mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Tulionyimwa mafao NSSF, tufungue kesi mahakamani

    Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine. Basi kama inashindika wahamishie pesa za mwanachama kwenye mfuko mwingine aliyohamia. Sekta binafsi...
  2. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Vyama yamkingia kifua Samia. Yadai suala lake kama Mgombea wa CCM lipo Mahakamani, haiwezi kuingilia

  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP. Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakamani kuu itisheni kesi ya Lissu,LASIVYO nanyi usiku huu wa saa KUMI waachemi wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa walau kwa lisaa limoja.

    Mahakama kuu itisheni kesi ya Lissu la sivyo nanyi waacheni wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa ya walau kwa lisaa limoja Ili. Mwone uchungu
  5. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu: Yanayotokea Mahakamani Yanatishia amani ya nchi yetu.Viongozi wa muhimili wa Mahakama mko wapi?

    Kuna wimbo wa wanasiasa hupenda sana kuuimba, ''kudumisha amani, kulinda amani n.k.'' wakielewa kabisa hakuna silaha yoyote inayoweza kuilinda AMANI... Viongozi wanajua Amani ni matokeo ya HAKI inayopatikana kupitia sheria tulizojiwekea kama jamii. Ni hatari sana kupuuza kanuni hii muhimu...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kwenye siasa za ukombozi, kukamatwa na kushitakiwa mahakamani ni kuvikwa Taji la dhahabu

    The man knows what he is doing. They are dancing within his riddims.
  7. JamiiForums Tanzania Umahiri na weledi wa kisheria wa wakili Nassoro Katuga ni wa kiwango cha juu mno mahakamani, hacheki na mtu, hahitaji ushabiki, wala hana mzaha

    Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama. Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ana kwa ana na wapiga doria mitandaoni. Yapigwaje hiyo? Au ni hawa ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini?

    Hivi ni nyie ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini au wale wenye zile pendwa za msimu? Au ni wale wa Ngamiani waja leo waondoka leo? Au wale waja wenye zile ID pendwa zinazo staafu staafu kila ikiwapendeza? Wako wapi kina Lisaboni, bia yenu, yumbe brown, au wale waliopotea ghafla? Au tuseme...
  9. JamiiForums Tanzania Tazama vibe la Lissu wakati akitoka Mahakama ya Kisutu, leo Agosti 18, 2025

  10. JamiiForums Tanzania Sakata la Mtoto aliyelawitiwa Nyakato - Mwanza, RC Mtanda asema kesi imefikishwa Mahakamani na Mtuhumiwa kapelekwa Gerezani

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda leo jumatatu Agosti 18, 2025 amelitolea ufafanuzi suala la Mtoto Mkazi wa Nyakato Wilayani Ilemela aliyesemekana kulawitiwa na Mtuhumiwa Steven Ibasa (Baba Claudia) tarehe 14 Agosti 2025. Mtanda akiwa ofisini kwake ametoa mwenendo wa kesi hiyo ambapo kwa sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Je huyu ni nani na alikuwa kwa ajili ya kazi gani mahakamani?

    Nakumbuka ile siku ya Eid SSH alipoenda msikitini aliingia MTU msikitini na akaa nyuma ya SSH je huyu alikuwa ni nani ?. Na je anaweza akawa Mwanamke huyu ?.
  12. JamiiForums Tanzania Huyu kaka namjua ila sijui anafaidika na nini kuvaa mavazi ya kike na kwenda mahakamani

    Inatia ukakasi MTU kuvaa mavazi ya kike
  13. W

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha kesi ya Lissu vipeleke maombi mahakamani

    Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani. Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na wakienda mahakama kuu pia ni kificho. Hii ni unprecedented katika nchi ya "kisiwa cha amani"
  14. JamiiForums Tanzania Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  15. JamiiForums Tanzania POTOSHI Tundu Lissu ametinga mahakamani akiwa amevaa T-shirt ya 'Oktoba tunatiki'

  16. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kumshambulia Katibu wa Baraza la Maaskofu ni kuwashambulia Wakristo wote

    Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao Katibu wa Baraza la Maaskofu na waumini wao, wataipa CCM kura? Kanisa Katoliki ndo Baba Mlezi wa Imani zote za Kikristo. Si moja kwa moja, ila by implication! Kwa kifupi, Wakristo madhehebu mengi yametoka Kanisa Katoliki. Sisi Wakristo ni familia moja Maaskofu...
  17. JamiiForums Tanzania Wakazi 700 Bagamoyo wapeleka kesi Mahakamani kudai kubomolewa nyumba zao kinyume cha Sheria

    Wakazi wa familia zaidi ya 700 wa Udindivu, Mtaa wa Kizimkazi, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo wakidai kubomolewa nyumba zao bila kufuata taratibu za kisheria. Wananchi hao wanasema hatua hiyo imewaacha bila makazi, huku baadhi...
  18. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere ahoji, ulishawahi kumuona mke wa Lissu Mahakamani? ushawahi kuona mtoto wa Lissu? kuna kizuizi gani kinawazuia?

    Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa kweli wa CHAUMMA, anahoji kwa nini Mke wa Mheshimiwa Lissu haonekani Mahakamani lakini bado tunalazimisha Mheshimiwa Mbowe aonekane Mahakamani.
  19. JamiiForums Tanzania Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

    Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani. Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani. Taarifa iliyotolewa na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Tundu Lissu aheshimu taratibu za Mahakamani vinginevyo kila cku mtakuwa mnalalamika

    Kwanza Mahakama inamheshimu sana Lissu maana angekuwa mtu Kama mm kwa yale maneno yasiyo na staha mahakamani wengine tungeshakula behind the bars miezi sita kwa contempt of court lakini anachukuliwa poa Mahakama imemaliza kesi Lissu ameshakabidhiwa magerza, nyie mnataka kupiga stori naye wap na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…