Vitabu vya kubadili maisha

Vitabu vya kubadili maisha

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
386
Reaction score
761
WhatsApp Image 2026-10-30 at 15.04.14.jpeg
 
Wakati Naanza kusoma kitabu hiki nilikutana na habari ya Mwandishi wa Kitabu hiki Bw. Steven Bartlett kwa kweli Mwandishi anasema ni kijana wa miaka 30 , kutokana na umri wake kidogo nilitaka kusita kusoma kitabu hiki nikikumbuka wakati na miaka 30 nilikuwa na akili za kiwango gani, lakini nilijitia moyo nisome kwa kweli nilichokutana nacho katika kitabu hiki kwa kijana wa miaka 30 kimenifundisha kitu kikubwa sana , na naendelea kujifunza safari ya mwandishi ilianza akiwa na miaka 18 na uzoefu wa zaidi ya miaka 12 kwa kile anachofanya. Miaka 18 nakumbuka nilikuwa kidato cha Tano lakini mwandishi alikuwa ameanzisha kampuni na kuajilii baadhi ya vijana wenzake. naendelea kujifunza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom