mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini watu huonekana kuwa na furaha zaidi wakiwa ‘single’ kuliko wakiwa kwenye mahusiano?”

    Wapo watu ambao baada ya kuachana na wapenzi wao huanza kung'aa, kuwa huru, na hata kujiendeleza zaidi. Je, ni kwamba mahusiano yao yalikuwa kikwazo? Au kuna kitu watu hukosea wanapokuwa kwenye mahusiano? Tujadiliane kwa uhuru — labda kuna funzo kwa wote.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mlio kwenye mahusiano mliingiaje?

    Ndugu zangu wana JamiiForums, naombeni muongozo wenu. Nitumie njia gani maana naona kwenye hatua za awali tu kumu approach anakuomba hela, sasa kwangu hii huni disappoint sana na hii si mara ya kwanza. Naombeni ushauri wenu, umri 23. Kwa mfano huyu sina mpango wa kumtafuta tena wakati namba...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini jamii nyingi za wafugaji wanatabia za ukatili,watata, hasira hata kwenye mahusiano ni tabu tupu.

    . SWALI LILIULIZWA "Swali kwann watu wanaokula sana nyama au wanaotoka jamii ya wafugaji wengi wao wanakuwa na mitetemo ya chini yaani nguvu za chini za kiroho wanakuwa na vurugu, hasira,utata,ugomvi, hawana utulivu hata ukiangalia wanyama wanaokula nyama the same tabia. MAJIBU YA KIROHO...
  4. JamiiForums Tanzania Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

    Wakuu habari zenu, Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine . Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife! 1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa 2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda

    Habarini, Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda.. Ila dunia ya sasa trend iliopo duniani ya umarioo (wanaume kuingia kwenye uhusiano wa kingono na mijimama ili wapate kupewa hela) ni tabia inayokua glorified, kitu ambacho ni...
  6. JamiiForums Tanzania Nihurumie Asuu wangu, iwapo nimekukosea

    Wanawake na vijana wa siku hizi, huwa mnaombaje msahaha kwa wapenzi / wenza wenu. Njooni mnipe mbinu zenu mpya za 2025. Sisi mabinti wa zamani, ukiona umekosea unatafuta kale kanight dress kako kepesi unakavaa halafu unafunga kitenge juu. Akirudi toka kazini anakuta umempikia chakula chake...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake Msijidanganye, Mahusiano ya kweli hayapatikani Mitandaoni

    Mitandaoni utaishia kuchorwa tu. Wanawake wenzangu tutafute pesa zetu za halali, wanaume watatufuata wenyewe. Wabillahi Tawfiq Nusratt M.
  8. JamiiForums Tanzania Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

    Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha. Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi...
  9. JamiiForums Tanzania Jamani jamani naomba msije jichanganya kuwa na mahusiano na wanawake wa uswahilini

    Ukiambiwa dunia ni usiku na mchana ndio haya. Malezi waliokulia wanawake wa uswahilini ni ya ajabu yani kuanzia shida wanazopitia na kutofatiliwa na wazazi wao yanapelekea kuwa watu wa ajabu. Kuna kipindi cha dada mmoja Geah habibu pale youtube mnaweza kujifunza vituko huko
  10. JamiiForums Tanzania Asilimia Kubwa ya Wanawake Wanaosema Wanateseka Kwenye Mahusiano au Ndoa Zao, Mazingira Hayo Wameyajenga Wenyewe

    I – Inshu (Hoja Kuu) Katika jamii ya sasa inayozidi kukumbatia usawa wa kijinsia, sauti za wanawake wanaolalamika juu ya mateso ya kimahusiano na ndoa zimekuwa za kawaida. Mitandao ya kijamii, majukwaa ya wanawake, na hata mijadala ya hadharani imejaa simulizi za huzuni kuhusu wanawake...
  11. JamiiForums Tanzania What do you with a research paper after its been published?

    I was just wondering what actions are taken once you finish and publish a research paper. I'm not all that experienced nor informed, so I'm just genuinely curious what could be done with one's research after it's finished. I'm talking more so about humanities research, so it's not necessarily...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ndevu changamoto kwenye mahusiano

    Wanawake wengi wenye ndevu wana ndani yao wengi wao viburi, jeuri na dharau. Hawa viumbe hawana unyenyekevi, utii wala heshima, jihadhari ukipata demu wa aina hii hawe fundi vipi umakini
  13. JamiiForums Tanzania Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

    Jana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani. Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

    Hivi dada zetu wanafahamu Mambo wanayopaswa kuchangia kwenye relationship ukiacha sex ?
  15. JamiiForums Tanzania MAN TO MAN : Ni Nini alikifanya ukagundua kuwa yule mwanamke hakufai ??

    Seriously ... Tusaidiane kujua aina ya red flags mlizowahi kutana nazo wakulungwa kwa upande wenu na mkazichukulia hatua .... Hata wanawake mnaruhusiwa kutoa red flags zenu zilizowakimbiza kwenye baadhi ya Mahusiano.
  16. JamiiForums Tanzania Kazi na uhusiano wa kweli katika maisha.

    Salaam jamiiforum. Dunia inaenda kasi, mitindo ya maisha inabadilika,watu wengi wanakata tamaa. Asiye na pesa anadhani tatizo lake ni kutokuwa nazo ndiyo maana anateseka? Yes swali ni lenye maumivu,ambapo majibu yake ni kufanya kazi na si kingine. Fanya kazi Kwa kiasi na uwezo wako,buni...
  17. JamiiForums Tanzania Inafurahisha saana kuona jamii ilivyobadilisha mtazamo kuhusu watoto wa nje. Well done.

    Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni Chibu. Well done...ili kuwa ni suala la muda. Wewe uliye pata watoto kabla ya kuoa/kuolewa watoto ni...
  18. JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya kimahusiano sijui tatizo ni nini. Natamani kuwa na mke lakini mahusiano yangu huwa yanafia njiani

    Habari wadau poleni na majukumu Mimi ni kijana wa 27 ,ni entrepreneur Ninaishi dar lkn muda mwing naenda polini ni chaka tu chaka nanunua Gold ,Elimu yang Degree. Nina changamoto ya kimahusiano sijui tatizo ni nn ,Natamani kua na mke lakn mahusiano yang huwa yanakufa njian labda niseme sijui...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa za ki-communist zimeishapitwa na wakati, mahusiano yetu na uchina yawe na mipaka kama vile yeye anavyowawekea wengine mipaka.

    Sawa tuna njaa, sawa hatuwezi linga diplomatically kwa maana hatuna kitu. Ila nakuambia hivii njaa itatoka tumboni na kwenda akilini pale utakapogundua anaeshirikiana na wewe kukutoa katika tabu kuanza kulala na mke wako na kunajisi watoto wako kisa tu anakusaidia kuishinda njaa. min -me LOTH...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hatupati mahusiano mazuri sababu tunawakataa /hatuwataki wanaotupenda kweli!

    Moja kati ya kitu ambacho Nimejifunza kwenye stage ya ukuaji wangu 👉Wengi tuliwakataa waliotupenda kweli, tukaangukia kwa ambao na hawatutaki na wao kuna sehemu wamependa ✔️Unakuta mtu umemkataa sababu hana kazi nzuri ✔️Sio msomi ✔️Mwonekano wa kawaida usiovutia(hana sick pack, Hana taqo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…