maisha

  1. Ingia kwenye ndoa pale unapokuwa tayari kwa ajili ya maisha ya ndoa

    Wapo baadhi wanaoingia kwenye ndoa kwa sababu flani amaeoa/kuolewa, yani hajui kwanini ameingia kwenye ndoa. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ndoa kuvunjika kwa sababu mbalimbali kwa mfano, -Kijana anaamua kuoa lakini unakuta bado ana tabia za mvulana yani bado hawezi...
  2. Ukweli kuhusu maisha yangu na mke wangu. Mimi ni muislam

    Ukweli. Baada ya mzee magu kutangulia mbele ya haki kipato kiliyumba. Ukweli ni kwamba mzee yule alimuweka kila msomi na mtumishi alipostahili. Nilimpata nafasi ofisi ya umma yenye kipato na posho za wastan. Wife alifurahia maisha, anapoona hali sio nzr anakuwa hayuko kwenye Ibada, hali ikiwa...
  3. R

    Maisha ya nyumba za kupanga uswahilini ni kama sinema ya bure, Ukiishi humo mwaka mmoja, unaweza andika kitabu kizima

    Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili. Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni.. Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani.. Mlango mkubwa wa mbele, haufungwi hata siku moja.. Kwa sababu kuna watu kazi zao wanatoka usiku...
  4. B

    Kwanini maisha ni Ubatili?

    “Kwa nini maisha ni ubatili” ni la kina sana—ni swali ambalo watu wengi mashuhuri wa falsafa, dini, na roho wamejiuliza kwa maelfu ya miaka. Hapa kuna majibu kwa mitazamo mbalimbali: 1. Mtazamo wa Biblia – Kitabu cha Mhubiri Katika Biblia, hasa kwenye Mhubiri 1:2, inasema: Maana yake ni...
  5. Ramani ya nyumba ya kuanzia maisha au ya kulindia kiwanja

  6. Ni vipi kama mwisho wa maisha yako kwenye sayari hii ndio mwanzo wa maisha kwenye sayari nyingine?

    Labda Mtu unaweza kujiuliza kama kuna sayari nyingine,na pia basi ujiulize kama ulitambua uwepo wa sayari hii kabla kuzaliwa?. Kuna wakati unaweza kudhani labda maisha ni mlolongo usioisha au kumalizwa.
  7. Sijafanya kitu chochote cha maana katika maisha yangu na nina umri wa miaka 32. Je, hii ni kawaida?

    Hakuna kitu katika maisha kitakachobadilika hadi tubadilike sisi wenyewe. Kulaumu hali, watu wengine, au hata bahati mbaya kunaweza kuonekana kuwa sawa kwa sasa, lakini huku kunatuacha bila nguvu. Unapoelekeza kidole chako kwa mtu mwingine kama sababu, unampa udhibiti wa maisha yako kwa nguvu...
  8. Wosia kutoka kwa Babu yale aliyefundishwa na Wahenga juu ya maisha: Yale Mwanaume anatakiwa kujua

    "Wakati mwingine, wewe ndiye tatizo." Kuna baadhi ya kweli katika maisha ambazo ni ngumu kumeza—lakini kuyakwepa hakuyabadilishi. Yanauma, lakini yakikubaliwa, yanaweza kukuokoa. Ukitaka kuwa mwanaume wa kweli, si kwa umbo wala umri, bali kwa busara na uwezo wa kutambua makosa yako na...
  9. R

    Ni sehemu gani ulisikia maisha ni nafuu ila ulipofika ulikuta hali tofauti

    Mfano kusikia gharama za maisha ya mkoa flani zipo chini kumbe kuingiza hata pesa kidogo ni shida, Kusikia mkoa flani una mzunguko wa pesa kumbe kumbe maisha yapo juu mno
  10. If I Were Not Who I Am Today! — Kama Nisingelikuwa Niliye Leo!

