Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa.
Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu.
Malasusa anasimama pamoja na watumishi wa Mungu wote wenye mapenzi mema na mioyo ya watanzania mfano wa...
Fikra za Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook;
Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Mchemba ametoa maelekezo kadhaa. Napongeza kwa uangalifu mkubwa. Mjaluo ukimpongeza kabla hajamaliza kazi, huwa anaacha na kuondoka kwenda nyumbani akiamini amemaliza...
GT
Itakuwa story kubwa sana kesho. Wavaa suti.watajazana kusikia nini kinasemwa aha ha ha
Tutabiri kauli ya Malasusa ah ahaha mtego mtegoni. Sijalelewa kupingana na serikali.
Hilo ni swali linaloenda kwa wanazuoni wa dini yaani maaskofu ,mashekhe,wachungaji na wote tuliotarajia watufundishe aya na maandiko ya dini.
Leo hii kinachopostiwa mitandaoni kutoka mimbari za dini sio rejea za maandiko ya Vitabu vitakatifu bali mawazo ya kibinadamu kutoka wavaa kanzu .
Hii...
Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.
Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira...
Gwajima ameshea link ya mahubiri yake yanayoendelea kufanyika leo jioni licha ya serikali kufungia kanisa lake. Mahubiri hayo yamerushwa LIVE kupitia link hapo chini Jioni hii baada ya Mamlaka Kufungia kanisa lake
https://www.youtube.com/live/g10-9yfylls?si=zRlpPOJivq1pOcJg
Gwajima ambaye leo...
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu.
Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah.
Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli...
🔘 Siku hizi waumini hatutaki INJILI ya kuambiwa/kuhubiriwa;
✓Acha umalaya ni dhambi.
✓ Acha kudanga ni dhambi.
✓ Acha wizi ni dhambi.
✓ Acha uchawi ni dhambi.
✓ Acha kutoa mimba ni dhambi.
✓ Acha pombe ni dhambi.
✓ Acha rushwa ni dhambi.
✓ Acha ushoga na usagaji ni dhambi.
✓ Acha kubaka watoto...
HERI YA MWAKA MPYA 2025
aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90
sooon tuu hivi vidogo vyetu vya 1998,1999 ,2000,2001,2002 na hata 2003. navyo vitasema FINALY CHILDHOOD...
Pope Francis has once again appealed to Catholic priests to keep their homilies short, this time warning that homilies should be no longer than eight minutes or “people will fall asleep.”
Speaking in St. Peter’s Square for his Wednesday catechesis on June 12, the pope explained that the goal of...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo.
Utekelezaji wa hoja ya Nishati safi ya kupikia, unahitaji zaidi utashi wa kisiasa kuliko ahadi za maneno na kuwagawia bure mitungi ya gesi watu masikini wa kutupwa wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea ambapo hawana uwezo wa...
Napensa sana mahubiri sema tukiwa tuko OK
Hii kuwasha redio wote tunakoroma dk 30 unaanza kuweweseka kama jini mahaba amekupi1tia
Mnatutisha wapendwa.....
Embu tuwe serious n1a Mungu
Mpaka rahaa wataelewa tu
Nilikuwa naangalia star TV mahubjri ya kutoa nkaenda TV upendo kutoa
Nkamua niende kanisani huko nakoo n kutoaaa
Narudi hme sasa nasikiliza redio moja ya dini hukoo ndioo balaa wanatishiwa kabjsaa wasipotoa madhara yake.....
Tusiache kutoa sadaka jaman wahubiri...
Wakuu Mimi nilikua ni mpenzi sana wa dini ya kisabato ,niliipenda dini hii kuanzia itikadi za Muonekano(nywele,mavazi),pili nyimbo zao zinavutia sana,ilifika kipindi kidoogo niwe msabato rasmi.
Lakini tangu nianzie kufuatilia mahubiri Yao muda wote wanahubili Mambo ya siku ya sabato ni...
Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu.
Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
Yaani imekuwa kama keroo sasaa mnafanya wengine tusiende makanisan
Yaan kuna viongozi kila ukisikia ibada mahubiri yao 50 perc wanaanza kukandia wach wa mafuta sijui mkaa sijui majivu ooh mtanyeshwa, Kwa nini msichukue mda kufundisha neno la Mungu waelewe wapone
Mbaya. Mnalalamika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.