maisha

  1. JamiiForums Tanzania Community Coin Banks/ Street Coin Banks: Hii ni kwaajili ya sekta au watu wasio na mifumo rasmi ya maisha

    Habari Tanzania !.... Naomba kuweka hapa jukwaani wazo la kuwezesha jamii au watu ambao wanakipato cha chini sana; kwa kuwawekea mfumo mzuri wa kuwasaidia kutoka katika umasikini na kupata thamani ya kufanya maisha wayatakayo. Naiomba jamii ipokee hili wazo. Tuanzishe Benki za kutunza Sarafu...
  2. JamiiForums Tanzania DED - Maswa, Bw Maisha Mtipa alazimisha watumishi wa umma wote Maswa DC kwenda kukesha na mwenge (Kibatari) tarehe 27/7/2026 uwanjani!

    Mliokuwa hamjui ni kwamba; Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..." Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana kwa kujipa matatizo hamjambo. Maisha ya kuungaunga (chini ya 1M), bado unaoa single mother?

    VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli. Hivi mmekosa wazazi wa kuwashauri? Au ndio mnadharau wazazi na walezi wenu. Maana sidhani kama kuna mzazi mwenye akili...
  4. JamiiForums Tanzania Dunia: Jela ya Wenye Ufahamu lakini Paradiso la Wajinga...

    Dunia imekuwa kama jela kwa wale wenye ufahamu wa kina. Wenye akili na macho ya ndani huona udanganyifu, uovu, na unafiki unaotawala jamii. Kwao, maisha si mchezo wa furaha bali ni mzigo wa maswali yasiyo na majibu. Wanateseka kwa kuona ukweli ambao wengine wanaukwepa. Ufahamu wao unawafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Ili uwe maskini, subiri maisha yakubadilikie bila wewe kubadilika

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi husubiri siku nzuri zije, nafasi ijitokeze, au mtu fulani abadilishe maisha yao. Lakini maisha hayabadiliki kwa sababu muda umepita; hubadilika pale fikra, maamuzi na tabia za mtu zinapoanza kubadilika. Maisha yako hayabadilishwi na kile unachofikiri...
  6. JamiiForums Tanzania Kama maisha yako hayasomeki usifikirie kabisa kufuga mbwa aina ya Belgian Malinois

    Kwa mtu ambaye maisha yake hayana utulivu au hayana ratiba maalumu, Belgian Malinois mara nyingi si chaguo sahihi. Kwa nini? 1. Anahitaji mazoezi mengi sana. Si kutembezwa dakika 20 tu ukaona inatosha. Mara nyingi huhitaji saa 1–2 au zaidi za mazoezi makali na shughuli za akili kila siku. 2...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba ugumu wa maisha Kwa kiasi kikubwa tunasababisha wenyewe. Fungu la majani ya maboga Tsh300!

    Nipo hapa wife anachambua majani ya maboga Kwa ajiri ya mrenda (nimemuamru aniandalie Leo) Nimemuuliza vipi wanauzaje ka fungu kama haka? Naye kanijibu Tsh300/= nimehesabu majani yapo 8-10 TU Kwa kila fungu. Nikarudisha kumbukumbu Hadi mwaka 2016 nilikuwa naishia Kwa sister. Dada alikuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Haya Maisha kila mtu anafanikiwa kwa namna yake ila maanguko ndio yanaweza fanana

    Utasoma sana Vitabu, utasikiliza sana speeches za waliofanikiwa ila ukweli hutoweza fanikiwa. Mi nachoamini hata Mo dewji kua vile sio kwa namna ile tunaona sisi ukute hata yeye hajuijui zimefikaje zile hela japo anajua tu namna alianza. Ukitaka kuniamini Mimi chukua hii..kama ushawahi kua...
  9. JamiiForums Tanzania Kujenga maisha nayoyatamani

    Leo nimeamua kuanza kuandika mawazo yangu kuhusu safari ya kujenga maisha ninayotamani. Sina uhakika nitafika mbali kiasi gani, lakini najua jambo moja: miaka ijayo nataka niweze kurudi hapa na kuona nilikotoka. Ninajifunza biashara, teknolojia, kilimo na namna ya kujenga vyanzo vya mapato...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha ya Wanyama sio mchezo kabisa

