mahojiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Rais Samia warekebishe makosa aliyofanya katika mahojiano na BBC, vinginevyo ataonekana siyo muungwana

    Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Rais SSH alifanya makosa kwa kutoa kauli zisizo "sahihi" ktk interview yake na Salum Kikeke wa BBC. Hilo siyo jambo geni kumtokea kiongozi yeyote yule. Kinachofanyika ktk mazingira kama hayo ni kiongozi mwenyewe, au wasaidizi wake, kujitokeza kuomba RADHI na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

    Ushauri aliotoa Binamu Bananga kwa CHADEMA kuhusu Mahojiano ya Rais Samia na BBC Makamanda habari za jioni? Naamini wengi tumesikiliza mahojiano ya mama Samia na Kikeke, Nimeona Kaka yangu Lema ameandika Mahali kwamba Chama Kitakutana kumjibu, nimeshtuka kidogo, tunataka kujibu nini? Mimi...
  3. JamiiForums Tanzania Taifa langu linateketea kwa kukosa maarifa

    Speech Mh. Samia Suluhu Hassan jana akihojiwa na Kikeke wa BBC naona imeligawa taifa. Kwamba tabaka la watawala na Watawaliwa. Na kwamba ukishaazishwa uongo basi unasimamiwa na wote ili kulinda madaraka. Kundi hili la watawala wanawatoza watawaliwa wanyonge makodi makubwa bila kujali kama...
  4. JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: Tathmini yangu juu ya mahojiano kati ya BBC na Rais Samia Suluhu

    Tathmini yangu ya juu ya mahojiano kati ya BBC Na Rais Samia Suluhu Hassan. Na Dotto Bulendu (MwanaPuge).Nikiandika kutoka kijijini Puge. @@@@@@ BBC wamefanikiwa kuongeza umaarufu wao Kwa Siku ya jana Kwa Maana ya Idadi ya watu wanaowasikiliza na kuwatazama kupitia Vyombo vyao vya Redio,TV na...
  5. JamiiForums Tanzania Hotuba ya IGP Sirro na mahojiano ya Rais Samia yanaingilia mhimili wa Mahakama?

    Kwa kifupi hawa Waheshimiwa wameshaona hii issue haiko rafiki kwao, wanapoteza pambano mapema! Kwa hiyo wamekubaliana kuwa "waingilie" Uhuru wa Mahakama kwa ku-pre-empty public. Bahati mbaya sana kwa nature ya Mahakama zetu, haziwezi kujisimamia wenyewe. Kwahio tutegemee hukumu yenye mwelekeo...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake...
  7. JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Rais Samia na BBC yataongeza maswali na sio majibu

    Ukweli natamani kuwa mshauri wa Rais. Rais wetu ni muungwana sana. Ana mtazamo chanya kuhusu taifa. Ila kupitia mahojiano ya leo watu wanaofikiri sana atakuwa kama washauri walitakiwa wabuni maswali na majibu yote baada ya mahojiano. Kama mama anaongea kwa kumaanisha ni lazima ajue. 1...
  8. JamiiForums Tanzania Messi aangua kilio kwenye mahojiano

  9. JamiiForums Tanzania Polisi: Mbowe amepelekwa Dar kwa Mahojiano, atarejeshwa Mwanza

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya...
  10. JamiiForums Tanzania Clouds 360: Mahojiano na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, akifafanua mambo mbalimbali

    "Hayati Magufuli alikuwa anafanya kazi sana. Alikuwa analala akiwa na usingizi tu kama hana basi alikuwa halali. Na asipolala hata sisi hatuwezi kulala". "Rais Samia anafanya kazi sana. Ukiona anapanda ndege anashuka unaweza ukahisi ni maisha mazuri lakini hapumziki. Tuna bahati ya kuwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa BAVICHA Iringa, Vitus Nkuna aitwa ofisi ya RC kwa mahojiano

    Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga . Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

    Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata. Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
  13. JamiiForums Tanzania Audio: Mahojiano yangu ya Radio Inland, Dunia yetu, Matarajio ya hotuba ya Rais kesho

    Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio. Na Yericko Nyerere
  14. JamiiForums Tanzania Azam Tv Morning Trumpet Karume Day 2015 Mahojiano Kati ya Irene Kilenga na Mohamed Said

    AZAM TV KARUME DAY: ABEID AMANI KARUME - "THE MASTERMIND" MAHOJIANO NA IRENE KILENGA 2015 Picha hiyo hapo chini ya Mzee Abeid Amani Karume ilipigwa Dar es Salaam mwaka 1948. Kushoto waliokaa ni Hassan Machakaomo, Selemani Mwinyimadi Chambuso, Mohamed ''Mabosti'' Sultan. Waliokaa kwenye viti...
  15. JamiiForums Tanzania Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

    Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa Kesho saa 3 unusu usiku
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tundu Lissu mahojiano yake na KTN kuwasema vibaya Jomo Kenyatta na Moi hakuwatendea haki Wakenya

    Kwenye mahojiano jana na television ya Kenya ya KTN live akiwa Ubelgiji aliwaponda sana mzee Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi kuwa walikuwa madikteta akawapongeza wakenya kujitoa kwenye mikucha yao na kuwa vizuri sasa. Hakuwatendea haki .Naomba wakenya wenyewe rejeeni hayo mahojiano ni ukosefu...
  17. JamiiForums Tanzania Buckingham Palace yatoa taarifa kujibu mahojiano yaliyofanywa na Oprah kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan Markle

    Buckingham Palace imetoa taarifa kwa niaba ya Malkia Elizabeth kama majibu ya mahojiano yaliyofanywa na Oprah Winfrey kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan. Taarifa hiyo imeeleza kuwa familia nzima inasikitishwa kufahamu ni jinsi gani miaka michache iliyopita imekuwa migumu kwa wawili hao...
  18. JamiiForums Tanzania Online Tv zinazofanya mahojiano ya kudhalilishana na kukiuka Maadili ya Nchi kufungiwa

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile, amesema kuwa online TV zote ambazo zinafanya mahojiano ya kudhalilishana na zile zinazokiuka maadili na utamaduni wa nchi zitafungiwa na wamiliki wake kuchukuliwa hatua za kisheria. Submitted by Agnes Kibona on Jumanne, 9th...
  19. JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Absalom Kibanda na January Makamba

    MAHOJIANO YA JANUARY MAKAMBA NA JARIDA LA UMOJA 1. Umekuwa msaidizi wa karibu wa Rais Jakaya Kikwete tangu akiwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa hadi hivi sasa, ni mambo gani hasa umejifunza kutoka kwake? Nimejifunza mambo mengi sana kiasi kwamba ni si rahisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…