maisha

  1. S

    Maisha ya uswahilini yanataka moyo na yanafomula yake hivihivi tu huyawezi kabisa

    Maisha ya uswahilini ukiwa mgeni huwezi kuelewa wanaishi au wanatania. Umekaa zako tu vizuri chumbani kwako unasikia inje dirishani kwako minong'ono ya watu wakitongozana laivu Hujakaa vizuri unaona wapita njia wanapita barazani kwenu hawana hata habari wanakatiza tu popote njia Unabandika...
  2. D

    Kwanini vijana wengi wa kizazi Cha sasa(2000+) wanafake sana maisha ?

    Wakuu Habari yenu? Hapa Nina Uzi Wenye swali moja tu lakizushi.Hivi kwanini vijana wengi WA kizazi Cha sasa(2000+) wanafake sana maisha ? . Hasa kwenye social medias. zipi ni sababu kuu za hii tabia na je kufake maisha kunawapa faida gani?.Maana kwenye social medias Kila kijana anayejipost...
  3. Ugumu wa Maisha je, Serikali haifanyi kazi yake au Wananchi wanashindwa kuendana na mifumo ya Kimaendeleo ya Nchi

    Tuweke mjadala mpana zaidi hapa najua kuwa baadhi tunaweza kudokeza kuwa sera,mitazamo,mazingira,utamaduni na mengineyo kuwa ni tatizo,lakini upande wa serikali huwenda ikamuona mwananchi ndiyo tatizo sababu haoni fursa zinazoifungua nchi yake. Hivi kwa mitazami yetu kama wanajamii foroum,ni...
  4. W

    Orodha ya vyeo / kazi nje ya siasa lakini maisha yake ni kama peponi Tanzania

    Makamishna wa TRA Wakurugenzi wa miradi ya wafadhili (donor-funded projects) Wakuu wa vyuo vikuu vya umma Maafisa wa ubalozi (diplomats) Wakurugenzi wakuu wa manunuzi (chief procurement officers) Wakuu wa idara ya uhamiaji, polisi, magereza Wakurugenzi wa bodi za mikopo au elimu wafanyakazi...
  5. Kubana matumizi ya serikali ni kwa ajili ya kuboresha maisha ya wananchi

    China hivi karibuni imetangaza kurekebisha Kanuni za Idara za Chama cha Komunisti cha China na Serikali za Kubana Matumizi na Kupinga Ufujaji, na kufafanua kuwa idara za Chama na serikali zinapaswa kubana matumizi, ili kuhakikisha rasilimali nyingi zaidi za umma zinatumiwa kwa ajili ya kuboresha...
  6. Hivi kuna mtanzania amewahi kwenda kutafuta maisha nchini India akatoboa?

    Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha. Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu. Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
  7. Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote. Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu. Swali linakuja: Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa...
  8. Siri na mustakabali wa maisha ya sasa ya wanasiasa na wasanii duniani

    SIRI NA MUSTAKABARI WA MAISHA YA SASA YA WANASIASA NA WASANII DUNIANI Tom McDonald ni msanii wa muziki wa hip-hop ambaye ameweza kujitokeza na maudhui yanayohusiana na masuala ya kijamii, siasa, na utamaduni. Katika baadhi ya nyimbo zake, amezungumzia mada kama vile Illuminati, cloning ya...
  9. W

    Hatukuwaacha shuleni tu, ni mpaka makazini hadi kwenye taasisi watu hawa hufanya maisha ya sehemu husika kuchangamka

    Sisi Tunae kazini, Yani ndio anakuwa mtoa vibe Kwa wenzake na ni baba wafamilia yan mambo yake hua tunacheka mnoo Shuleni walikuwepo kina Dullah 😂 lakini sikuhizi alivyotulia kama sio yeye
  10. Rais wa taifa kubwa akipewa makavu hadharani kwenye TV, lakini maisha yaendelea...