    Kama nisingekuwa niliye leo, huenda nisingeweza kuandika maneno haya kwa uhuru, kwa undani na kwa kujiamini. Huenda ningekuwa mtu wa kukata tamaa kwa urahisi, ningeishi maisha ya kuigiza, nikijaribu kufurahisha kila mtu isipokuwa nafsi yangu. Lakini niweza kukua, kujifunza, kuanguka, na kusimama...
  11. Ukibahatika kula kuku kwa mrija acha mdomo sana. Kuwa humble na utulie uenjoy maisha

    Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari. Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una panda juu.
  12. Siku kama hizi zipo tu kwenye maisha ila inauma sana sio siri

    Nasikitika kuwapa taarifa members wenzangu wa humu kuwa, Leo tumepokea taarifa rasmi mbaya kuwa mtoto wetu wa miezi sita tuliemtarajia na kumsubiri kwa hamu sana anatakiwa kutolewa tumboni baada ya missed abortion. Ni taarifa mbaya kiukweli nadhani niishie hapa tu.
  13. Laana ya mizimu na hatari katika maisha yetu hakika nyota zetu zipo kuzimu

    LAANA YA MIZIMU NA HATARI KATIKA MAISHA YETU HAKIKA NYOTA ZETU ZIPO KUZIMU Ifahamike kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao.. Ila kutokana na Mwamko wa Elimu na dini mpya zilizoingia habari za mizimu zimeendelea kupoteza...
  14. B

    Rais wa Finland - Utatuzi wa migogoro unahitaji umahiri sana tukikumbuka maisha ya Balozi Martti Ahtisaari

    RAIS STUBB - UMUHIMU WA USULUHISHI, MARIDHIANO, AMANI NA HAKI Hotuba ya rais Alexander Stubb jijini Dar es Salaam akiendelea na ziara yake nchini Tanzania Rais wa Jamhuri ya Finland Picha: Matti Porre/Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Finland Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Finland Alexander Stubb...
  15. Haya ni majibu ya kijana anayeishi maisha ya useja

    Tulikuwa katika mazungumzo na vijana tofauti kuhusu maisha, kijana mmoja akaleta mada ya useja Kwa kuanza tulianza na mfano kwa kijana mmoja anayesemekana anaishi peke yake Nilianza na swali la kwanini ameamua kuishi peke yake nakama sababu ya ugumu wa maisha inachangia Kijana yule hakuwa na...
  16. K

    Maisha ya wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro

    Wadau nawasalimu Ndugu zangu mimi nalitumikia taifa kwa kuwahudumia watanzania wenzangu kwenye moja ya kada yenye kugusa maisha ya kila mtu. Kwenye hili jukwaa siyo mgeni sana Nimepata transfer ya kwenda ktk wilaya ya Same Kilimanjaro. Kwa nature ya kazi yangu eneo la kufanyia kazi itakuwa...
  17. Roma mkatoliki Tunga wimbo kufuatia Hali ya siasa na maisha hapa bongo

    Kimepita kitambo Sasa tangu msanii Roma mkatoliki atuburudishe Kwa nyimbo zake za kufikirisha. Kwa Hali ilivyo Sasa nakuomba Roma mkatoliki tia neno juu ya haya yanayo endelea.
  18. PreGE2025 TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake

    Wakuu, TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kutishiwa maisha kwa Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, ambae ni Wakili Mwandamizi (Senior Advocate)...
  19. L

    Mradi unaodhaminiwa na China waibua maisha mapya katika Hifadhi ya Jiolojia ya Ngorongoro Lengai nchini Tanzania

    Kwenye ukingo wa Bonde la Ngorongoro nchini Tanzania, ukungu unaonekana kutanda kwenye uwanda huku makundi ya nyumbu na pundamilia wakirandaranda chini. Kutoka kwenye jukwaa jipya la kuangalia wanyama, wageni kutoka duniani kote sasa wanapata fursa ya kutazama kwa kina pamoja huku pembeni kukiwa...
  20. Hii ndiyo mimea mitano inayolindwa zaidi Duniani Na maisha ya siri ya kujamiana kwa mimea!

    Welwitschia ni mmea wa kipekee unaopatikana katika jangwa la Namib, kusini mwa Angola na Namibia. Ingawa ina majani mawili tu, huweza kuishi kwa zaidi ya miaka 1,000. Kwa mujibu wa Botanical Society of Namibia, mimea hii huchukua maji kutoka kwenye ukungu wa asubuhi na hivyo kustahimili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…