maisha mazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

    Habari za mchana marafiki zangu wa Faida njoo UFUNGUKE Ka Kero kanakokupa WAKATI MGUMU katika harakati zako za kila siku Mimi kwakweli Nina KINYAA SANA mwepesi mno kutapika sasa kitu kinachonipa WAKATI MGUMU nikawa harakati njaa ikauma nikaona nitafute genge au mgahawa nikikuta wahudumu na...
  2. Kwangu mimi naona mbona maisha mazuri tu

    Mimi bwana sometimes naona kama mfumo tuliopo mzuri kiasi fulani kwani mbona watu wanafanya wanakula, na bado wanacheka na bado wanashabikia mpira na bado wanaenda kule Dubai. Mbona kama mambo yamekuwa mazuri jamani si tukubali tu au unaweza kuhisi labda nina tatizo la stress.. Hapana...
  3. Xavier na David wakali wa memes

    Xavier huyu Jina lake halisi ni Pakalu Papito ukimcheki Facebook utaona wasifu wake, alivyojiunga Twitter mara ya kwanza tu akapost hello Twitter am single, sifa yake kubwa ni ubishi. David na yeye picha yake imekuwa maarufu sana kwenye mitandao.
  4. Dogo ana miaka 17 tu tayari ana maisha mazuri na mpenzi

    Endrick mchezaji wa palmers ya Brazil katika umri wa miaka 17 tayari ana mafanikio makubwa ya kimaisha huku akimiliki mtoto mkali wa kula naye maisha. Dah kweli maisha hayapo fear
  5. Siri ya maisha mazuri

    Ni kuwa na nia ya kweli na ya dhati ya kufanikiwa kumshirikisha mungu katika mipango na vipaumbele kuelekea maisha mazuri.. Kuwa na bidii, maarifa na moyo wa kutokukata tamaa, pale unapokutana na magumu, mabonde na milima.. Na ukipita vizuri apo, huo unaweza kua mtaji lakini pia msingi muhimu...
  6. Tusiseme wana wa kike wa siku hizi wanapend pesa, ukweli ni wanawake wameumbwa ili waishi maisha mazuri ten yenye usalama.

    Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure). Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho...
  7. Kama hamwezi kuwaandalia watoto wenu Maisha mazuri waachieni Wanaoweza

    Kwema Wakuu! Ninyi mlidanganywa kuwa mtoto arithi elimu pekeake. Juzijuzi hapa nikawaambia urithi wa mtoto sio elimu pekeake muache kukimbia majukumu yenu. Mkaanza kunitúkana na kunirushia matusi na maneno yakaraha mkidhani ndio nafuu yenu. Nikasema Sawa! Yaani kwa akili ya kawaida ati...
  8. Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
  9. Rais Samia: Hakuna atakayeuza Tanzania. Sitaki Shida nataka Watanzania Waishi Maisha mazuri

    Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS...
  10. B

    Kama uzinzi huleta umasikini, mbona kuna watu ni wazinzi wana maisha mazuri kiuchumi?

    Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina. Hio...
  11. S

    Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

    Watu wawili wanaonesha interest kwangu. Mmoja ana hela chafu, nikikohoa muamala unasoma. Na kwake ni full kiyoyozi, gari kali, geto kali na mipango ya maisha iko kwenye mstari. Huyu mwingine mm ndiye nampenda haswa, nikimuona nategwa kihisia kama samaki kaona chambo. Lkn huyu kiuchumi...
  12. Maisha mazuri ni kuishi katika utakatifu tu

    Hakika nikijiangalia kipindi changu cha Majira ya upofu ambapo nilikuwa sijaamua kuishi katika Maisha ya utakatifu. Naona mabadiliko makubwa sana. Nchi ya ahadi ni nzuri, imejawa na asali. Nauona mwisho wangu ukitamatika katika haki na kweli. Vijana mtafuteni Mungu wa kweli acheni kuishi...
  13. Mababu zetu waliishi maisha mazuri kushinda kizazi cha sasa

    Enzi hizo mtu anapotaka chakula, anaenda kwenye shamba la migomba, anatazama makumi ya mikungu ya ndizi na kuamua avune upi kwa chakula cha jioni cha siku hiyo. Karibu na shamba hilo kuna bustani ya viazi vitamu, bustani ya mihogo, viazi ulaya na mtama. Upande wa kusini wa shamba la migomba...
  14. Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

    Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke. Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au...
  15. Pamoja na mishahara ya sasa ilivyo bado walimu waliishi maisha mazuri zamani kuliko sasa

    Kwa bahati babu, bibi, baba na mama yangu wote walikuwa ni walimu, na mimi mwenyewe nikafuata nyayo kwa miaka 10 kabla sijakimbia nilichoona kipindi kile cha zamani. 1. Makazi/Nyumba za walimu zilikuwepo, walimu walikaa kwenye maeneo ya shule na hata kama hakukuwa na nyumba basi kijiji au...
  16. K

    Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

    Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje. Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu. Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh? Mitano tena...
  17. Kuna uhusiano gani kati ya unene na mtu aliyefanikiwa kimaisha?

    Kuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri. Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?
  18. Haya ndio maisha Mazuri, na hakuna Mengine

    Maisha mazuri ni yapi? Kutumikia tamaa za mwili? Kutumikia tamaa ya mwili hakuna faida ni hasara tupu, ukiwa mpenda kubadili wanawake kila siku, unatambua hasara zake, mfano mdogo tu, ukipata magonjwa ya zinaa hasara yake hadi uzeeni unatambua vizuri. haya mfano uwe mwizi, hivi siku ukishikwa...
  19. Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

    Ni kazi inayoonekana dhalili mbele ya jamii.. Lakini ni kazi inayoendesha maisha ya mhusika kwa kujitosheleza karibia kia kitu kuanzia Mavazi, Malazi, Kusomesha, Kuhudumia wazazi na ndugu Kufungua biashara, Kujenga, Kununua vitu vya thamani, Kuhonga Kujihudumia nknk, Wahudumu wengi wa bar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…