    Trump, Rais mjinga na mdhaifu zaidi katika historia ya Marekani... https://www.youtube.com/watch?v=BwvBFljn_vk Nakulilia Tanzania!
  11. JamiiForums Tusaidiane: Kijana wa Geology hana Ajira Tangu Amalize Chuo, Maisha Yamempiga Mbaya

    Habari za wakati huu wapendwa wadau wa JamiiForums, Naamini wote ni wazima na mnaendelea vyema katika majukumu yenu ya kila siku. Nawasalimu kwa heshima kubwa na moyo wa unyenyekevu kabisa nikiwa na matumaini kwamba huu ujumbe wangu utawagusa na kuwahamasisha kwa namna yoyote ile. Leo nimeamua...
  12. B

    Maisha ya sisi Matajiri wenye mvuto na akili yana Changamoto sana. Watu wanatushangaa kwa kila chetu

    Watu wengine wan kero sana. Mtu anakuona sehemu ume chill anakuja kukushangaa shangaa. Mara anauliza hii saa ulinunua wapi? tsh ngapi? Hizo sandals mbona kali sana? Sijui we mbona una ngozi laini kama ya mtoto unapaka nini? Na huyo anayeniuliza ni mtoto wa Tajiri mmoja huku Dubai. Mara mbona...
  13. Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!

    Et naye ataonyesha kujutia sana!!. Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!
  14. E

    The Rise of Princesses: The Last Princess Of Peru

    SURA YA KWANZA: DAMU YA UFALME Mimi ni Triza, binti wa saba wa Mfalme Himza wa Peru. Katika kasri letu kubwa lenye kuta nene za dhahabu na mawe mazito, mimi na dada zangu tumeishi maisha ya hofu chini ya kivuli cha baba yetu. Dada zangu ni Adira, Sayina, Miran, Elvya, Kiyara, na Zafrina. Mama...
  15. Shukuru Mungu Kwa Maisha Uliyonayo Wengine Hawana Kabisa Pa Kuanzia, Tujifunze Kusaidiana

    Jana majira ya saa tano usiku wakati najiandaa kucheki muvi, nikapatwa na msukumo wa kutoka nyumbani na kwenda kuzurura mitaani. Huwa ninafanya hivi mara kwa mara ila msukumo wa jana ulikuwa mkubwa. Nilipotoka ndani, kwanza nikakutana na kibaridi kinapiga, nilitaka kusitisha safari ila nikasema...
  16. Makosa katika Maisha Yetu

    Binadamu wote sio wakamilifu, mara kwa mara tumefanya matendo na tumesema maneno ambayo kwa namna moja yameweza kuleta madhara katika maisha yetu na wenzetu. Watu wengi wanasema Makosa katika Maisha hayaepukiki, ndio maana kila mtu ameshawah kufanya makosa. Tuachane na hayo. Maana Yaliopita sio...
  17. W

    Maisha Yamekuwa Magumu” – Asilimia 75% ya Wakenya Wanasema Hali Imezorota

    Utafiti mpya wa TIFA umeonesha hali halisi ya maisha magumu ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais Ruto aingie madarakani miaka miwili na nusu iliyopita. Asilimia 75% ya waliohojiwa wamesema hali yao ya kiuchumi ni mbaya zaidi sasa kuliko ilivyokuwa miaka mitatu iliyopita – kabla ya uchaguzi...
  18. Kuna vijana mitaani wana akili kubwa, vipaji vya ajabu, na ndoto zenye mwanga , lakini dunia imewakataa kabla hata hawajajiamini

    Ndoto Kubwa, Maisha Magumu Kuna vijana mitaani wana akili kubwa, vipaji vya ajabu, na ndoto zenye mwanga , lakini dunia imewakataa kabla hata hawajajiamini. Wanakulia kwenye kelele za matusi, mazingira ya vurugu, na maisha yasiyo na uhakika. Wengine wameacha shule kwa sababu hakuna karo...
  19. Wewe / Jamaa yako anafanya biashara / kazi ipi inayomuwezesha kumudu maisha?

    Huenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running? Changamoto je? Mtaji? Tusaidizane mawazo kwa kuwa sisi sote tu watoto wa Mama mmoja, Mama yetu mpendwa...
  20. M

    Sikujua kwamba vitabu vya Mungu vinazungumzia maisha haya....

    Kumbe SSH na Kijani ndio wanahusika na "mene, mene, tekeli, na peresi" na Mnala wa BABELI....Maanake nashangaa sasa Kijani wameanza kuchanganyikiwa. Asante Rev. Hon Dr. Gwajima, Asante Basila Mwanakuzi, Asante Msanii uliyemshauri Mama...Asante Pia na Mwenezi wa Kinondoni maana ulifikiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…