burudani Inavyotufumba Macho kwa Changamoto Halisi za Maisha"

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
  4. JamiiForums Tanzania Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea.

    Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye anatafuta. Wewe unalalamika halafu unajilinganisha na wale rafiki zako ambao kila siku wanakula...
  5. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe tulipopitia, haya unakumbuka nini?

    TUKUMBUKANE TULIOPITIA MAISHA HAYA UNAKUMBUKA NINI?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nataka nimsaidie kisiri rafiki mlinzi shilingi milioni 1.2 kwa mategemeo ataacha ulinzi anaolalamka unamtesa ili afanye biashara. Je, nitarajie hilo?

    nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12 Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1...
  7. JamiiForums Tanzania Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

    Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika) Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi. Akasema kama una...
  8. JamiiForums Tanzania Wadogo zangu: Kamwe usijitese kwaajili ya Mwanamke. Wôte mchangie Ñguvu kuyaendesha Maisha Yenu. Hataki piga chini.

    WADOGO ZANGU: KAMWE USIJITESE KWAAJILI YA MWANAMKE. WÔTE MCHANGIE ÑGUVU KUYAENDESHA MAISHA YENU. HATAKI PIGA CHINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usiwe Mpumbavu. Usiwe mbumbumbu! Usiwe Lofa! Tumia Akili yako Vizuri mdogo wàngu Kamwe usijitese Kisa Mwanamke. Usiwe Yale majinga àmbayo ni...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbrle mwenyewe

    Ukweli ni kwamba mwanamke unae-date naye kuna uwezekano mkubwa kajiweka tu kwako kwa sababu anahitaji pesa. Ni masikini, hana kazi(kama anayo kipato chake akitoshelezi lifestyle anayoitamani) na kwa sasa wewe ndie jibu la tatizo lake Atakapojipata ndio utajua ujui. Atakulaumu, atahoji hayo...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    Hello! Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam. Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi. Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Amka usingizini, Sio kila aliefanikiwa kateseka, Pigana ufanikiwe uanzishe kizazi chako kifanikiwe bila mikiki mikiki

    Kuna misemo kwamba ukiona bosi kakalia kiti cha kuzunguka (lugha ya mafumbo kutoboa) ujue kafanikiwa, fanya kazi kama mtumwa uishi kama mfalme, n.k. Hio misemo ni kwajili yetu tuliotokea familia duni, ili kutoboa ni lazima upambane sana aidha usome sana ubahatike kuajiriwa sehem yenye maslahi...
  12. JamiiForums Tanzania Ukitaka ku enjoy maisha ya ndoa, is mwanamke aliyelelewa kwenye misingi ya kiislamu

    Asilimia kubwa wanaume wanaopata misuko suko ya ndoa, ni wale waliooa wanawake ambao hawaja lelewa katika misingi ya dini haswa dini ya kiislamu. Ukipata mwanamke aliyelelewa katika misingi ya dini ya kiislamu utaenjoy sana maisha ya ndoa. Wengi wao wana utii kwa wanaume wao, wana stara, n...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna maisha baada ya uchaguzi

    📖Mhadhara (55)✍️ Waswahili husema; "Mungu hakupi vyote na wala hakunyimi vyote". Hivyo sina budi kusema watanzania hawakunyimwa amani, upendo, na utulivu. Mwaka 2024 & 2025 watanzania wanatarajia kufanya uchaguzi mdogo na uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wao wa kisiasa. Ni kipindi ambacho...
  14. JamiiForums Tanzania Nikioa na kufanikiwa Ex -atakuja kuharibu ndoa na maisha yangu

    Habari za mda huu wakuu Hili ni swala ambalo nimekuwa nikiliwaza Sana after breakup ila Kwa sasa naliona dhahiri kabisa Ni mwaka mmoja na miezi Toka penzi liishe nilivyooachwa Yani ya uyu mdada wa kijita sababu kubwa ilikuwa haoni future kati yetu in short (LACK OF CAPITAL) Nikakubari...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hivi, kati ya Katavi na Morogoro, ni sehemu gani nzuri ya kuishi na kutoboa maisha?

    Kama mada tajwa hapo juu wakuu hivi ni mkoa gani rahisi kutoboa Kati ya katavi na morogoro hasa hasa kwa watumishi wa umma maana kuna mikoa mingine kutoboa ni kipengele kiukweli maana hali ya maisha ipo juu sana kwahiyo kati yq katavi na morogoro ni mkoa upi rahisi kutoboa?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

    Mikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha 1.Kilimanjaro 2.Iringa 3.Kigoma 4.Mara 5.Mwanza Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃‍♂️
  17. JamiiForums Tanzania Mboga nisizopenda katika maisha yangu

    1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza...
  18. JamiiForums Tanzania Wengi wa wale '"wababe" na "superstars" wa shuleni wanakujaga kuwa na maisha ya ovyo ovyo ukubwani

    Wengi wanakuwaga bums/bust Unakuta yule ambaye ni alikuwaga chombo ya darasa na maringo juu huku akiwaona wengine sio level yake leo amezalia nyumbani mara mbili, hataki kufanya kazi za kawaida na ajira yake ni kudanga na bwana za watu huku pesa yote anaimalizia kulewa na kuparty na wenzake...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo ya Dating Apps: Kupata Mapenzi Huko ni Rahisi au Unapoteza Muda?

    Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe left. Inajulikana kuwa hizi apps zimejaa watu wa kila aina – wengine wanatafuta penzi la kweli...
  20. JamiiForums Tanzania Zanzibar

    Habari za kuamka wakuu Kiufupi mm sio muandishi mzuri lakin kuna kitu nataka kuwasilisha baada ya kuishi huku Zanzibar. Tokea nimehamishwa kikazi kutoka mkoa X kuhamia Zanzibar kuna mambo yananishangaza kuhusu wazanzibar na nchi yao! 1.Gharama za maisha Kama mnavyo jua zanzibar ni mji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…