    Nipo zangu home nikijiburudisha na kipindi changu ya Wanyama hapa. Sasa Kuna kipande cha video nakiona kuna swala alikuwa anakunywa maji kwenye kibwawa kidogo cha maji kumbe ndani Yake kuna Mamba mdogo mdogo. Mamba kamlia timing kamdukua Yule swala amejitahidi saana kuchomoka lakini mwisho wa...
  11. JamiiForums Tanzania Vitu hivi hakika ukivijua mwanaume utakuwa umeepuka mengi katika maisha

    MWANAUME Sheria no 1 Kamwe usi ruhusu mwanamke aka ku control ww usipokua tu kama akisema kazime taa kwanza au aki sema nifungue brazia vunja iyo Sheria uraendelea nayo badae! Sheria no 2 Dada wa rafiki yako ni dada yako pia usi thubutu Wala kujaribu ku mgusa! Sheria no 3 Adui wa rafiki...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi simu yako inavyokuibia matumaini ya maisha bila wewe kujua

    Simu yako inaweza kuwa kifaa cha kukuungizia pesa, lakini kwa sasa ndio adui mkubwa anayefuta ndoto zako taratibu bila wewe kugundua. Unacheka nayo kila sekunde huku ikinyonya muda wako. Angalia mambo haya matano unavyojiua kiuchumi na kiakili: 1. Usumbufu wa milio ya meseji Simu inalia kila...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuacha maigizo na kuanza kuishi uhalisia

    Katika ulimwengu wa leo, watu wengi wamewekeza zaidi kwenye kuonekana kuliko kuwa. Tumekuwa na utamaduni wa kutafuta sifa kabla ya mafanikio, kutafuta pongezi kabla ya matokeo, na kutafuta kuaminiwa kabla ya kuthibitisha uwezo wetu. Mitandao ya kijamii imejaa picha za mafanikio, maneno makubwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye Maisha ya Anasa ya Serikali hadi Kwenye Uzalishaji: Kilimo, Elimu, na Afya Ndio Mkombozi wa Kijana wa Kitanzania

    Ndugu Wakuu, Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu. Tanzania ni nchi changa...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

    Napenda kuandika haya yafuatayo kwa uchungu mkubwa sana na kama jamii pamoja na Serikali itapenda kulichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa itapendeza sana. Daktari ni mtu pekee hapa Tanzania anayeongoza kuwa na heshima kutokana na nafasi yake kama daktari na namna ambavyo anatekeleza majukumu...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tuungane Kuokoa Maisha Ya Watanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania, taasisi za umma na binafsi, mashirika na wadau wa maendeleo waungane na Serikali katika kuwezesha matibabu ya upandikizaji wa figo na uloto kwa wananchi wasiokuwa na uwezo ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hizo za kibingwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuongeza Ufanisi wa Wafanyakazi Wako: B2B Bima za Afya, Maisha na Ajali (Pamoja na Familia Zao!)

    Heshima kwenu wakuu, Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind), ufanisi kazini (performance) huongezeka mara dufu. Je, unajua kwamba unaweza kulinda afya na ustawi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaita T3 [titi, tumbo, t*ko] yani mdada yoyote akishakuwa na combination hii ilionyooka basi maisha yake ya hapa duniani anachukuliwa kama malkia

    Wadada wote JF wenye T3 sema oyeee❤️ Yani unakuta mrembo hayo maaanabeli yake hapo kifuani yapo round, manene ya wastani alafu yana point mbele, tumbo ndio hilo lipo flat, side stomach yake haina nyama bali imetoa njia kuruhusu hips zitoe shangwe alafu unakuta makebo ndio usiseme, yapo curvy...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa Naishi Dodoma, nimeajiriwa Elimu yangu ni ngazi ya shahada Dini yangu ni Mkristo Mwili wangu ni kawaida Afya yangu ni njema Mume wangu awe na umri kuanzia 34 hadi 45,asiwe mume wa mtu nahitaji wa kwangu Dini yake awe mkristo Mwili...
  20. JamiiForums Tanzania Aliyekatazwa asicheze na mimi utotoni, leo anashangaa maisha ninayoishi. Tatizo halikuwa mimi, bali namna alivyolelewa

    Habari wana JF. Katika jamii nyingi za Afrika, ni jambo la kawaida kabisa kusikia mzazi akimwambia mtoto wake: "Usicheze na yule mtoto." "Huyo atakufundisha tabia mbaya." "Usiende kwao." Lengo mara nyingi huwa ni jema. Wazazi wanataka kuwalinda watoto wao wasiharibiwe na mazingira. Tatizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…